wengi tu mimi mmoja wapo. au unataka watu maofisini wajitangaze ndio uelewe. mkuu wa shule ya feza boys mwenyewe ni zao la shule izo. nenda muhimbili kaulize kuna doctors yeyote amesoma FEZA utapata jibu.
mimi ni mmoja wa wanafunzi nimesoma apo FEZA o-level na high-level. shule za FEZA hazina mtaala wowote unaofundisha ugaidi.
shule ina walimu mchanganyiko waturuki na watanzania. wanafunzi wengine niliosoma nao sasa hivi ni walimu apo FEZA. kwa mfano mkuu wa shule ya FEZA boys alisoma apo...
habari zenu wakuu,
jamani naomba kuuliza uko mitaa mnayoishi ulinzi wa sungusungu nyakati za usiku upo?
hapa mtaa ninaoishi kulitokea matukio ya uhalifu kama mawili hivi, sasa ikaamuliwa uanzishwe ulinzi wa sungusungu. tatizo lilipo ni njia wanazotumia hao viongozi wa kikundi cha ulinzi.
1)...
Habari zenu JF members,
Kutokana na upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi na ata yale ya arts na biashara,
nimefikia wazo la kuanzisha website ambayo itakuwa inahusiana na wanafunzi kupata materials (notes)pamoja na videos.
kwa kuanzia mimi binafsi nimeshaanza kuandaa notes za physics...
sio wote kuna wengi wamelelewa na mzazi mmoja na wana tabia nzuri tu. inategemea na mama mwenyewe kamlea vipi mtoto wake. mimi girlfriend wangu kalelewa na mama pekee toka anazaliwa ila anatabia nzuri sana. mwaka jana nilikuwa na msichana mwingine nae pia alikuwa na situation the same ila...
Habari yenu MMU members,
nawashukuruni sana wale wote waliochangia kunishauri kuhusu yule msichana ambaye alikuwa analala kwangu sometimes ila alikuwa anamuota ex boyfriend wake pamoja na kufanya mapenzi kabla ya kulala.
kisa hiki kilinitokea 2011 na demu nilikuwa nae kwa mwaka mmoja na nusu...
acha upumbavu wako wewe hakuna uhusiano wowote kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto mtu asiwe na akili. mimi mwenyewe nimesoma sana madrasa lakini form form nimepiga one ya point 11 na form six one ya tisa na kwa sasa ni engineer tena nimesomea nchi za ulaya. acha hujua mkuu. changia point na...
mkuu mzalendo shule binafsi hawachakachui ata kidogo mimi nimesoma miaka sita na hakuna ata siku niliyoona watu wakichakachua. kwa mfano sisi enzi zile ili mtu aendelee kidato cha mbele lazima awe na average pass mark ya 55% na mtu wa mwisho class yetu alikuwa na 58% apo ndio utajua kwa nini...
Habari zenu wana JF,
Hapa nitaelezea kwa kina mbinu wanazotumia shule nyingi za binafsi ambazo huwa zinafanya vizuri.
Mimi binafsi nimesoma shule ya Feza Boys miaka kadhaa iliyopita na kwa sasa ni Engineer japokuwa wazazi wangu walikuwa maskini sana, shule iligharamia kila kitu kuanzia form...
mkuu hii ni ajabu, tatizo sio bikra inshu ni umri na urembo wake na nchi zenyewe hizi za europe vitoto vidogo vinamabwana. sasa yeye kujitunza mpaka 25 ni ajabu hiyo kwa kweli
msichana ni mzuri wa sura na mrembo kwelikweli na wala hana kitambi yaani tumbo flat kabisa, na wanaume wengi wameshawahi kumtokea ila hamewanyima wote hao na kuja kunipa mimi, kwa kweli ni heshima mkuu. mtoto nilimfanya awe happy for two months mpaka akanialika kwa familia yao chrismass, so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.