Search results

  1. Hornet

    Poleni wanaume mliooa ambitious women

    Kwanza kabisa,Poleni kwa misiba mizito inayoendelea, Pili nawapongeza na kuwapa pole wale wanaume waliooa wale wanawake tunaowaita ambitious women Wanawake wanaojiangalia wao, wanawake wenye malengo makubwa makubwa, wanawake wasioweza kuvumilia shida , Yaani wao pesa mbele Kama tai, Huwa...
  2. Hornet

    Chimbo la Vipodozi Original kwa bei nafuu limekufikia

    Najua watu wengi wanaopenda na kujali ngozi zao huwa wanatafuta bidhaa nzuri za kuleta matokeo mazuri Hapa sasa Umefika, tuna bidhaa nzuri kutoka brands kubwa (Nivea,Dove,Ordinary,Boots, n.k) Pamoja na brands ndogo zenye bidhaa nzuri kama (Cosmo,Dr Davey,Cantu,Dr rasheln.k) Hapa utapata...
  3. Hornet

    Baada ya kutamba, Taxify wahusishwa na Tuhuma nzito

    Kwa wiki mbili hivi kumekuwa na minong’ono juu ya madereva wanaotoa huduma kupitia Bolt Tuhuma hizo zinahusisha kujeruhi, kupiga, kutapeli na kunyang’anya abiria mali zao Pia kupeleka abiria kwenye wrong destination. Hizi tuhuma zinaweza kuwa ni za kweli ila ikawa ni mipango mikakati ya...
  4. Hornet

    Wanawake baada ya nywele tukumbuke na miguu pia

    Wanawake ni kundi lenye majukumu lukuki katika siku, pamoja na majukumu hayo usafi na urembo ni jambo muhimu pia. Wanawake wengi wamekuwa wakizingatia zaidi nywele na uso huku wakiacha miguu na kucha zake vikibaki kwenye hali taaban, Unakutana na mdada kasuka knotless kachora wanja wa lulu...
  5. Hornet

    Fursa kwa mafundi rangi. Nunua rangi upate Maji ya kunywa bure

    Wale wakali wa decoration, Wapaka Rangi za aina mbalimbali, karibu ununue rangi kwetu na utapata maji ya kunywa buree Rangi tulizo nazo ni 1.Drewa (mineral stone) kg 25 2.Cone mix (Terrasit) kg25 3.Emulsion Base na Ya Rangi kuanzia 4Lt mpaka 20Lt 4.Weatherguard Base na za Rangi 5.Silk (wash...
  6. Hornet

    Car4Sale Karibu uuze au ununue gari na hornet

    Hapa utakutana na magari ya aina tofauti tofauti na bei ya kipindi cha Magufuli. Magari kuanzia namba A mpaka D za mwishoni Utapata chassis kutoka Japan na ukihitaji kutoka Zanzibar utapata pia PIA kama una gari lako unahitaji kuuza tuwasiliane nitakuunganisha na wateja wa uhakika kabisa Kwa...
  7. Hornet

    MARK II safi kabisa inauzwa

    TOYOTA GRAND MARK II CKU full Ac Haina kipengele. 5.8M Mbezi 0755155782
  8. Hornet

    My confession: Hornet is Positive

    Habari zenu wote? Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu, Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno. Nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukia...
  9. Hornet

    Plot4Sale Shamba linauzwa Fukayosi Bagamoyo Heka 10

    Shamba lipo Dakika 10 kutoka Barabara kuu linafikika kwa Gari na Miguu Lipo opposite na Serikali za Mitaa za Fukayosi. Huduma za kijamii zipo Linafaa kwa Kilimo na Makazi. Bei ni 1,500,000 kwa Heka moja. 15,000,000 kwa hela zote 10. Karibuni 0755155782
  10. Hornet

    Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

    Tunauza Balo za Mtumba Uzito tofauti tofauti, Kuna Balo za UK Bei yake Ipo juu kidogo kutokana na Ubora na aina ya material ya Nguo zake, Kuna Balo za China hizi bei yake Ipo chini Kidogo kulingana na ubora wa Bidhaa zake. Zifuatazo ni Aina za Balo na Bei zake; Nguo za watoto Kg 45 UK @680,000...
  11. Hornet

    When a Woman Love

    To you Papa D, I know you know how much I love you. Wachana na maneno ya wanga, Nisikize mimi,nipe vya uvunguni usinibanie, Nilaze kwenye kifua chako Mashaallah, usiniache hewani.. Nipo tayari kwa ajili yako.. Nakupenda Leo mpaka kesho.. Hazard CFC
  12. Hornet

    Shuka high quality best price

    Karibuni shuka nzuri mtaani zinaitwa shuka za Uganda Ni cotton 100% Hazitoi vipele kabisa Kufulia omo ni ruksa kabisa. Zinafaa kutandika na kujifunika Ukubwa ni 6*6 Zinatosha Godoro nch 10 na zaidi Shuka moja na foronya mbili bei ni 25,000 Shuka bila foronya bei ni 20,0000 Shuka mbili...
  13. Hornet

    Sifa na utukufu kwa wanaume woote wanaotufikisha kibo

    **weekend hii tulivu nimekaa nikatafakari juu ya Ukuu wa baadhi ya wanaume jamani ** Yaani unakuta mwanaume anagusa kona zote, Kushoto kulia Kaskazini mpaka kusini Anakata mabonde na milima bila kusahau vichochoro na vichaka vyoote... Yaani mwanaume anamuhamisha mtu kutoka dunian mpaka Pluto...
  14. Hornet

    Natafuta wholesalers wa vitu vya watoto

    Hello Natafuta muuzaji wa vitu vya watoto Kuanzia >>equipments za watoto wachanga >>Furnitures >>vinguo vya vichanga >>Trollies >>Toys etc Please awe ni muuzaji wa jumla nahitaji kwa ajili ya kuuza rejareja Awe wa uhakika Asiwe dalali Awe na Duka Karibu Pm.
  15. Hornet

    Mwanaume kupendeza; njoo ung'are na Hornet

    Wapendwa wanaJf najua hizi bidhaa hata mtaani zipo! Ila niungisheni kila bidhaa itakuwa na bonus ya leso ya cotton [emoji16][emoji16] Bidhaa zetu zinatoka Uganda,kule wanaleta mzigo genuine tofauti na Kariakoo uchakachuaji umekuwa mwingi![emoji4][emoji4] Delivery ipo kwa wana Dar es Salama na...
  16. Hornet

    Soko kwa wakulima wa matango

    Natafuta matango kiasi kwa ajali ya biashara, Yawe yapo shambani nitafuata mwenyewe, Ama kama anaweza kuniletea tutazungumza. Napatikana Kibamba, Dar es Salaam Bei ya bidhaa itatoka kwa mkulima mwenyewe na makubaliano yakifikiwa tutafanya biashara. Napendekeza matango kutokea mikoa ya pwani...
  17. Hornet

    Ng'arisha ngozi yako kwa njia za asili

    Hello wapenda urembo wenzangu? Japokuwa mie mgumu ila kwenye swala la ngozi nipo makini... Nawakaribisha katika uzi huu tushee njia kadha wa kadha za kung'arisha ngozi na kuifanya iwe laini. Njia ya kwanza ni [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] Mafuta ya nazi +carrot...
  18. Hornet

    Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

    Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40. Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida? Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana. Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu...
  19. Hornet

    Mawazo Madogo madogo ya mitaji midogo midogo ..

    Kama tunavyojua biashara ni matokeo ya kusuluhisha changamoto zinazojitokeza katika maisha ya kila siku Katika changamoto hizi ndipo unapogundua kuna jambo la kufanya kukuingizia kipato. Haya hapa ni mawazo ambayo nimeyapata kwa kuangalia changamoto katika mazingira yetu ya KiTanzania ,pamoja...
  20. Hornet

    Tecno WX3 inauzwa bei ya ofa

    Simu imetumika miezi 3 Utapewa charger yake Risiti zipo Haina tatizo lolote, Ipo Ubungo Dar es Salaam Bei ya kuanzia ni 110,000 Ukihitaji njoo 0755155782
Back
Top Bottom