Nashauri rejea mkataba wako wa Benki kwenye kipengele cha urejeshaji wa mapema wa mkopo.
Baadhi ya benki, zina masharti tofauti unaporudisha mkopo ndani ya miezi sita ya mwanzo, na baada ya miezi sita.
Ninahisi hiyo mil 1 inaweza kuwa ni riba ya miezi kadhaa ya mbele ambayo benki itapoteza kwa...
Hongera kwake Erick Shigongo.
Hata hivyo, kuna jambo haliko sawasawa, kupata GPA ya 4.8 siyo kitu cha kawaida. Ni wanafunzi wenye uwezo mkubwa sana darasani ndiyo wanafaulu kwa kiwango hicho, Shigongo anasema alikuwa anapata si zaidi ya 25% akiwa shule ya msingi, yeye ni mwanafunzi wa kawaida...
Nimeiona mahali:
Ndugu zangu!
Kikawaida cyclones huwa hazikimbilii towards the equator. Zikifanya hivyo huwa zinakosa nguvu na kutawanyika. Kwa maana hiyo hatari kubwa kwa hii Cyclone ya Jobo ni Lindi na Mtwara (9 degrees S) na sio Dar (6 degrees S).
Ndiyo maana cyclones nyingi zinazoanzia...
Kwa hali tuliyonayo sasahivi, sidhani kama ingeweza kusaidia sawa sana, lazima jamii iwe imeamka kifikra kwa kiwango fulani kutoa ili kupambanua mambo. Hebu angalia kampeni za kisiasa zinavyojaa ulaghai ambao hata mtoto mdogo anayefikiri anajua ni uongo, lakini si ajabu kukuta huyohuyo anapita...
Azizi Mussa ,
Asante sana kwa hoja murua. Binafsi nami nimekuwa nikijiuliza sana, hivi tatizo la uwezo mdogo wa kufikiri ni tatizo la wanasiasa au ni tatizo la mfumo mzima wa jamii?
Unaweza kuwatazama wanasiasa kama ndiyo wenye nafasi na uwezo wa kuelekeza jamii yetu katika njia sahihi kwa...
Ni kweli kabisa.
Vijana wana mengi ya kujifunza toka kwa huyu mwanasiasa.
Jana nimesoma mahali historia yake toka udogoni, moja nililojifunza ni kuwa aliijua purpose yake toka akiwa mdogo kabisa. Amekuwa tayari kuisimamia hiyo hata ikibidi kuhatarisha uhai wake.
Issue siyo vifurushi tu.
TTCL wamekosa ubunifu wa kuingia kwenye soko. Wanaweza kuwa na bidhaa bora na nafuu lakini kama hawana ubunifu wa kuingia na bidhaa zao sokoni siioni kama watakuwa na mabadiliko.
Tufanye hivi:
Ukichukua sehemu (fractions) za machungwa waliopata Juma, Haruna na Petro jibu lazima liwe moja. Kama sehemu hizo utazipa majina a kwa Haruna, b kwa Juma na c kwa Petro basi, hiki ndiyo ukweli:
a + b + c = 1
Lakini Petro, yeye hatujui sehemu bali...
Nikutolee mfano:
Chungwa ukilitakata sehemu nne sawa, utapata kila kipande ni robo (1/4), na ukijumlisha robo nne jibu lake ni moja. Na hata usipogawa sawasawa, ukijumlisha sehemu zote ulizokata jibu lake lazima liwe moja.
Moja inatoka wapi?
Swali linazungumzia vipande (fractions), kwahiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.