Search results

  1. R

    laptop

    wadau naomba mnijuze Laptop kwa kiswahili inaitwaje ?
  2. R

    Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

    SAF alichanganyikiwa alipoingia Emirates kuwaangalia Fabrigas, Ashavin na Vanpersie alafu kwenye mechi ya jtano kati ya asernal na celtic ili ajue jisni ya kufundisha mabeki wake jinsi ya kuwakaba alafu akakuta wote wapo nje. Na ubaya wa watoto wa wenger ukiwabana washambuliaji basi wafungaji...
  3. R

    Kardinali Pengo: Wanasiasa waacheni Maaskofu wafanye kazi zao, msiwafundishe kazi

    Ni wakati umefika kwa viongozi wa dini kuingilia kati na kukemea kwa nguvu zote uozo wa serikali. Naamini viongozi wa dini wanaweza wakafanikisha kuwafanya waone aibu kwani karibu asilimia 80 ya viongozi waovu wa serikali ni waumini wa dini mbalimbali sasa wakiona mitaani wanashambuliwa na...
  4. R

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyo endela kule Champions league didier anakujaje hapo ?
  5. R

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Fabregas hajapumzishwa kwa ajili ya jumamosi ila ni majeruhi ila hawepo jumamosi au hasiwepo kazi ni ile ile kama ya celtic
  6. R

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kuhama sio dawa kwani kwenye mchezo especially mpira wa miguu kuna mambo matatu 1. kushinda 2.kufungwa 3.droo sasa unaweza ukahama na uko unakoamia ukakutana na kufungwa utaama tena au? pamoja na kufungwa kwa asernal lakini lile toto football wanaolicheza si masikhara yaani ni burudani mno hapo...
  7. R

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mimi ni mwana Asenal (Washikabunduki) lakini ukweli nachoshwa na aya matokeo ya arsenal yaani sisi tumekuwa wasindikizaji tu na si washindani? ni lini tutachukua ata FA cup. Wenger inabidi abadilike kwanza aache ufaransa ambao ndio unamlinda silvester beki gani siku zote badala ya kumfuata adui...
  8. R

    This is Rostam I know... The Story Behind the Man

    Wizi mtupu enzi za mwalimu watu kama hawa ni kuwanyanganya passport na mali zao zote na kuwarudisha uko wanakoita ni kijijini kwao, tunachapa bakora mbele ya umati wa watu alafu tunamkabizi kwa mwenyekiti wa kijiji haruhusiwi kutoka kijijini mpaka kwa ruhusa ya mwenyekiti wa kijiji.
  9. R

    Sappi yuko sahihi kuhusu uwezo wa Maximo?

    kuna wanaotumiwa makocha wazawa kwa ajili ya kumponda maximo tujiulize hao wazawa wana historia gani nzuri na timu ya Taifa
Back
Top Bottom