Search results

  1. N

    CHADEMA yajipenyeza Tabora, Yashinda kwa kishindo uchaguzi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kuaminika nchini na kuchukua nafasi zilizokuwa zinashikiliwa na CCM baada ya kujinyakulia kiti cha mwenyekiti wa kijiji cha Ibambo na vitongoji vinne katika vitano vilivyokuwa vinagombaniwa kwenye uchaguzi wa kuziba nafasi! Kijiji cha Ibambo...
  2. N

    Breaking news;watumishi elimu manispaa ya ilala wafutwa kienyeji kwenye payroll

    BREAKING NEWS WATUMISHI WA IDARA YA ELIMU NA NYINGINEZO MANISPAA YA ILALA WAFUTWA KIENYEJI KWENYE PAYROLL Watumishi zaidi ya sabini wa manispaa ya ilala wengi wao wakiwa walimu wamefutwa kwenye payroll,walimu hao wamejikuta hawana mshahara wa mwezi wa tano,habari tulizopata toka kwa mmoja wa...
  3. N

    Yu wapi Balozi Ali Karume?

    Jamani naombeni kujua huyu balozi ali karume yupo wapi kwa sasa hapa duniani mana kapotea sana
  4. N

    Residential plot:kimara along the road from temboni to matosa km 3 kutoka Morogoro Road

    SIZE: 1200 Sqm (1 plots) AU 30 KWA 40 BEI: MIL 25 SIFA YA KIWANJA ENEO LINA HATI MILIKI HALALI KIWANJA KINA MIUNDOMBINU YOTE MAJI NA UMEME VIMEFIKA KATIKA KIWANJA GARI AINA ZOTE ZINAFIKA MPAKA KATIKA KIWANJA BILA MATATIZO YOYOTE MAZUNGUMZO KUHUSU BEI YANARUHUSIWA. SIMU NAMBA 0715 47 84...
  5. N

    Residential plot:kimara along the road from temboni to matosa km 3 kutoka morogo

    SIZE: 1200 Sqm (1 plots) AU 30 KWA 40 BEI: MIL 25 SIFA YA KIWANJA KIWANJA KINA MIUNDOMBINU YOTE MAJI NA UMEME VIMEFIKA KATIKA KIWANJA GARI AINA ZOTE ZINAFIKA MPAKA KATIKA KIWANJA BILA MATATIZO YOYOTE MAZUNGUMZO KUHUSU BEI YANARUHUSIWA. SIMU NAMBA 0715 47 84 78
  6. N

    Viwanja vyenye hati vinauzwa-mbezi beach,salasala benaco na kimara.

    1. RESIDENTIAL PLOT: MBEZI BEACH SIZE: 936 Sqm (1 plot) BEI: MIL 400 2. RESIDENTIAL PLOT: SALASALA BENACO,. SIZE: 3,613 Sqm (2 plots) BEI: MIL 300 3. COMMERCIAL PLOT FOR PETROL STATION :BUNJU A ,ALONG BAGAMOYO ROAD SIZE: 1,658 Sqm (1 plot) 4. RESIDENTIAL/LIGHT...
  7. N

    Kiwanja mbezi beach kina hati na nyumba kinauzwa..

    plot ipo mbezi beach imepimwa na ina frontal access ya barabara ya lami..kwa mawasiliano ya kibiashara nicheck kwenye 0715 478 478..
  8. N

    OFA OFA KABAMBE HUGE 180KVA +20% Rolls Royce model GENERATORS FOR SALE.

    Generator kubwa zinauzwa..Specification: Rolls Royce model driven by Caterpilla engine, output ni 180kva +20% made in UK. zimetumika Uingereza 300 hrs.zInawafaa zaidi wenye mahitaji makubwa kama viwanda na majengo makubwa. Bei zake ni Tshs 30mil. Mazungumzo yanaruhusiwa. Kwa mawasiliano ya...
  9. N

    HUGE 180KVA +20% Rolls Royce model GENERATORS FOR SALE.

    Generator kubwa zinauzwa..Specification: Rolls Royce model driven by Caterpilla engine, output ni 180kva +20% made in UK. zimetumika Uingereza 300 hrs.zInawafaa zaidi wenye mahitaji makubwa kama viwanda na majengo makubwa. Bei zake ni Tshs 40mil. Mazungumzo yanaruhusiwa. Kwa...
  10. N

    Mkurugenzi Mbeya: Wafanyabiashara wanatumika tu!

    Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi huyo amedai wafanyabiashara wanatumika tu kuna watu wapo nyuma ya hayo maandamano na vurugu! Wakati huo huo Kandoro amewapiga mkwara wanaoleta vurugu kuwa watakutana na mkono wa sheria.Watu zaidi ya 200 wamekamatwa huku watu 12 wakiwa wamejeruhiwa...
  11. N

    Report: Mv Spice ilibeba abiria zaidi ya 3500 wakati uwezo wake ni abiria 600'

    Hayo yameelezwa na makamu wa pili wa raisi Zanzibar Balozi seif Idd akitoa taarifa kuhusiana na Riport ya uchunguzi wa ajari hiyo.Maiti zilizopatikana ni 200 huku waliokolewa hai ni zaidi ya 600 hvyo idadi ya wale abiria wasiojulikana walipo ni 2700! Hakika ni uzembe usiosemeka!
  12. N

    CCM Ruvuma yathibitisha kweli haiwezi kufanya maamuzi magumu kama ya CHADEMA!

    Kamati kuu ya CCM mkoa wa Ruvuma imethibitisha kuwa maamzi magumu hayawezi kufanyika ndani ya CCM. Hii ni baada ya kuyatupilia mbali maamuzi ya kamati ya siasa wilaya kuhusiana na kuwavua uanachama madiwani watano wa ccm wanaoendelea na msimamo wao wa kutokumtambua Meya wa manispaa ya Songea...
  13. N

    Polisi waua tena raia' safari hii kilosa!

    Wamemuua mchungaji wa kimasai,ndugu zake wamedai hana hatia yoyote ,wamegoma kuzika mpaka aliyemuua akamatwe! RPC Morogoro adai aliyeuawa alikuwa mwizi sugu wa Ng'ombe.Source ITV taarifa.
  14. N

    Simu za Rais haziwi screened, Liyumba aenda hewani toka gerezani

    Akamatwa na simu ndani ya gereza akiwa mfungwa huku sheria za nchi zikiwa zinazuia kitendo hicho! Bosi aliyekuwa anawasiliana naye kuhusiana na rufaa yake ndiye aliyemchoma kwa maafisa wa jeshi la Magereza baada ya kuchoshwa na namna alivyokuwa anamsumbua kuhusiana na rufaa yake! Atolewa...
  15. N

    Mgombea wa CHADEMA Kigoma kusini ashinda rufaa yake uchaguzi kurudiwa 29/09/11

    Ni mheshimiwa Abel Gegecha alichakachuliwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji cha Kaseke kigoma vijiji ,ameshinda rufaa yake baada ya hakimu kugundua taratibu zilikiukwa mpaka kumtangaza mgombea wa ccm kuwa mwemyekiti wa kijiji.Kila la kheri mh Abeli Gegecha hatimaye wananchi watampata...
  16. N

    Msanii TID Azuiwa kufanya 'shooting' ya wimbo wake Zanzibar,atakiwa kutoa laki moja.

    Baada ya kuwa amefanya shooting nyingi upande mmoja wa muungano 'Bara' TID Aliamua kwenda kufanya shooting Zanzibar,wakiwa katikati ya zoezi hilo maeneo ya Forodhani walitokea maafisa wa parking wakawaomba kibali,kama walivyozoea Tanzania bara hakuna mambo ya kibali wakawajibu hawana,hapohapo...
  17. N

    CCM na wanavyuo'

    Hivi hawa wabunge wa ccm wanavyosimama bungeni na kuanza kusema vijana wa vyuo vikuu wasikubali kushawishiwa na Chadema kugoma! Je ni kweli wabunge wa ccm wanajua shida za wananchi wao kama wameshindwa kujua haya ya wanavyuo?! SABABU ZA WANACHUO KUGOM ZIPO WAZI ,UDOM' SHULE YA Informatix...
  18. N

    Uongozi wa Kikwete mbona mambo hv?!

    Ni barua ya B.G Mabubu kwa mhariri wa gazeti la Mwanahalisi tar 22jun2011.Anauliza hv' mbona kwenye kipindi cha Jk mambo yameharibika mwaka 2006 wakati Jk anaingia madarakan kiwango cha ufaulu darasa la saba ilikuwa 71% mwaka 2009 ikaelezwa kuwa kiwango cha ufaulu ni 49%.Sekondari 2006 ,10% ndio...
  19. N

    Kila mbunge wa ccm ni waziri?!

    Nachukizwa sana na tabia ya wabunge wa ccm kuanza kujibu hoja za wabunge wa Chadema wakati wakujadili hoja mbalimbali za serikali,hivi hawaoni kuwa wanapoteza nafasi adhimu ya kuwatetea wananchi wao? Mbona mawaziri wapo kwaajiri ya kujibu hoja za upinzani? Mbaya zaidi wanawajibu wapinzani kwa...
  20. N

    Mbowe na Chopper ya Jeshi

    Ni katika hali ya kuthibitisha uchovu wa jeshi la Polisi kwamba hawana hata helikopita (kama ni kweli ilibidi asafirishwe kwa helikopita) au zile walizonazo zimeharibika! Au ilikuwa nikumpa hofu Mh Mbowe?! Au tuamin tu kwamba kama maisha yao polisi yalivyo mabaya(kuishi kwenye vibanda vya mbavu...
Back
Top Bottom