Wanajamvi nimefuatilia kwa karibu Ziara zote mbili za Chama cha Mapinduzi zilizofanyika hivi karibuni,ya kwanza ni ile ya Mwenezi Mstaafu Makonda peke yake akiwa na Serikali aliyoita Back to Back na ya pili hii ya Nchimbi akiwa na Sekretarieti ya Chama.
Nilichokiona Binafsi Ziara ya kwanza ya...
TRA kuweni serious !
Kwenye Mshahara wangu wa mwezi nakatwa kodi na madudu mengine karibu nusu ya Mshahara kabla sijaupokea, nafungua Biashara mnataka Kodi kabla sijaanza,Mwenye Nyumba ya Biashara anataka Kodi kabla sijaingia.
Mwenye Nyumba ya kuishi anataka kodi kabla sijaingia,Manispaa...
Wanajamvi,
Leo tarehe 09.04.2024 muda huu wa jioni nimetoka kituo cha mwendokasi cha Posta ya zamani kumpeleka wife, nimekuta abiria wamejazana hapo eti kwasababu hakuna umeme Kituo hakiwezi kukata tiketi.
Hii ni aibu kwa nchi, katika karne ya 21 watu wanakwama kusafiri kwasababu ya Umeme...
Habari za Mchana wanajamvi
Kwanza nianze kumshukuru Dr Samiah Suluhu Hassan kwa kuniwezesha kuanzisha thread,yeye ndiyo karuhusu JF iwepo angeamua isingekuwepo.
Mbili jamani Mwanadamu ni Selfish by Nature hivi inakuwaje Mbunge unajilipa Mil 18 na Maposhoposho juu huku Mwalimu analipwa Laki...
Daaah! Wazee kuna baadhi ya wanawake sehemu zao za siri zinatoa harufu.
Najiuliza wakati nakutana naye alifichaje ile harufu bado sipati majibu Mazee.
Wanajamvi nikiri nilikutana na demu nikatongoza kwa picha za Filter, nilipokutana naye nikamuona yuko tofauti kidogo ila kwasababu ya umalaya...
Ni kuhusu umoja wa kitaifa katika Matukio kama haya ya kitaifa.
Niliona limetokea kwa Lowassa nature ikalirekebisha ila nashangaa tena kwa Mwinyi limejitokeza tena.
Naona Mama anapambana sana kuhusu 4R ila wasaidizi wake inaonekana hawako tayari au bado wanaishi katika ulimwengu wa hofu.
Mzee...
Nchimbi ni akili kubwa sana aliposema Watumishi wa Umma siyo maadui wa chama tafsiri yake ametumia hekima ya wazee wanaosema Mkeo akikosea anasemwa chumbani siyo hadharani,Kuku wako Manati ya nini wakati jioni anaingia Bandani.
Anachokifanya Makonda kwasababu ni populist kinawezekana kikampa...
Wanajamvi sijui kama na nyie mnaona au ni mimi tu,nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa naona Wabunge wanagawa sana Majiko ya Gesi majimboni mwao.
Ninachojiuliza ni kwamba wanaigana au wanakubaliana kuwa ndiyo zawadi nzuri au kuna maelekezo au kuna sehemu wamepata majiko hayo kwa fadhila au ni...
Wanajamvi actually mimi kama Mwana- CCM nimejisikia Vibaya kuona maoni mengi ya Wadau yanakuwa ni maoni yanayopiganiwa na CHADEMA.
Hii kwa Great Thinkers tafsiri yake ni kwamba CHADEMA ndiyo inaonekana kubeba Agenda za Wananchi kitu ambacho siyo ishara nzuri kwa chama chetu, sisi ni Chama...
Wapi nimesema Faini alipiga Bajaji pekee,Wewe Ziwa Jipe ni mmojawao au mfanya hayo mambo sehemu nyingine ndiyo maana unakuja mbio kuropoka kwa akili za tumbo bila kusoma mada kwa makini na kuelewa.
Tuma timu yako kwa namna inayofaa leo tarehe 01.10.2023 wakajiridhishe namna Trafic wanavyokomoa Madereva hasa wa Bajaji katika eneo hilo.
Leo nimepita Mandela Road Dar es Salaam nimeona operesheni kali madereva wa Gari wanakamatwa na wengine watu wazima wanafokewa na kujibiwa vibaya kwa...
Si kumuita tu Daktari kuthibitisha tusije tukazika kumbe kazimia?
Ila kuzimia gani huku hadi hiki kishindo cha sintofahamu ya kupanda Mishahara ya Watumishi wa Umma mwezi huu ashindwe kuamka?
Tushirikishane kabla ya kufanya uamuzi wa kuzika au kusafirisha.
ACT watakuwa na Agenda gani sasa na tunaelekea kwenye Uchaguzi?Agenda yao Kuu ilikuwa CHADEMA hawana Ofisi huu muda uliobaki utawatosha kweli kutafuta Agenda Mpya kuu ya kuwachanganya Wananchi?
Wafuasi wa Zitto mnateseka sana na CHADEMA, amsha waliyoipiga CHADEMA kuanzia Uzinduzi Mwanza hadi hii Operesheni Katiba Mpya hakuna Chama cha siasa hapa Tanzania kinaweza hata kuisogelea.
ACT na CCM si kitu hichohicho badilisha thread uandike CCM na Mwanae wanaendeleza Mikutano ya kuishambulia...
Wachambuzi wa Soka Tanzania na Watanzania ni Wanafiki sana wengine washakuwa Wachawi.
Kwanini kufungwa Yanga kiwe kitu cha ajabu kiasi hicho?Kila kona kelele na uchambuzi mavi usio na kichwa wala miguu, kila kona unakuta Mchambuzi anaharishia watu.
Hakuna Mchambuzi wa kumchambua Nabi hapa...
Narudia tena Watanzania ni Wanafiki sana wanajua mema na mabaya ila wanayaficha Moyoni.Wanasiasa msidanganyike na Maneno ya Watanzania fanyeni kilicho sahihi muingie mioyoni mwao.
Bernard Camilius Membe ndiyo mwanaume pekee ndani ya CCM aliyeweza kusimama dhidi ya baadhi ya Matendo Magufuli...
Kwa taarifa yako Ukuaji wa Uchumi wa Rwanda sisi tuko nyuma yao issue siyo Lockdown ni sera zako za Uchumi unaziwekaje, Projection za ukuaji wa Uchumi zinaonyesha kasi ya Rwanda na Ivorycoast wameshatutupa tayari, sasa kwanini Kenya wanacollapse? Fanyeni tafiti.
Haka kadubwasha huwa najitahidi kweli kutafuta kanachokifanya au kuelewa kanachoongea ila nashindwa kabisa,hakana mvuto wowote na kakiongea na huo mdomo wake na tumikono twake kama twa Sungura ndiyo huwezi kabisa kukasikiliza ni uharo mtupu.
Hizi ndiyo tunasema akili za tumboni na chawa kushindwa kutafakari kwenye Uchafu,Wewe ulifanya wapi tafiti ukagundua Uchumi wa Kenya umefikia hapo kwasababu ya LockDown?Mbona Rwanda waliofanya Lockdown nzito hawajafikia hapo?
Genge mpaka muda huu hamuamini kuwa Mungu kachukua nafasi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.