Search results

  1. issac77

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    supasoniki tena!
  2. issac77

    "likes" za taarifa mbaya katika mitandao ya kijamii humaanisha nini?

    mkuu kale kasauti ka like fb walishakaondoa
  3. issac77

    Dkt Sule: Baba yangu alifungwa kwa kuwa na colgate

    punguza ubishi bro
  4. issac77

    Kiteto: Mwenyekiti wa Mtaa Jela Miaka 4 kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 60,000

    Masikini hana haki aisee amekula mvua kwa kukosa mil 1
  5. issac77

    Maafisa Usalama wavamia nyumba za Diddy, akakimbia msala na ndege yake binafsi inafuatiliwa huko Antigua Caribbean

    hivi huko duniani wenyewe vibahasha vya kaki havifanyi kazi kama huku?
  6. issac77

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    anasema kweli ualimu sio kazi, sema tu uwasilishaji wake ndio changamoto
  7. issac77

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Mpwayu... Ningeshangaa usije na id nyingine maana ile tayari ni ban ya maisha hairudi
  8. issac77

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    54 kg. Ft 5.2. imagine mwonekano wangu
  9. issac77

    Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

    mkuu kama umeangalia post ile kampost akiwa lodge kifua wazi hapo tu hata kama asipoiachia tayari ameshamchafua
  10. issac77

    Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

    Ila mange yule mama hicho anachokifanya atakuja afe kifo cha kutatanisha. Hata kama yupo mbali watamnasa tu wammalize
  11. issac77

    Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka kuniagiza kitu

    Nataka take aways za kufungia chips zile kama visahani vya pembe nne. Katon bei gan?
  12. issac77

    Ukiwa kama kocha utaanza na mshambuliaji gani hapa?

    Suarez, drogba, hary kane, aguero wote mbele pale
Back
Top Bottom