Search results

  1. mpiga domo

    Tangazo Jipya Kutoka TBS Kuhusu utaratibu mpya wa ukaguzi wa Magari kutoka Japan

    Great Thinkers, Taarifa yenyewe hapa chini kutoka katika tovuti yao inajieleza. Ipongezwe sanaaa serikali kwa kusikia vilio vya wananchi wake wanaoagiza magari kutoka nje ya nchi.
  2. mpiga domo

    Hasheem Thabeet yupo zake Dar anacheza ligi ya mkoa

    kitaalamu inaitwa, "schadenfreude"
  3. mpiga domo

    #COVID19 Tuliochanjwa chanjo ya COVID-19 Karibuni tutoe mrejesho

    Side effect ya chanjo kama ipo mara nyingi ni immediate, within one week tayari utaona madhara kama ina madhara, kama hutaona any changes within one week to one month then hyo chanjo haina side effect.
  4. mpiga domo

    Uonevu kwa raia na manyanyaso

    Mkuu Mshana alitoa number za wakuu wote wa vituo vya polisi, wapigie simu utoe malalamiko yako. Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
  5. mpiga domo

    Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

    Awekeze kwenye hati fungani za serikali za miaka 20 au miaka 25 awe anakula interest ya 15% au zaid kwa mwaka.
  6. mpiga domo

    Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

    AY wameachana na mke wake siku nyingi sanaaa
  7. mpiga domo

    Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Huu uzi ninahisi kuna mtu mmoja ameufungua halafu anauchangia kwa ids tofauti tofauti na lengo lake ni kumchafua mama. Mama ni mtu wa vitendo, mfano mdogo agizo kuhusu TRA kutotumia nguvu na tumeona tayari wafanyabiashara ambao account zimefunguliwa tayari. Na mengi mazuri yanakuja, stay tuned
  8. mpiga domo

    Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

    Key point to note, "KILA ZAMA NA KITABU CHAKEEEEEEE"
  9. mpiga domo

    Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

    Kaongea point tupuuuuuu, hawa ndo wachache tuliobakiwa nao wanaojitambua.
  10. mpiga domo

    Vijana wa ccm ndo wapinga maendeleo,watu waliokosa uzalendo .

    Nimeamini tulikua tumepandikizwa roho za kichawi, za kutaka wote tuwe fukara. Tushukuru Mungu kwa kutuletea mama mkombozi wetu.
  11. mpiga domo

    Katibu mkuu wizara ya habari asema anasubiri maelekezo kufungulia magazeti

    Piga chiniiiiii mama, hawa ndo watu watatukwamishaaaaaaa, hii ni awamu ya SITAAAAA
  12. mpiga domo

    Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani mama kawashika pabaya mmebaki mnaongea utopolo tuuu, na mimi nasema ashikilie hapo hapo hadi mjue hii nchi ni yetu soteeee
  13. mpiga domo

    Huu ni ushamba au itafiki ya lazima katika kutambulisha viongozi na watu maarufu hapa nchini?

    This is so low of you, you can do better than this. Ukanda unaku, "cost".
  14. mpiga domo

    Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

    Wameingia cha kike, alisikika mwanamziki mmoja
  15. mpiga domo

    Mlioachana na wake zenu wa ndoa, ushuhuda au ushauri wenu unahitajika tafadhali

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila we mwamba nimekuinulia mikono[emoji119][emoji119][emoji119] Ila one thing is for sure you are unconventionally intelligent and blunt in your rhetoric ndo maana wabongo wanakuona upo rude. Washazoea kuishi kwenye ulimwengu wa fake nice.
  16. mpiga domo

    Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

    [emoji28][emoji28][emoji28] inachekesha lakini inasikitisha
  17. mpiga domo

    Guest house nzuri around Mlimani City

    nenda pale Azania hotel sinza kwa remmy
  18. mpiga domo

    Ndoa imenishinda. I need prayers

    Pole sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom