Search results

  1. I

    Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

    Nitachoona mimi walichofanya ni sahihi mno kuliko wangebaki na kumsikiliza. Elewa unaposema humtambui kiongozi hauna sababu ya kumsikiliza. Kama wangebaki na kumsikiliza tungewauliza walikuwa wanamsikiliza nani ikiwa wao walishasema hawamtambui rais?
  2. I

    Elections 2010 Dk. Willbrod Slaa, ameitaka Usalama waende mahakamani

    Dr. Slaa Awataka wanausalama waende mahakamani naye atatoa ushaidi huko. Akijibu tuma za kuhusika kwa usalama wa taifa kwa uchakachuaji wa matokeo mkurugenzi wa idara hiyo alisema kuwa Slaa aliingizwa kichwakichwa na watu wanaojifanya wanausalama. Wao hawausiki kabisa kwani swala la uchaguzi...
  3. I

    Elections 2010 Alichokiomba Dr Slaa ni kusitisha kutangaza matokeo, sio Umwagaji damu

    Mwanjelwa Ulitaka Dr. Slaa akae kimya na mwisho wa siku asaini kuwa amekubaliana na matokeo haya ya ubabaishaji? Nionavyo mimi Dr. Slaa amefanya kile ambacho watu wengi wenye akiri timamu walikuwa wanakitarajia. Swali lingine: Je kwa uonavyowewe matokeo haya ni sahihi? kama sio sahihi...
  4. I

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume, akidai kuwa yamechakachuliwa Source ITV
  5. I

    Elections 2010 Mihuri na form za matokeo zakamatwa Anatoglo!

    Kijana mmoja amekamatwa anatoglo na muhuri wa tume ya uchaguzi akiwa anataka kuingia nao ndani. Kijana huyo alikamatwa likiwa ni tukio la pili ambalo limefuatana na lile lilotangulia la kukamatwa kwa mtendaji kata wa Tabata aliyekuwa na karatasi zaidi ya tano za matokeo ambazo zilikuwa zimejazwa...
  6. I

    Elections 2010 Mihuri na form za matokeo zakamatwa Anatoglo!

    Amekutwa na form zaidi ya Tano.
Back
Top Bottom