Search results

  1. miss nyakanazi

    Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    kweli ni utata na kuna kauli niliisikia kuwa u4 alimueleza yule muuza samani kwamba muuaji nimemuacha ndani cjui kama familia yangu ipo salama..sasa kama muuaji alimuacha ndani alimuonaje tena akijiua?
  2. miss nyakanazi

    Ndugu wa 'mume' wa Ufoo waja na mapya

    Hata akipona akaanza kuripoti hamtakawia kumuita mwandishi muuaji...du ana wakati mgumu kwa kweli hasa kisaikologia
  3. miss nyakanazi

    Ndugu wa 'mume' wa Ufoo waja na mapya

    Dunia imechafuka..wanawake wachakachuaji ni wengi kuliko unavyodhani...ukimchunguza sana bata huwezi kumla.
  4. miss nyakanazi

    Ndugu wa 'mume' wa Ufoo waja na mapya

    Hahahahah...jaman hebu nicheke mie..darini?
  5. miss nyakanazi

    Nikiua boda boda nisiulizwe wala kulaumiwa

    hahaha..ni kweli wanaboa sana, kuna mmoja alipata ajali huku kwetu kwa hasira watu wakawa wanampita, wanasema nyie c mnajifanya mna umoja..subir wenzio waje wakuokoe..!!
  6. miss nyakanazi

    Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

    Hahaha...nimecheka mpaka bac, nani anaependa kukaa chooni jamani..~~
  7. miss nyakanazi

    Mkoa gani ni mzuri kuishi?

    Eh cjui huyu mtu aende wapi bce kila mtu anamuita aende mkoa aliopo..sasa ckia wewe nenda namtumbo nackia kila kitu kule ni kama bure vile..!!
  8. miss nyakanazi

    Mwajiri atumiwa uchawi baada ya kumfukuza mwajiriwa kazi

    cjawahi ona njiwa mweusi hivo kama lami...njiwa mwenyewe orijinal huwa ana rangi ya kijivuna ana mvuto bana..hilo ni likunguru halifugiki..!!!
  9. miss nyakanazi

    Naombeni jibu tafadhali..inauma sana!!

    eh jaman na me nashangaa watu wengine cjui wana roho gani..
  10. miss nyakanazi

    Naombeni jibu tafadhali..inauma sana!!

    na me nashangaa..!!
  11. miss nyakanazi

    Naombeni jibu tafadhali..inauma sana!!

    eh unampa pongezi kwa kutupa mtoto?hata kama awe na matatizo kiasi gani suluhisho c kutupa mtoto alikuana uhakika gani kama mtoto huyo ataokotwa na mtu ..je angeliwa na wanyama? ni bora angeweka wazi shida zake wasamaria wamsaidie...
  12. miss nyakanazi

    Naombeni jibu tafadhali..inauma sana!!

    Hivi inawezekanaje mtu uzae mtoto umlee mpaka miezi minne halafu umtupe kweli? hata ile huruma tu kwamba mtoto huyu amenizoea, nitamkumbuka, cjui nani atamuokota, kweli mtu unakuwa hauna? nimeamini kweli tumeumbwa tofauti...mtoto huyu mzuri unayemuona ametupwa maeneo ya bamaga mwenge, kwa nini...
  13. miss nyakanazi

    enzi izo...

    kweli hakuna jipya chini ya jua...style zote hizo zimesharudi..!!!
  14. miss nyakanazi

    the big naniii

    Duu..hayo ni fake hayo..
  15. miss nyakanazi

    Tukio la Bomu Arusha: The game was planned - kauli ya baadhi ya polisi

    mmmh, huko kwenye kutafuta amani sasa kuna mawil Daddo..either damu yangu imwagike ...wakati me bado nina hamu ya kuishi!! kenya now hali ni shwari nitakuwa mkimbizi kwa muda..hahaha..
  16. miss nyakanazi

    Tukio la Bomu Arusha: The game was planned - kauli ya baadhi ya polisi

    mmmhh nimesoma ujumbe huu huku naogopa...kweli tumeshafikia hatua hii? ngoja nianze kuomba uraia nchi jirani mapemaaaa...!!!
  17. miss nyakanazi

    Uongozi hospitali ya Butimba {Nyamagana} fuatilieni hili swala...!!!!

    Leo nimeshuhudia timbwili kati ya necy mmoja wa ward ya watoto mfupi halafu kakomaa miguu akigombana na dada mmoja eti kisa nesy huyo analazimisha kumchoma mtoto wake sindano ya quinine wakati docta amemuandikia mtoto huyo drip ya quinine, mwishoe yule dada alikubali mtoto achomwe sindano hiyo...
  18. miss nyakanazi

    Acha kubisha undugu siyo hadi mshee damu

    nilimuona rais mugabe na ngedere wamepigwa pic na wao ni ndugu?
  19. miss nyakanazi

    Duu!!! huyu mwanafunzi noma..!!

    Mwanafunzi alikuwa anakerwa sana na sala ndefu ambayo wazazi walikuwa wanamlazimisha kuisali kabla hajalala...mwanafunzi akaamua kuiandika sala yote kwenye karatasi akaibandika ukutani..ikifika ucku anaingia kitandani anajifunika...halafu anasema EH MUNGU SOMA PALEEE....halafu analala..!!
  20. miss nyakanazi

    Mwanangu hii inaitwa heshima..!!!

    Eti mtoto alimuona baba yake anakojoa akamuuliza baba hiyo nini? baba akamwambia mwanangu hii inaitwa heshima, mtoto akakua na kujua kile kitu kinaitwa heshima...cku moja yule mtoto akawa anapata kipaimara so home kukawa na sherehe...baada ya sherehe mtoto akaambiwa asimame atoe heshima mbele...
Back
Top Bottom