Search results

  1. avogadro

    Kwa hali inavyoonyesha CHADEMA kwa sasa

    Maandamano yamekwisha pitwa na wakati. Vijana wapo busy kupambana na kutafuta pato la Kila siku Hao wanatumia fedha nyingi kusafirisha watu kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine waonekane Kuna watu wengi. Watu wanawashangaa wanaowaona kama wanafanya jogging tuu
  2. avogadro

    TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    Wafanye maamuzi magumu, ili kuokoa misitu yetu, kuharamisha shughuli za kiuchumia washushe Bei ya umeme kwa kiwango Cha chini kabisa ili kuachana na ma gesi ambayo ni ghali na hatari lakini ujasiriamali utaongezeka
  3. avogadro

    Hii vita kati ya mwanadamu na shetani ni vita ya uonevu(haina usawa na haki)

    https://youtube.com/shorts/FZGDmnKRY6Y?si=i_0TCjWB0TJCDaKh
  4. avogadro

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Angalau haya.yana asili ya kibantu sio wale bakita wengine walikuwa Wana copyajina.ya kiarabu na kuislimisha lugha ya kiswahili
  5. avogadro

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Sahihi kabisa na wengi ndio hivyo
  6. avogadro

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Ni huyo anayetoa kwayo nyumbani, kwenda club Hana kitu anatarajia kuhudumiwa na so called mdhamini
  7. avogadro

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Hayo ndio ma vector wa ukimwi. Yanazoa sehemu mbalimbali yanawasambazia kwa kuwa yananhela na ninyi mnadhiki mnauza K hamkatai. Yameos wake wazuri kwa harusi za kifahari ,yameacha watoto wazuri nyumbani vinasoma english medium. Vinamwita dad kumbe ni li firauni. Likianza kuugua linasimgizia...
  8. avogadro

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Hayo majina kwa kuuza mihadarati hayo yanaongoza
  9. avogadro

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Umesema kweli 🔹 Ndio hayo yakienda semina Yanabeba Yale madawa ya kienyeji yanayouzwa nje ya kumbi za semina kumbe wamechanganyiwa viagra
  10. avogadro

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Unakuta zee Zima , nyama zimeanza kuachana na mifupa, nywele zimeota mvi ila amepaka rangi kuzificha , limevaa eti kaptula lipo huko club linaruka ruka
  11. avogadro

    Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

    Piga picha ya long short acha kupiga waliojikusanya kwenye jukwaa. Unaficha nini? Piga picha ya eneo lote
  12. avogadro

    Natafuta hawa 'Grass cutter' hapa Tanzania

    Mbona ni Kakibara au ngekewa kwa Kiswahili?
  13. avogadro

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Zanzibar uchumi wake ni WA kihistoria unachangiwa pakubwa na mapato ya utalii Raia wawe makini Sana kutumia biashara zao kama nyenzo za kueneza au kuonyesha itikadi zao. Hii ikienda viral itatuharibia. Wakati wa mwezi wao wajue Kuna wageni wasiofungamana na Imani hiyo hivyo hoteli za Umma...
  14. avogadro

    Kupigana kwa Israel na Iran ni mipango ya Mungu kuipa ushindi Hamas

    Mungu yupi unaizungumzia? Au yule anayekaa ndani ya lele jiwe pale Saudi Arabia?
  15. avogadro

    Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

    Ni jambo la aibu na ajabu kwa mtu anayejiita mchungani, kukosoa uimbaji wa Mungu na kumdhalilisha huyo binti kiasi hicho. Hivi akiiisikia hii video si anaweza kujiua?
  16. avogadro

    Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

    Kuna wale vijana wa zamani kwenye mikutano bado wanatumia vile vichekesho vya zamani vya la kuchumpa ,lakuparama, wagagagigigogo
Back
Top Bottom