Nilijaribu kuitumia Nokia 8110 4g Kama daily driver nilishindwa... Button zake zilivyo ni shida na ukiwa na mambo mengi ndio kabisaaaaa...
Nilipata hasara nikaamua kununua smartphone kwa lazima...
Ingawa inaingia WhatsApp ila kwa mwenye matumizi makubwa haifai kabisaaaaa
Uko sahihi mkuu...
Ila waswahili wanasema mpira unadunda...
Pamoja na Liverpool kuwa katika kiwango cha juu katika kombe la UEFA msimu huu huwezi kusema moja kwa moja atakuwa Bingwa...
Chochote kinaweza kutokea... Ingawa kauli yako inafurahisha kimoyo moyo....
Go go Liverpool
Mkuu uko sahihi... Ingawa haijanikuta ila walio agiza mzigo kwa njia hio wana advice usiagize kitu cha thamani kama simu wanachukua...
DHL na wengine kweli mzigo unafika salama tatizo shipping cost zao gharama kubwa...
Kuna watu wana vipaji hivyo Mungu kawapa... Kuna kipindi niliumwa sana akaja Mzee akiwa anahema juu juu akaniambia nimeambiwa nije kukuangalia uko salama? Kwa wakati huo nilikuwa nimelazwa hospital ambayo ni hospital ya 3 kwani nilikuwa sijapata nafuu..
Nilimueleza kuwa niko sawa... Akakaa...
That's Love... A really Love ina happen kwa wana ndoa wachache sana because these days A really love is a problem.
Hongera kwa kuwa na mapenzi ya kweli
Mkuu nimeipata kwenye website after searching......
Download GBWhatsapp for IOS Devices (Working)
Lakini uki download ni file extensions ya Android .apk sijui inakuwaje au kuna kitu cha kufanya after downloading?
Msaada tafadhali
Hongera mkuu... Lumia yako ni Windows ipi 8.1au 10?
Naomba unitumie screen shot ya setting zilivyokaa.
Samahani kwa usumbufu na nashkuru kwa taarifa...
Mimi niko maeneo ya mjini... Nikisearch network inakuja tiGo LTE ila ndio hivyo siipati. Niko Tanga na maeneo mengi yana 4G.
Yaani nashindwa kuelewa kabisa.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.