Search results

  1. Mawimba

    Nimeota CCM wataongoza Tanzania hadi mwisho wa Dunia

    Hiyo nayo ni muendelezo tu wa ndoto zako kama zile za kupaa Kukimbizwa na mnyama nk.. mambumbumbu mengi yapo kizazi hiki tu. Miaka ijayo Patachimbika weka hii na omba uzima
  2. Mawimba

    Kwanini kifo kisiwe kama zawadi ya thamani ya kumpa mtu?

    Yani umuachishe mafanikio alionayo mtu kwa maisha ya ahadi (Ahera)? Kwani wewe maisha haupitii hayo unayoita tabu za Dunia? Jiue ukapumzike basi😜
  3. Mawimba

    Mtoto anayeandaliwa kuwa Rais wa JMT mwaka 2050 na jinsi makisio yanavyopishana: Hata hivyo ya Mungu mengi

    Nilichokielewa kuwa unataka kutuaminisha 2025 Raisi hatakuwa Samia maana akiwa yeye ukomo wa Uraisi wake 2030 kikatiba.
  4. Mawimba

    Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

    Kama ni pesa basi zinasafirisha kienyeji sana.... Kuna siku natoka Singida Naenda dom Nilipishana nayo yakiwa mbele limetangulia dogo na king'ola afu haya makubwa matatu yakawa kati ila kwa gap kubwa kubwa na mwishoni ndo ndogo yenye king'ola. Dereva wangu akaniambia hizi gari ni za watu wa...
  5. Mawimba

    Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

    Habari Niko nje ya mada kidogo Kuna Magari SU uwa yanakuwa Moja katikati kubwa na madogo mbele na nyuma Escort uwa yanasafirisha nini? Nawasilisha
  6. Mawimba

    TANESCO: Mita za umeme za zamani mwisho kutumika tarehe 25 Oktoba 2023

    Hivi akaunt zao za kwenye mitandao ya jamii wanafanyia kazi gani TANESCO
  7. Mawimba

    Ni utamaduni sahihi kwa Marais kuteua viongozi wakiwa nje ya nchi? Inaleta taswira chanya?

    Kwahiyo kwenye Barua zake za teuzi neno Doha limekosewa? Ficha Ujinga wako
  8. Mawimba

    Rais Kagame kanifurahisha na points zake

    Uchangiwe au uchangie?
  9. Mawimba

    Rais Kagame kanifurahisha na points zake

    Nimeshindwa kuungana nawe Maana bando la kuangalia hiyo video sina... siku ingine tufikirie nasi uwe unaandaki kile unachotamani tusshiriki na unaweka video kama chanzo Cha taarifa kwa wenye kuhitaji
  10. Mawimba

    Ushauri: Nimebaki na Tsh. 10,000/- tu baada ya kupokea mshahara, nifanyaje?

    Ulipata sh ngapi hili tuangalie matumizi Yako kwa siku na Tuweze kukupa muongozo kwa hiyo teni
  11. Mawimba

    Kuzaa na wanawake tofauti ni kutafuta Matatizo

    Mbona Hao ni wazuri sana Unawakusanya unaishi nao full stop
  12. Mawimba

    Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

    Tamaduni zingine Utajiri ni Watoto..... Nendeni mukaijaze dunia
  13. Mawimba

    Ni kwanini mwanaume ukistaafu kazini thamani yako inaisha mbele ya mkeo

    Yani Anavyoachwa msataafu ni heri maana wenyewe wanachanganyikiwa na pesa za mafao zikiisha magonjwa yanakuwa Yao Na Akili inayumba hivyo mwanamke anaona heri aachane na kichaa ....sasa wanaopoteza Ajira ndio inatia huruma Aisee
  14. Mawimba

    Kwanini katika kundi kubwa la wanaume wa miaka 50+ wanaofariki na kupata maradhi ni wanywa pombe ?

    Kwa sababu wanywa Pombe ni wengi kuliko ninyi wafia dini
  15. Mawimba

    Ushauri wangu kuhusu Mtanzania aliyetekwa Nigeria

    Tukitoka hapo jwtz wakifanikiwa tuwapeleke kwenye mahakama za kimataifa zinazo wachemsha BOGO CCM na wakina Prof Mruma..... Ndani tuliwahi watumia kwenye udhulumuji wa korosho Kusini walifanikiwa Nasemaje walifanikiwa kwa % zote zilizopo Duniani
  16. Mawimba

    Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

    Manyoni Singida Dumila Morogoro Songea Ruvuma Kibaha Pwani
  17. Mawimba

    Nani angekubali kuja duniani kama angeelezwa juu ya kifo?

    Imani zote zimekuja kwa hofu tu yakuhusianisha maisha mawili tofauti Uhai na kifo.... Haya maisha yanaanzia pale mbegu ya mwanaume inapoungana na yai la mwanamke..... Unapitia kwenye maisha usiyo yafahamu mpaka unakuja kuwa mtu mzima hivyo kifo nayo ni maisha.... Vitabu vikubwa vya Dini ndio...
Back
Top Bottom