Search results

  1. Erick zeph Stanley

    Kwa hili la majina ya wafanyakazi halali na wenye vyeti feki serikali iwajibike

    Ni siku ya ijumaa serikali kupitia wizara husika ilamua kutoa orodha ya watumishi halali waliohakikiwa na majina Yao kubandikwa katika halmashauri za wilaya wanazofanyia kazi lakini jambo la ajabu ambalo limenifanya niandike uzi huu ni baada ya kupita katika halmashauri ya wilaya moja na...
  2. Erick zeph Stanley

    Loan board mnataka tuishi vipi huku field?

    Mpaka sasa hivi jamani hamjatupatia pesa yetu... hivi mnataka tuishije huku kwa mfano? mbaya zaidi TAHLISO hamtoi tamko lolote jamani... Congratulations kwa viongozi wangu wa chuo hope wanafuatilia japo ndo hivyo mnawapiga kalenda kila siku! hii sio fair kabisa kwa nini vyuo vingine muwathamini...
  3. Erick zeph Stanley

    Kama umechaguliwa SAUT pitia hapa

    Nafahamu mtakua na mchecheto sana wa kutaka kuyafaham maisha ya chuo yalivyo hasa hapa SAUT main campus.. kwa hiyo kwa mliochaguliwa hongereni jamani. Kwa yeyote mwenye swali kihusu SAUT Main anaweza kuuliza.. Lastly karibuni tulijenge jiji la Mungu...
  4. Erick zeph Stanley

    Mwalimu wa French

    Kama kuna kituo chochote wanachofundisha french kwa wasiojua kabisa jamani kwa hapa mwanza naomba anielekeze au ka inawezekana anipe na mawasiliano ya hiyo insititution
  5. Erick zeph Stanley

    Tusaidiane juu ya kuapdate mikopo heslb..

    kwa kaka na dada zangu ambao mmedumu chuo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa namanisha mwaka wa pili na kuendelea na ni wanufaikaji wa mikopo toka HESLB ninaomba ufafanuzi wenu japo kwa kina juu ya kuapdate mikopo kwani nimepata mkanganyiko juu ya suala hili baadhi ya watu wanasema hiyo system ya...
  6. Erick zeph Stanley

    Wakuu japo niwatakie mwaka mpya wapenzi wote wa kandanda wa Jf..

    Japo inaweza ikawa si jukwaa lake lakini si vibaya nikiwatakia mwaka mpya mwema kama ifuatavyo.... 1.Mashabaki wa Arsenal heri ya mwaka mpya kwenu na hongereni kwa kuongoza ligi mpaka sasa.. Naamini ubingwa utatua pale emirates stadium... 2.Mashabiki wa liverpool mwaka mpya mwema pia msife...
  7. Erick zeph Stanley

    Afisa mikopo saut unatutesa first year

    tangu tufike sa hizi ni mwezi hatujapata kitu sa hii ni haki kweli?! Mwaka wa 2 na 3 wamekaribia kumaliza boom lao... Tupeni chetu basi mnatuasili kisaikolojia
  8. Erick zeph Stanley

    kwa anayeuza laptop used

    aina yeyote ile but isiwe na tatizo lolote contact me through 0769575725
  9. Erick zeph Stanley

    msaada wa maana ya neno urazini

    wakuu nawasilisha..
  10. Erick zeph Stanley

    wale wa SAUT (mwanza kwa ujumla)

    Wakuu mimi binafsi sihitaji kuishi hostel za chuo wala za watu binafsi bali nahitaji kuishi nje kidogo ya eneo la chuo hivyo kama kuna mtu anaweza kunipa support ya kunitafutia chumba maeneo ya nyegezi au hata mkuyuni anicheck hapa wakuu..
  11. Erick zeph Stanley

    Msaada wa information kuhusu ST AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA (mwanza campus)

    Wakuu binafsi nimekuwa admitted st augustine university kozi iitwayyo MASSCOMUNICATION kwa mwenye uelewa kwa undani anipe maelezo kuhusu_ 1.hostel zipo au majanga.. 2.nimesikia mitihani wanalazimisha kufanya j'mosi je ni kweli? 3.vp malecture wapo wa kutosha hasa kwa Masscom? Mwisho...
  12. Erick zeph Stanley

    Sasa nimeamini JKT hakuna na Chuo ni September/October

    Nimekuwa nikifanya mawasiliano na baadhi ya wahitimu wenzangu walioko JKT na kwa taarifa walizonipa zimenifanya niamini 100% kuwa hakuna Awamu ya tatu ya kwenda JKT kwa kidato cha Sita kwa Mwaka huu! Badala yake sasa, watachukuliwa wahitimu wa ngazi ya diploma <teaching> wakapige mzigo! Na...
  13. Erick zeph Stanley

    Majanga mengine T.C.U

    Wakuu mi nimeshinda kuielewa hii kitu jana juzi na leo asubuhi profile yangu ya tcu ilikuwa vizuri kabisa lakini ajabu nimejaribu kuingia sa hizi nakuta majanga kwamba sijaaply chochote sa nikawauliza baadhi ya wenzangu kama saba hivi wakasema na za kwao hvo hvo sa nkapata utata but nikijaribu...
  14. Erick zeph Stanley

    Hii ya T.C.U imekaaje Wakuu....?!

    Nimejaribu kucheki majina ya waliotemwa kwenye first round selection za TCU jina langu halipo lakini nimelog in my Profile utata ukanikumba kwenye Kipengele kiitwacho Selection Status bado zote nimeandikiwa Not yet Processed ilhali wamemaliza 1st round selection hapo imekaaje? Msaada kwa...
  15. Erick zeph Stanley

    Ba.Ed ya DUCE Vs Ba.Ed ya ST.Ag main campus

    Wakuu nimetingwa hapa naomba mnisaidie kati ya hii koz ya Bachelor of Art with Eductatio ya DUCE na ile Bachelor of Art with Education ya ST.AUGUST hasa ya main campus, Je kati ya hivyo vyuo viwili kipi kinatoa Ba.Ed kushinda chenzake?
  16. Erick zeph Stanley

    msaada wakuu kuhusiana na maombi ya mikopo

    Wakuu naomba msaada wenu kwa watu wanaojua process zote za kuomba mikopo katika bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa sababu ninatatizwa na kitu kimoja ambacho n kwamba unapomaliza kuijaza form hiyo unaidownload au unafanyaje na kama unaidownload unaituma kwa njia gani ukmalza kuijaza? Wakuu msaada...
  17. Erick zeph Stanley

    wizara ya elimu vipi?

    Hivi ni kwa nini wizara ya elimu isingekuwa inapanga mda rasmi au tarehe maalum ya kutangaza matokeo huwa nashangaa sana kusikia matokeo yanachukua mda mrefu bila kutangazwa ilihali usahishaji unakuwa umekamilika mda mrefu au ndo huwa wanaanza kuyachakachua kwanza ili wapunguze gharama za...
  18. Erick zeph Stanley

    Acsee 2013 results

    habari za uhakika n hz hapa: Poleni sana kidato cha sita wenzangu kwa kuwa na stress za kusuburi matokeo ila kwa taarifa yako ni kwamba shusha pressure tu yaani kwani kutokana na ubovu wa matokeo hayo wizara ya elimu inafanya kila liwezekanalo kuchelewesha matokeo ili kupunguza idadi ya watakao...
  19. Erick zeph Stanley

    nisaidieni kuhsu maombi vyuo na mikopo

    mi nimehitimu kidato cha sita mwaka huu na nasubili matokeo ila hz mambo za university application zinanchangana sana hasa kuhusu HESLB na TCU nashindwa kujua ipi ni ipi na kila ipi tunaaply kivipi? Msaada jamani nicheki kwa 0769575725 unieleze vizuri naombeni sana jama! akhsanteni
  20. Erick zeph Stanley

    Natafuta marafiki

    !
Back
Top Bottom