Search results

  1. Suzzie

    East african comunity - common external tariff 2012 version

    habari za jioni wapendwa. Natafuta kitabu cha HS Code (EAC - COMMON EXTERNAL TARIFF 2012 VERSION) Please anaejua wapi naweza kukipata naomba anijulishe. nimetafuta sana hadi kwenye duka la vitabu la serikali pale posta hakuna. hata kwa mtu binafsi anayeweza kuniuzia tafadhali tuwasiliane kwa...
  2. Suzzie

    Nyumba nzuri na ya kisasa inapangishwa

    nyumba nzuri self cintainer ina vyumba vya kulala vitatu kimoja ni master, sebule, dining, jiko, choo, ipo ndani ya fence. soko maziwa kigamboni. kituoni ni mwendo wa dk 2, maji ya kutosha. bei ni tshs 350,000. kodi kuanzia miezi sita. kwa atakaehitaji tuwasiliane kwa namba 0758174949
  3. Suzzie

    Chumba na sebule vinapangishwa - Kigamboni

    Habari zenu wapendwa, kuna vyumba na sebule vinapangishwa kigamboni eneo la soko maziwa mbele kidogo ya tungi kwa shilingi 70,000/ kwa mwezi. kodi ni kuanzia miezi sita. maji yanapatikana masaa 24. ipo karibu kabisa na kituo ni mwendo wa dk 2/3 kufika kituoni. kwa anaehitaji ani pm
  4. Suzzie

    Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?

    Napenda kukutia moyo rafiki, elfu 30 ni pesa na unaweza kufanya biashara. usikatishwe tamaa na watu wasiopenda kusaidia wenzao. si lazima uanze biashara na mamilioni. nakusihi angalia unachoweza kufanya kwa ushauri uliotolewa na wenye busara huko juu. pia waweza enda kkoo kwenye maduka ya jumla...
  5. Suzzie

    Nimeanza kufuga kwa mara ya kwanza

    Hongera sana araway, mi nakutia moyo umeanza vizuri, usikate tamaa we fata ushauri mzuri unaotolewa hapa na bla bla nyingine zipotezee utafanikiwa
  6. Suzzie

    Msaada. natafuta jina zuri la kike

    muite Malaika
  7. Suzzie

    Nisaidieni wana JF

    Tajiri sana, naenda kidini ila siku ya mwisho kutakuwa na maonyesho ndiyo maana tumeshauriwa kubeba bidhaa zetu za kitanzania. najua sitaambulia patupu.
  8. Suzzie

    Nisaidieni wana JF

    Asante Preta, na wengine wote japo wengine wanaleta utani.
  9. Suzzie

    Nisaidieni wana JF

    Kuna trip ya kwenda kigali mwezi wa nane kwa ajili ya mkutano wa kidini. tumeambiwa tubebe bidhaa za kitanzania ambazo tunaweza kwenda uza huko. naomba ushauri wenu nipeleke nini?
  10. Suzzie

    Wapi Doctor mzuri wa masikio

    Naumwa sana sikio, kuna kitu kimevimba mpaka kuziba tundu la sikio, nisaidieni wapi doctor mzuri wa masikio nitampata
  11. Suzzie

    Kiwanja kinauzwa kipo eneo la mapinga -mbele kidogo ya shule ya wasichana baobab.

    Nauza kiwanja/shamba 22/22, hakijapimwa kipo karibu na barabara, kituo cha polisi, zahanati na shule ya msingi. kipo eneo la mapinga. bei ni milioni 3 na maongezi yapo. kwa atakaehitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0716174949/0758174949 ili nikupeleke ukakione.
  12. Suzzie

    Nataka mtu wa kupanga fremu yangu ya biashara niliyopangisha kariakoo

    mama Anna umeshapata mteja? mbona simu hupokei?
  13. Suzzie

    Kiwanja kinauzwa kipo eneo la mapinga - bagamoyo

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 20/20. kipo karibu na shule ya mshingi na kituo cha polisi cha mapinga. bei ni milioni 5. kama upo tayari tuwasiliane kwa 0716 174949 ili nikupeleke ukakione.
  14. Suzzie

    Mtot wangu ana tatizo la alergy/ mzio naomba nielekezwe hospitali au dawa nzuri

    Pole mpendwa, hata pale Ekenywa hosp kwa dr. Ole wanapima alergy. ipo magomeni mwembechai
  15. Suzzie

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Nashukuru kwa wote mliochangia na kunifanya nijue wapi pa kuanzia. Pia napenda kuwajibu wapendwa waliokuwa na mashaka kuwa nadanganya kwa kumsingizia hg wangu, ukweli ni kuwa binafsi sioni 7bu ya kuficha ugonjwa kwani hakuna ugonjwa wa kuficha dunia ya sasa. na tena napenda kuwajulisha kuwa...
  16. Suzzie

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Binti yangu wa kazi ana uvimbe kwenye njia ya haja kubwa, siyo vinyama ni uvimbe tena mgumu kabisa na anasema unamuuma, sasa ndugu zangu naombeni mnipe ushauri kama kuna doctor au hospital naweza mpeleka na kupata matibabu. asanteni
  17. Suzzie

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    hawakuja kurekodi, walialikwa na kundi la Accacia singers waliokuwa wanazindua video yao ya pili siku ya tarehe 8/5/2011 pale pta sabasaba. kiukweli inauma sana
  18. Suzzie

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    mh! jamani hiyo dose mbona kama ya malaria mpendwa?
  19. Suzzie

    Tangazo la kifo

    Mungu awatie nguvu
Back
Top Bottom