Search results

  1. F

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Akida bus mtwara Chiku bus Songea Kwacha transport
  2. F

    Tanesco Kisarawe ni wababaishaji

    Hata ukilipia uakwekewa umeme bado kero zipo nyingi sisi hapa Viwege tangu umeme ukatike tarehe 28-11-2017 majira ya asubuhi kuna baadhi ya nyumba zinawaka umeme na baadhi umeme hauwaki kisa transfomer la karibu na Picnic Pub pale linaleta shida balaa
  3. F

    Natafuta gari starlet ya kuanzia milioni mbili

    mimi nauza E100 corola manual odo meter180000 iko vizuri ukitaka funga safari popote for 3.5m
  4. F

    Maoni yako: Kuhusu tatizo sugu la Umeme

    Mimi naishi Chanika umeme unakatika asubuhi unarudishwa saa tatu usiku na kukatwa tena saa sita usiku hadi hivi ninavyoandika hakuna umeme kisa eti matengenezo ya transformer ya Sunguratex. Shiiiiidaa
  5. F

    Je, Polisi wakiua ni sawa?

    Kuuawa kwa majambazi imekuuma je kuuawa kwa polisi inaonekana ulifurahia. Piga picha ingekuwa imekutokea wewe katika tukio la stakishari jee ungejisikiaje
  6. F

    Je, Polisi wakiua ni sawa?

    Chukulia aliyeuawa pale stakishari angekuwa ndugu yako jee ungekuwa na huruma na mtu aliyeua nduguyooo?? twende mbele na kurudi nyuma je hizo silaha walizokwenda kupora kituoni ni za kufanyia nini kama sio kuua raia wasiokuwa na hatia
  7. F

    Wana Ukonga tuwe makini, Makongoro Mahanga anagombea tena

    Basi nafikiri watu wa jimbo la Segerea wana nafuuu kuliko Jimbo la Ukonga utafikiri hawan Baba wala Mama hakuna Barabara, Maji vituo vya afya n.k. watu wa Ukonga tuchague mwakilishi wa kweli
  8. F

    Lowassa atinga mkutanoni Halmashauri Kuu, Waimba tuna imani na Lowassa

    wasaidieni watu wapate Uhuru wa habari
  9. F

    Tweet ya Mwamvita Makamba akimshambulia Kigwangalla: Vita ya Urais yapamba moto CCM Vijana

    Pamoja na kwamba shule nilimaliza miaka ya 1989 lakini siwezi kuandika kiingereza cha namna hii
  10. F

    Simulizi za polisi kuua gaidi Arusha

    Mnyonge mnyongeni lakini Haki yake mpeni. Huu usemi huwa una maana sana pale inapokuwa suala Fulani linaegemea upande Fulani. Hivi majuzi tumesikia kuuawa kwa Kinara, Mratibu na Mkufunzi wa Ugaidi na watu wanatumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kutaka kuhalalisha Ugaidi. Tukumbuke Wahanga wa...
  11. F

    Natafuta Mume wa kunioa

    Jina lako ni Salma Meza au hilo ulilolitaja au mm naona makengeza ya kusoma
  12. F

    Alichosema Advera Senso kwa niaba ya jeshi la polisi

    Nafikiri mtandao ukitumika vyema ni faida kwa Jamii na hasa Maadili ya Kitanzania. Ila kuna wengine wanatumia kutangaza biashara zao fulani (Matangazo ya Kujiuza). Naomba tuwe waungwana katika matumizi ya Mitandao. Usije kujilaumu masuala yanapokuja kukugeuka someni Sheria ya EPOCA ya 2010...
  13. F

    Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

    Bado sakata la picha za uchafu kwenye mtandao yamekuja mengine tena. Kweli dunia tambala bovu
  14. F

    Ushauri BRT UBUNGO

    Fly over kwa Tanzania ni ndoto
  15. F

    Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

    Imetolewa leo tarehe 15.11.2013 nami Prof. Juma A.Kapuya Mbunge – urambo magharibi S.L.P 45 Kaliua Tabora Simu 0784993930 halafu namba anasema aligawa miezi sita iliyopita wakati address yake ikiionyesa
  16. F

    Ppf Voda mwanza risasi zarindima muda huu

    Acheni uoga watu wa Mwanza ni Mazoezi ya kawaida ya kustukiza ili watu kuwa waangalifu na Magaidi. Hilo lilikuwa zoezi tu la kujaribu kujua kama watu wako kiu-utayari (Stand-by) inapotokea kuvamiwa na Magaidi
  17. F

    Hivi daftari la kudumu la makazi lilienda wapi?

    Nafikiri ni wakati muafaka wa kulinda watu na mali zetu. Moja ilikuwa rahisi kumtambua mgeni yoyote bila kikwazo. Pili matukio ya ujambazi na ugaidi hayakuwepo kwa sababu ya Intelijensia ilianzia kwenye kaya hadi Taifa. Tatu hili suala la Uhuru wa kila mtu kufanya anayotaka ni rahisi balozi wa...
  18. F

    UN yakosoa TZ kwa kuwafukuza wahamiaji haramu

    Ivi watu huwa tunapoteza kumbukumbu, maana baada ya Operesheni Kimbunga Kuanza sijasikia tena ujambazi wa kutumia silaha ukiripotiwa kokote nchini. Utambue watu gani walikuwa wanatusumbua watanzania
  19. F

    Ndege za Jeshi Dar

    Maandalizi ya Sherehe za Muungano tarehe 26-04-2013
Back
Top Bottom