Search results

  1. Hornet

    Uzi wa vyakula tu

  2. Hornet

    Acha kuponda starehe msaidie ndugu yako achomoke kwenye tanuru la umaskini

    Umekuja duniani mwenyewe na utaondoka mwenyewe. Fight your own battle.
  3. Hornet

    Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

    Wateja wengi hawakubali kulipia before delivery Kutumia bolt ni risk zaidi Bora awe na boda wawili waaminifu Unaachana nae tu for good anaweza kujishtukia akaja kuwa mteja mzuri tu.
  4. Hornet

    Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

    Tunafokewa jamani.. saa nyingine naweka simu loud naendelea na kazi zangu, akimaliza anakata mwenyewe
  5. Hornet

    Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

    Nina mteja wa Jumla nimemremove kwenye group zote Nimempa tu na ukweli nikamwambia be humble, kununua mzigo kwangu isiwe sababu ya wewe kunigeuza dampo la maneno machafu.. juzi nimeona text yake nimuadd kwenye group ila bado sijaisoma.
  6. Hornet

    Dkt Sule: Baba yangu alifungwa kwa kuwa na colgate

    Dkt Sule wa Ardhi University au mwingine?
  7. Hornet

    Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    Nilienda Mwanza sijaenjoy Next time nitafika huko waghill
  8. Hornet

    Uzi wa vyakula tu

  9. Hornet

    Jioni yangu imekua mbaya ghafla😩😩😩😩😩

    Na yenyewe iungue apate hasara mbili😅
  10. Hornet

    Jioni yangu imekua mbaya ghafla😩😩😩😩😩

    Ila jamani blender 45,000?!! Kula uliwe
  11. Hornet

    Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

    Hivi huwa mnawaza nini? Unakuta mtu amekazana kukuongelesha hajui hata kichwa kina nini🙌
  12. Hornet

    Natafuta Mke

    Amepotea?
  13. Hornet

    Uzi wa vyakula tu

  14. Hornet

    Uzi wa vyakula tu

    Nilikua na njaa sana Nikaanza kupitia picha Za vyakula
  15. Hornet

    Uzi wa vyakula tu

  16. Hornet

    Uzi wa vyakula tu

  17. Hornet

    Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

    Wacha atembee na upepo Tz ukiwa serious hautoboi
Back
Top Bottom