Search results

  1. Suzzie

    East african comunity - common external tariff 2012 version

    habari za jioni wapendwa. Natafuta kitabu cha HS Code (EAC - COMMON EXTERNAL TARIFF 2012 VERSION) Please anaejua wapi naweza kukipata naomba anijulishe. nimetafuta sana hadi kwenye duka la vitabu la serikali pale posta hakuna. hata kwa mtu binafsi anayeweza kuniuzia tafadhali tuwasiliane kwa...
  2. Suzzie

    Nyumba nzuri na ya kisasa inapangishwa

    nyumba nzuri self cintainer ina vyumba vya kulala vitatu kimoja ni master, sebule, dining, jiko, choo, ipo ndani ya fence. soko maziwa kigamboni. kituoni ni mwendo wa dk 2, maji ya kutosha. bei ni tshs 350,000. kodi kuanzia miezi sita. kwa atakaehitaji tuwasiliane kwa namba 0758174949
  3. Suzzie

    Chumba na sebule vinapangishwa - Kigamboni

    Habari zenu wapendwa, kuna vyumba na sebule vinapangishwa kigamboni eneo la soko maziwa mbele kidogo ya tungi kwa shilingi 70,000/ kwa mwezi. kodi ni kuanzia miezi sita. maji yanapatikana masaa 24. ipo karibu kabisa na kituo ni mwendo wa dk 2/3 kufika kituoni. kwa anaehitaji ani pm
  4. Suzzie

    Nisaidieni wana JF

    Kuna trip ya kwenda kigali mwezi wa nane kwa ajili ya mkutano wa kidini. tumeambiwa tubebe bidhaa za kitanzania ambazo tunaweza kwenda uza huko. naomba ushauri wenu nipeleke nini?
  5. Suzzie

    Wapi Doctor mzuri wa masikio

    Naumwa sana sikio, kuna kitu kimevimba mpaka kuziba tundu la sikio, nisaidieni wapi doctor mzuri wa masikio nitampata
  6. Suzzie

    Kiwanja kinauzwa kipo eneo la mapinga -mbele kidogo ya shule ya wasichana baobab.

    Nauza kiwanja/shamba 22/22, hakijapimwa kipo karibu na barabara, kituo cha polisi, zahanati na shule ya msingi. kipo eneo la mapinga. bei ni milioni 3 na maongezi yapo. kwa atakaehitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0716174949/0758174949 ili nikupeleke ukakione.
  7. Suzzie

    Kiwanja kinauzwa kipo eneo la mapinga - bagamoyo

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 20/20. kipo karibu na shule ya mshingi na kituo cha polisi cha mapinga. bei ni milioni 5. kama upo tayari tuwasiliane kwa 0716 174949 ili nikupeleke ukakione.
  8. Suzzie

    Maumivu ya mgongo kwa watoto

    Hi wana Jf, Mimi nina mtoto mdogo mwenye umri w a miaka minne (4), amekuwa akilalamika mgongo unamuuma mara kwa mara, je linaweza kuwa ni tatizo gani? kwani navyojua mimi ugonjwa huo ni kwa watu wazima. Pls nisaidieni
  9. Suzzie

    Ingekuwa wewe ungefanyaje?

    Hebu soma hii, Jamaa mmoja alikuwa akitokea shamba pamoja na mkewe. Wakiwa njiani waliona uyoga, wakaung'oa na kwenda nao nyumbani kwa lengo la kwenda kupika na kuula. Lakini kabla ya kufika nyumbani, wakahofu kwenda kula ule uyoga wakihisi unaweza kuwa si uyoga wa kula. Basi...
  10. Suzzie

    Nawatafuta mabest zangu wa lugalo primary school

    Wapendwa wote wa JF kama kuna mtu anafahamu walipo hawa wafuatao naomba anijulishe. 1. Harrieth Mtuy 2. Gloria Mziray 3. Hidaya Ukondwa 4. Hasina Musa 5. Ashura Kazinja 6. Elizabet Kabigi Tafadhali mwenye detail zao naomba animwagie, tuliachana miaka ya 94 pale Lugalo Primary, enzi za...
  11. Suzzie

    Diamond/Olympio Pr. Schools

    wapendwa nahitaji kupata nafasi ya mtoto wangu katika shule za msingi za Diamond au Olympio. Tatizo kila ninaemgusa anataka pesa nyingi ili anifanyie mpango. kama kuna mtu anaeweza kunisaidia tafadhali sana naomba msaada wenu.
  12. Suzzie

    Kuvimba mashavu

    Naombeni nisaidieni, mtoto wangu alivimba shavu la kushoto last week, uvimbe huo huanzia kwenye sikikio kushuka chini. nikampeleka hospital na akapewa ampiclox akapona, leo asubuhi kaamka kavimba upande mwingine na hata kula hawezi, je huo ni ugonjwa gani? unasababishwa na nini? na nini tiba...
  13. Suzzie

    Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

    Nilichoma sindano ya kuzuia mimba January 13, na ilipofika february 13 nikaanza bleed, kwa kawaida huwa naenda mpaka siku 5, lakini kuanzia tarehe february 13 mpaka hivi sasa bado ninableed. hakika nimechanganyikiwa. naomba ushauri wenu nifanyaje?
Back
Top Bottom