Search results

  1. S

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Tayari waraka uko kwenye jf please read.
  2. S

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Wana jf habari zenu, jana nilipata wakati mzuri kuupitia waraka wa kanisa katoliki,kwa ufupi waraka ni makini na hauna tatizo,umejaa points mwanzo hadi wisho,vipaombele vyote ni sahihi. Ninawashauri viongozi wa madhehebu mengine,ngo's,na wananchi kwa ujumla kuinga mfano na kuelimisha wananchi...
  3. S

    Natafuta part time job accountant arusha

    Usijali tutakujulisha itakapopatikana.
  4. S

    Tuusambaze waraka wa Kanisa kila sehemu

    Naunga mkono hoja,Namshauri Kingunge astaafu siasa maana anaboa sana,zama hizi sio za kudanganya watanzania,nashauri kama kuna point zimesahaulika kwenye Huu waraka basi madhehebu mengine yasaidie kuuboresha kwa manufaa ya watanzania.
Back
Top Bottom