Procurement rules za GoT haziruhusu ununuzi wa vitu used kwa sababu itakua ngumu sana kupata mshindi wa tender, value for money etc.
Inaelekea hao TRC walipata offer nzuri ya treni za kuanzia ambazo zilikua zimeanza kujengwa kwa ajili ya mteja mwigine sasa wakatakiwa kufanya modifications fulani...
Great stuff,
This is the longest electrified SGR in Africa coupled with the longest heated crude oil pipeline in the world....
Kind of stuffs only the giants can do
Tusichangane vitu, hapa kuna set mbili za Electrical trains zinazokuja between now (February) and April 2022:
1: Yerpi Merkezi- Kichwa kimoja cha majaribio cha mfumo wa umeme cha mkandarasi.
2: TRC - Vichwa viwili vya umeme pamoja na mabehewa 27 ya Ghorofa yaliyonunuliwa toka kampuni ya reli ya...
Tusichangane vitu, hapa kuna set mbili za Electrical trains zinazokuja between now (February) and April 2022:
1: Yerpi Merkezi- Kichwa kimoja cha majaribio cha mfumo wa umeme cha mkandarasi.
2: TRC - Vichwa viwili vya umeme pamoja na mabehewa 27 ya Ghorofa yaliyonunuliwa toka kampuni ya reli ya...
Inafanya scanning kuangalia patterns za radio frequency spectrum activities pamoja na occupancy. Ukiwa unaiba mawimbi lazima ukamatwe tu hapo. Hio kitu inaweza kufanya direction range finding na kujua sehemu yanakotokea mawimbi ya mawasiliano yasiyoruhusiwa.
Aisee niko Bongo wiki hizi 2 na jana nimepita hayo maeneo kuanzia kamata flyover na hapo chini ya daraja la Nkurumh SGR , kazi imefanyika, timu niliyokuwa nayo toka nje imekubali kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa sana ktk infrastructure development...
Happy New Year wanajamii!
Hio yote inatokana uthubutu wa JPM (RIP) kufanya bold projects. Ameonyesha njia na wengine wafuate, we have got so much untapped potential to develop the country just like the way South Korea, Singapore, Thailand, Vietnam did to mordenise and expand their economies...
Gwajiboy ata wa-outlive wanasiasa wa miaka mi5 mi5 yeye ataendelea kuwepo kama Askofu wa kanisa lake hata baada ya utawala uliopo. Wanasiasa na watawala kuweni makini na viongozi wa dini.
Kumbukeni JPM alimleta Gwajiboy CCM ili kum-contain baada ya kuonekana kuwa ni mwiba sana kwa wakati ule...
Well said mkuu,
Hivi mimi nikitaka kufungua online class yangu ya kufundisha vijana Artificial Intelligence inabidi niajiri mwanahabari pia??
TCRA wanashindwa kutofautisha kati ya utoaji wa habari mtandaoni na ufundishaji mtandaoni. Wakiendelea na upuuzi huu nchi itaendelea kubaki nyuma ktk...
Mzigo umeshafika, foleni ya meli za mizigo zinazongoja kuingia bandarini kushusha ni kubwa...
Huko awali nilisuggest walete kwa ndege kama An-225 Mriya but nafikiri kwa double decker tulizonunua ingekuwa tatizo kidogo kutokana na umbo sio kwa uzito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.