Search results

  1. Mgirik

    Mzee wa hovyo

    [emoji1787][emoji1787]mzee katingwa na nyege
  2. Mgirik

    Kitu roho inapenda

    Nianze na nyagi halafu kifuate hicho kitu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  3. Mgirik

    Alama mgongoni kwa Benzema zazua taharuki

    Hahaaa
  4. Mgirik

    Hii series haijawahi kunichosha.

    Kwanza ukalakala wa hawa Jamaa, usumbufu wanaoufanya unanifurahisha sana
  5. Mgirik

    Waziri Ummy kuwaondoa Walimu wote Shule ya Msingi Mbori ni uonevu

    Nmesoma hii habari kwa ufupi imeumiza sana, kwanini waalimu wahamishwe? Wamefanya kosa gani? Shule kutokuwa na choo ni jukumu la nani? Wewe waziri na watu wako wa chini kwanini msianze kuwajibika kabla ya waalimu? Katika hali ya kawaida mtu yeyote anapoona mazingira aliyopo hayako salama lazma...
  6. Mgirik

    Dah! Picha inaongea

    Dah!
  7. Mgirik

    Wazee wa masumbwi: Bondia gani aliyekuvutia enzi zake?

    Kwa wale wapenzi Wa masumbwi je ni bondia gani aliyekuvutia enzi zake au anayekuvutia kwasasa? Kwa upande wangu mm mwanamasumbwi niliyetokea kumpenda alikuwa Mike Tyson, huyu jamaa alikuwa moto Wa kuotea mbali hasa, Japo inasemekana anataka kurudi tena na umri Wa miaka 54 ambayo ametimiza...
  8. Mgirik

    Kwetu pazuri

    Nikiwa njian kurudi kwetu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mgirik

    Harakati za pimbi

    Huyu ndio pimbi, pimbi ni kamnyama kadogo kenye harakati nyingi zisizo na maana, yaani yeye yuko busy for nothing, Pimbi anaweza kutoka speed kichaka kimoja na kwenda kingne pasipo sababu yoyote akaenda kwenye kichaka hicho akashangaa tu na kurudi alikotoka au atatoka speed toka kichaka kimoja...
  10. Mgirik

    Wakenya mna nini

    Hawa jamaa sijui Kwanini wanajifanya wajuaji sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mgirik

    Masoud, you nailed it man!

    Nimecheka sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mgirik

    Avatar zinazobamba

    Hizi avatar nmezikubali sana.. manengelo sorry mkuu
  13. Mgirik

    Yupi mkali kati Wa mastaa hawa??

    Kwa aliyeona michezo yao, ni yupi kati yao mkali
  14. Mgirik

    Huyu ni mnyama wa aina gani?

    Nmeikuta mahali kuhusu huyu mnyama. Ni mnyama anafanana na Kobe lakn anatoa sauti kama binadamu anayelia. Inasemekana anapatikana Africa na America pia inasemekana anashinda sana makaburini akila mizoga ya binadamu. Inasemekana kwamba akiwa anakula nyama za binadamu makaburini akihisi binadamu...
  15. Mgirik

    Faru rajabu

    Faru rajabu akifanya yake
  16. Mgirik

    Afande njoo unikamate

    Ningekuwa mtuhumiwa ningeomba afande huyu anikamate ningekiri makosa yote
  17. Mgirik

    Haya ndio maajabu

    Prof Assad na kingi Lugola
  18. Mgirik

    Kipigo

    Inaelezwa kwamba aliyekuwa waziri mkuu ktk serikali ya rais aliyeondolewa madarakan Omar Alba shir wa sudani amepokea kipigo kutakatifu toka kwa raia wa nchi hyo
  19. Mgirik

    Kuna watu wanajua kuigiza

    Huyu jamaa kunichekesha sana
  20. Mgirik

    Kwa wanaume wa mikoani tu.

    Mwanaume wa Dar hapa ungekuwa msiba. . Wanaume wa Dar tuwaachie waangalie Sultan pekee.... Karibu Ifakara
Back
Top Bottom