Search results

  1. Grader

    Prof. Benno Ndulu: Hakuna mdororo wa uchumi. Uchumi wa Tanzania unaendelea kukua...

    Tatizo lako hukufanya chaguo sahihi October 25, 2015. Uchaguzi ujao jifunze kupiga kura yako kwa usahihi na siyo kutuletea lawama hazina msingi wowote. Kaa kimya watu wafanye kazi za kuleta maendeleo ya nchi
  2. Grader

    Mfanyakazi wa duka la dawa anahitajika

    Mwenye Elimu ya kazi ya kuuza dawa za binadamu (duka la dawa baridi). Mahali iliyopo duka ni Buguruni. Kwa mahitaji na aliyetimiza vigezo aweza kuwasiliana nami kupitia namba 0682 657 986. Msg pia zitajibiwa.
  3. Grader

    Hivi kipindi cha mada moto nacho kimepigwa BAN kama gazeti la Mawio?

    Hakuna uhuru wa habari kama unakosoa serikali tawala, naomba uelewe hivyo.
  4. Grader

    Mfanyakazi wa stationary anahitajika

    Fursa nyingine ya mfanyakazi wa stationary. Kwa maelezo zaidi contact 0789223485 msg pia zitajibiwa kwa haraka
  5. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    Floyd money ametangaza kustaafu bila kupigwa. BERTO amkubali mayweather
  6. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    Round ya Kwanza tayari berto kapiga power punch3
  7. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    BERTO record yaweza kumbeba kwani me chi 30 ko 23
  8. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    Tajiri money money anaingia
  9. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    Berto ameingia tayari jukwaani
  10. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    Dakika chache zijazo pambano linaanza
  11. Grader

    Hatimaye wananchi wafunguka

    Acha kuboa wewe kibaraka wa ccm,nenda kapost kwenye twitter ya ccm na katoe habari katika gazeti la uhuru
  12. Grader

    Naomba kufahamu kuhusu redgurd chadema,

    Mbona unakuwa mchochezi
  13. Grader

    CCM waanza kampeni mapema kabla ya muda wa NEC, watuma ujumbe mfupi kwa watu

    Mimi nimeshazipata kama 4 Leo. Usichukie, kama una kile kinachoitwa kichinjio kitunze vizuri na tarehe 25/10 ndiyo maalumu ya kueidelete CCM
  14. Grader

    Big Match: Arsenal FC vs Chelsea FC

    Tunasubiri Maneno ya Mourihno. Historia imeandikwa UK na Tz
  15. Grader

    Mafuta yashuka bei

    Huu ni mtandao wa uwazi na ukweli. Subiri jtano halafu uone upotofu Wangu.
  16. Grader

    Mafuta yashuka bei

    Habari za uhakika kutoka EWURA zinaonyesha ukokotoaji wa bei za mwezi ujao ambazo zinatarajia kutangazwa Jumatano zinaonyesha Petrol itashuka kwa tsh 210,Diesel 150 na mafuta ya taa 100.
Back
Top Bottom