Search results

  1. Swordfisher

    Nyumba ya kisasa ya kupanga inahitajika Arusha mjini

    Nitumie namba yako PM.
  2. Swordfisher

    Nyumba ya kisasa ya kupanga inahitajika Arusha mjini

    Mkataba wa upangaji ni wa muda mfupi kuanzia mwezi mmoja hadi mitatu endapo maelewano yatakuwapo. Nyumba iwe ya kisasa iliyo katika eneo zuri lenye kufikika kwa urahisi, iwe na umeme na maji, iwe na angalau vyumba vinne vya kulala, iwe fully furnished, msaidizi wa kazi za Ndani ambae atalipwa na...
  3. Swordfisher

    Msaada: Nifanye nini niwe na Uelewa kama wa Makada wa CCM?

    Kwani una uelewa upi hasa? Hebu tufafanulie kidogo maana kulalama bila hoja za msingi sio dalili ya kuwa na ufahamu mkubwa.
  4. Swordfisher

    Nina 100,000 nahitaji mini laptop used

    Nashukuru mkuu. Wengi wanadhani mahitaji yao yanafanana na kila mtu. Zamani desktop tulikuwa tunanunua kwa laki saba mpaka milioni, lakini uliza sasa,hata kwa laptop changes zinafika huko pia ingawa kuna brands ambazo huchukua muda kuwane/kuchuja lakini nazo hukumbwa na changes zitokanazo na...
  5. Swordfisher

    Nina 100,000 nahitaji mini laptop used

    Wakuu ningependa kuwataarifu kuwa laptop imepatikana tangu jana,ingawa ina matatizo ya betri. Sitajibu tena PM kuhusiana na swala hilo.
  6. Swordfisher

    Nina 100,000 nahitaji mini laptop used

    Hahaha! Kha!
  7. Swordfisher

    Nina 100,000 nahitaji mini laptop used

    Habari gani wakuu? Kama kichwa kinavyojieleza,naomba alie na laptop mini isiyo na DVD drive au yoyote inayofanya kazi, ani PM. Offer yangu ni sh. Laki moja. Asanteni na siku njema.
  8. Swordfisher

    Wanaojihusisha na biashara hizi,hii hapa fursa: Vifaranga vya samaki, Chakula cha samaki,incubators

    Habari gani wakuu? Wale wote wanaojishughulisha na biashara zilizotajwa hapo juu naomba tuwasiliane. Mimi ni mjasiriamali nilie na base kubwa ya wateja wa biashara hizo na ningependa kuingia mkataba na wafanyabiashara wa hizo biashara kama agent. Kwa anaeuza vifaranga vya sato mikoa ya : Tanga...
  9. Swordfisher

    Wanatakiwa wafuatao: Suppliers wa vifaranga vya samaki, Incubators, chakula cha samaki na pembejeo

    Habari gani wakuu? Wale wote wanaojishughulisha na biashara zilizotajwa hapo juu naomba tuwasiliane. Mimi ni mjasiriamali nilie na base kubwa ya wateja wa biashara hizo na ningependa kuingia mkataba na wafanyabiashara wa hizo biashara kama agent. Kwa anaeuza vifaranga vya sato mikoa ya : Tanga...
  10. Swordfisher

    Plot4Sale Gongo la mboto Markaz

    TE="king90, post: 16177108, member: 222338"]Je kimepimwa? na kina hati ya kutoka ardhi? Kina hati kutoka wizarani.
  11. Swordfisher

    Plot4Sale Gongo la mboto Markaz

    Jamani Kiwanja chenye ukubwa wa Square meters 1000 na hati kinauzwa Gongo la mboto karibu na msikiti wa Markaz. Bei yake ni Sh. Milioni 30 na mazungumzo yapo. Eneo linafaa kwa makazi au Biashara kama ya Hosteli za wanafunzi wa chuo kikuu na Shopping center. Umeme upo kwenye eneo na maji yako...
  12. Swordfisher

    Nauza ngozi kavu za mbuzi.

    Kama kichwa cha Tangazo kinavyojieleza,ninao uwezo wa kusuooly ngozi kavu 1000 za mbuzi kwa kila mwezi. Alie na uhitaji njoo PM na offer yako. Asanteni.
  13. Swordfisher

    Mwenye dawa ya kuwalewesha samaki temporarily

    Na utawakamataje ndani ya maji mkuu? Maan kama utawatunza kwenye barafu si ni mpaka uwakamate wakiwa wazima?
  14. Swordfisher

    Mwenye dawa ya kuwalewesha samaki temporarily

    ="dansmith, post: 15183860, member: 190192"]Du huku kuna machizi kweli Tatizo nini mkuu?
  15. Swordfisher

    Mwenye dawa ya kuwalewesha samaki temporarily

    komamgo, post: 15183977, member: 102128"]Ukishindwa jaribu www.bhanakiya.org Watakusaidia Shukrani mkuu, Nitafanya hivyo.
  16. Swordfisher

    Mwenye dawa ya kuwalewesha samaki temporarily

    Dragoon, post: 15183982, member: 184803"]Hata kama inajulikana wewe hustahili kujua. Wewe utakuwa mvuvi tu, unataka kuvua samaki kwa kutumia sumu Unakosea mkuu, Ningekuwa na nia hiyo, nazijua dawa za kuwaua bila tatizo,ndio maana Nikasema kuwalewesha temporarily.
  17. Swordfisher

    Mwenye dawa ya kuwalewesha samaki temporarily

    Jamani kama kuna mwenye dawa ya kuwafanya samaki wakose fahamu kwa muda na kurudia hali zao za kawaida, naomba ani PM. Nahitaji kusafisha bwawa la kienyeji na kulijengea na kisha Niwarudishe humo ili Niwafuge kisasa zaidi. Natumaini Nimeeleweka.
  18. Swordfisher

    Alie na Kitanda cha massage used Tafadhali

    Jamani kwa anaeuza kitanda cha kufanyia massage Tafdhali Nakihitaji haraka. Ni PM kama unacho.
  19. Swordfisher

    Supplier wa chupa tupu za plastiki au za glasi anatakiwa

    Sawa Mkuu, ngoja nitamtafuta.
Back
Top Bottom