Search results

  1. chishango

    Mo Dewji tuachie timu yetu

    Awarudishie kwani mlimkabidhi lini?
  2. chishango

    Marais wanawake Africa waliolewa wakiwa na 18 yrs, mwanamke ukitaka kufika mbali olewa mapema ukomae kiakili

    Ungeanza wewe kuweka ushahidi wa kuwa aliolewa akiwa na miaka 18 ingependeza sana wala tusingefika huku mkuu
  3. chishango

    Duu kavua kweli

    Ukimtupa ziwani anaelea
  4. chishango

    DED wa Itigi: Ninapakaziwa kesi ya mauaji

    Luhende si ni mpwa wa Magu unategemea nini hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. chishango

    Siku nilipolazimika kutumia silaha

    Unafanya makosa makubwa umekisoma vizuri kile kitabu cha umiliki? Kifupi ni kwamba unatakiwa uwe nayo muda wote unless umeihifadhi polisi siku ikipotea ndo utaujua muziki wake
  6. chishango

    Philipo Mwakibinga: Mbowe kaidanganya Mahakama, haumwi yupo Marekani

    Huyu ni makongolosi kule kwenye mawe matupu.... mtaani kugumu na kazi hana unategemea nini?
  7. chishango

    Makosa ya Mbowe 2015 yanaigharimu CHADEMA na taifa kwa ujumla lakini ya kulaumiwa ni Kamati kuu ya chama hicho!

    Maajabu makubwa ccm kuichagulia chadema mwenyekiti...kama chadema imedhoofika mwambieni baba yenu STONE aruhusu watu wafanye siasa kwa mujibu wa katiba muone moto
  8. chishango

    Kitabu cha alfu lela ulela hiki hapa download

    Allan Quarteman ninacho cha kiingereza
  9. chishango

    Laana ya Makonda bado inayatafuna makontena ya walimu

    Utetezi dhaifu kabisa ... Bashite kawaungia bando vijana kumsafisha kinyesi usoni bila kuvaa gloves.... jambazi mkubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. chishango

    Inasemekana ni vigumu sana ku-graduate Masters hapo UDSM

    Tatizo lenu UDSM kwenye research za social science ama ni CASE STUDY au mnafanya PLAGIARISM hapo kupata research gap ni shughuli kwa sababu ya kukopi tafiti sasa kwenye discussion mnajikuta mpo out of CONTEXT ushauri wangu ni kuwa unapotafuta tatizo la kutafiti soma tafiti nyingi kwenye hiyo...
  11. chishango

    Mbunge miaka 10, Waziri miaka 7, Naibu Waziri miaka 3... Bado anategemea Bango ili afahamike?

    Com wamebugi kumpitisha mtu aliyeshindwa kufanya lolote kwa miaka kwenye same jimbo...jitu linaishia kupiga magoti na kusubiri figisu lirudi bungeni dogo Elia kigoma nawaaminia pigeni kipapai yoyote atakayejaribu kufanya figisu
  12. chishango

    Natafuta Shamba Kiwangwa au Msata

    Kwa Msata tuwasiliane
  13. chishango

    CCM acheni porojo, Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka 36, Mbowe anawauma nini?

    Tuna imani thabiti na Mbowe mboga mboga imekula kwenu ninyi endeleeni nunua nunua
  14. chishango

    Wapi naweza pata mayai ya kuku aina ya sasso?

    Ingia fb mtafute Samson Mollel
Back
Top Bottom