Search results

  1. JamaaFlani

    Dawa za Meno zinadaiwa kuwa na viini vya kupunguza IQ

    Sasa IQ zenyewe zishapungua tu kulingana na hali ya maisha, tukitumia dawa za meno IQ inapungua tena, sasa itakuwaje?
  2. JamaaFlani

    Upungufu wa mafuta ya kula nchini

    Hahaha mafuta ya kula pengine yapo ya aina nyingi, hatuwezi kujua hahahaha
  3. JamaaFlani

    Registration number ya University of Iringa

    we aukuwa na registration number wakati unasoma Chuo? unweka reg. number yako wakati unasoma hiyo certificate/diploma/degree/masters... sasa kama kujaza taarifa ndogondogo hizo unakwama kazi utaiweza kweli?
  4. JamaaFlani

    Registration number ya University of Iringa

    Then Hakuna Course ya Maendeleo ya jamii, ajira zilizotangazwa ni za Ualimu na Afya, siyo za Maendeleo ya jamii...
  5. JamaaFlani

    Registration number ya University of Iringa

    Kuna University of Iringa Moja tu Nchi Hii, wao TAMISEMI wamekipa chuo Abbreviation Hiyo ya UNIV but ndiyo University of Iringa... Mind You UoI ni Abbreviation siyo Code... Apply, kabla ya deadline, hicho ndo Chuo Kikuu cha Iringa
  6. JamaaFlani

    Registration number ya University of Iringa

    Chuo Kipo kwenye List, Kipo Mwishoni Kabisa, Tizama kwa Umakini... Mimi nimeomba na chuo kilikuwepo na bado kipo
  7. JamaaFlani

    Msaada wa mawasiliano ya University of Iringa

    MAWASILIANO YA UOI - CHUO KIKUU CHA IRINGA Mobile No: Mobile No:+255743802615/ +255677048774/ +255753618173/ +255743082615 Web: www.uoi.ac.tz E-Mail: admissions@uoi.ac.tz
  8. JamaaFlani

    Kumbe kuna vyuo vinaruhusu kufanya application bure kabisa?

    University of Iringa ni Bure na Tena kwa Sasa Wamewafuata Wanafunzi Walipo
  9. JamaaFlani

    USHAURI: Kwa matokeo haya huyu kijana aombe kozi gani?

    Anaweza Kusoma Course ya BAME (Bachelor or Applied Marketing and Entrepreneurship) Ambayo Inafundishwa Chuo Kikuu cha Iringa (UoI-University of Iringa) Zamani Tumaini-Iringa. Hiyo Course inatolewa UoI Pekee kwa Hapa Tanzania na Hata Afrika Mashariki... PM me ili nikutumie namba za simu za...
  10. JamaaFlani

    Swali kwa fans wa Man U & wapenda soka EPL

    Ikiwa Manchester United wanataka kumbadili Kocha Ole Gunnar Solskjær, unadhani nafasi hiyo itamfaa zaidi Kocha yupi kwa kuipa ubora Man U?
  11. JamaaFlani

    Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

    Fua wewe, wacha kujitetea
  12. JamaaFlani

    Wakaka mnakosea mnapodhani pesa ndo inayotuvutia kwenu

    Maneno Hayafanani na vitendo ... najua deep down unasema kimoyomoyo hela kwanza
  13. JamaaFlani

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mwongezee na rock city mall
  14. JamaaFlani

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ndo Utulie Sasa, Mie Mwenyeji Wako, niwe nimepost niwe sijapost ndo ujue mie mwenyeji hapa
  15. JamaaFlani

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Niko JF toka 2013 mi mwenyeji kuliko wewe wa 2017
  16. JamaaFlani

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    TZ iko blessed with lots of resources kuliko Kenya
Back
Top Bottom