Search results

  1. Mchumia Rungu

    Ila nyie watu wa Dar es Salaam ni wachoyo sana kwenye chakula

    Pof. Janabi yuko kazini katikati yao.
  2. Mchumia Rungu

    TANZIA Mwigizaji nguli wa Nollywood, Amaechi Muonagor afariki dunia kwa ugonjwa wa figo

    Kwanini mtu aende huko kwa kusingizia msiba. Msiba haupo? Au wa kwetu hawasitahili kwenda msibani?
  3. Mchumia Rungu

    Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

    Nimeishi Arusha, Mwanza, Dar es Salaam, Mbeya, Njombe, Morogoro na kupita mikoa mingi ya nchi hii, mie japo si wa Morogoro, mkoa mzuri kwa mtu kuishi ni Morogoro. Maisha yangu yaliyobakia nitamalizia huko.
  4. Mchumia Rungu

    Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

    Wewe ni member wa hilo group la WhatsApp la Single Mothers? Vinginevyo naunga mkono hoja yako. Wanawake walioshindwa, wakiungana ni sumu kwa kilichowashinda kama wapo wanaweza. Ni sababu ya wivu wao.
  5. Mchumia Rungu

    Rais Samia tupia jicho kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli, Mbezi

    Ni kwa vile wameshatuona watz tu wajinga. Wanatuibia kila kona hatulalamiki. Ukiingia stand kama hotelini, huduma ya Choo ilitakiwa iwe inahesabiwa katika kiingilio chako. Lakini wapi!
  6. Mchumia Rungu

    Hivi unaanzaje kuwashtaki Qnet?

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Ukiwa sehemu ya Qnet, unapaswa ufanye kazi sana ili upate na wenzako wapate. Hapo short cut inatoka wapi?
  7. Mchumia Rungu

    Leo Mlimani city imekuwa kama Tandale kwa mfuga mbwa, nyie wenzetu hamna ustaarabu?

    Ningekuwa wewe ningeenda kuona na au kupiga picha ili kukamilisha story[emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Mchumia Rungu

    Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

    Nimeiona Twitter, haifai kuiangalia. Ni kinyaa tupu.
  9. Mchumia Rungu

    LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

    Uko sahihi. Hata hizi Daladala, kuna sehemu Daladala tayari nauli zilikuwa juu kuliko hizi zonazotangazwa. Hivyo sasa nao wataongeza tena! Mfano nauli ya Moro - Mzumbe ya LATRA ilikuwa 750 wao walikuwa wanatoza 900 au 1000 na sasa ya LATRA ni 850. Ni kwa vyovyote vile itapanda sana. LATRA hapo...
  10. Mchumia Rungu

    Dkt. Slaa aomba radhi kwa hoja yake “Ripoti ya CAG inapotoshwa’, Zitto Kabwe atoa neno

    Ogopa sana mtu anayeikana imani yake. Huwa wanahuweuka fulani hivi. Na huyo Mzee ni mfano tosha.
  11. Mchumia Rungu

    Lita 5 ya mafuta kupikia yafikia sh 37,000,/=

    Kuna watu nikiwemo Mimi, tunakushangaa vitu unavyoongea! Hivi hujui kuwa hata iweje hao vijana lazima wawepo. Sana sana watabadili style ya kuishi. Na style hiyo inaweza kuwa hatari zaidi kwa jamii.
  12. Mchumia Rungu

    Lita 5 ya mafuta kupikia yafikia sh 37,000,/=

    Nafikiri umesahau kuwa nchi yetu kuna wakulima na wafanyakazi. Wote tukienda kulima alizeti, nani atafanya hizo kazi za mfanyakazi? Naungana na wanaosema kuna mahali mamlaka zetu zimezembea.
  13. Mchumia Rungu

    Uasi mkubwa unakuja CCM

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeyapenda mawazo yako ingawa uovu, uwe wa mashupavu au wadhaifu, ni dhambi.
  14. Mchumia Rungu

    Soda za twist za ovyo sana, sitakunywa tena. Wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza

    Kumbe wewe shida yako siyo soda ila shida yako ni chupa. Kama utamu wa soda upo palepale kwa nini usiinywe kwa kutumia bakuli au kikombe au glasi?
  15. Mchumia Rungu

    Kipi kimesababisha kazi ya kudanga kuonekana rahisi kuifanya

    Mbona unafuatilia vitu vya hovyo vile? Kama wewe ni Ke naweza sema pengine unatafiti ili uone kama kazi hiyo inalipa ili nawe uingie. Kudanga ni DHAMBI.
  16. Mchumia Rungu

    Ugumu wa Maisha wasababisha Sherehe za Mwaka mpya kudoda

    Sampling haitakuwa na maana kama nilazima utembee nchi nzima kupata data. Na kwa teknolojia za sasa unaweza kuwa ulipo na ukapata sample data.
  17. Mchumia Rungu

    Kwanini Rais Museveni ameamua kujengea watanzania shule ya kisasa wakati kwake hali mbaya kuliko Tz?

    Kama nakuelewa vile. Usikute baada ya kelele dhidi ya Mwendazake kuwa kila kitu Chato ndo akaamua kujenga shule hiyo kwa kutumia jina la Museveni. INAWEZEKANA.
  18. Mchumia Rungu

    Kwanini Rais Museveni ameamua kujengea watanzania shule ya kisasa wakati kwake hali mbaya kuliko Tz?

    Sisi na uchumi wetu wa kati, kuna mahali tumejenga au kufanya chochote katika nchi ya wengine? Kama ni kweli kinachosemwa kuhusu shule za Uganda, Museveni hajafanya poa kujengea shule Tanzania.
  19. Mchumia Rungu

    Kwanini Rais Museveni ameamua kujengea watanzania shule ya kisasa wakati kwake hali mbaya kuliko Tz?

    mh! Hivi ni akili gani unapewa nguo na mtu aliyeuchi nawe unapokea tu? Kwa hili kuhoji ni muhimu.
  20. Mchumia Rungu

    Pigo tulilolipata baada ya Rais Magufuli kufariki, tujifunze

    Huyo ni Mzanzibari. Si ameeleweka lakini?
Back
Top Bottom