Search results

  1. S

    "Waziri amtisha JK" , Tanzania Daima gazeti chochezi?

    Wakati mwingine yafaa kujadili mantiki ya habari badala ya nani kasema sawa. Tunataka Katiba ambayo hata kama kesho wapinzani watachua nchi, watako kuwa wapinzani watakuwa na fursa ya kuwa kosoa. Kitendo cha Chikawe kuonesha shinikizo kwa Rais ili asign kinapora fursa ya upatikanaji wa Katiba...
  2. S

    CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    Kama kweli alikuwa anamaanisha alichokuwa akikiongea, asingetoa miezi sita. Miezi sita yote hiyo yanini, si tutakuwa tumesahau kuwa alisema. Walau ningeona yuko serious na hapritendi kama angetoa wiki mbili hivi. Usanii wa ccm hakuna asiye ujua. Wameona upepo wa kanda ya ziwa ni mkali...
  3. S

    Watumiaji wa Vodacom Hatari chunga namba hii +50588922742

    Nimejikuta niko kwenye hii thread kama zali tu. Nilifikiri nimepigiwa simu toka Nicaragua ambayo nimeikosa. Awali sikujua kama code yake (+505) ni ya Nicaragua. Niliposearch kwa mtandao nikajua hivyo. Lakini haikunisaidia sana, ikabidi niingeze namba nzima na kusearch nione nitapata nini. Ndio...
  4. S

    Zitto Zuberi Kabwe soma huu waraka ukusaidie kutekeleza azimio lako la hoja binafsi

    Mimi nina mawazo tofauti. Wakati watu wengi, ikiwa ni pamoja na mimi tuanahamu ya kujua ni Mbunge yupi yu pamoja nasi, lakini labda si busara sana kumlazimisha Kamanda Zitto kuyatoa majina hayo katika mazingira yoyote. Mawazo yangu ni kuwa Zitto apime mazingira na aamue kama inafaa kutoa orodha...
  5. S

    Zitto usipeleke hoja Jumatatu; be strategic...

    Ninakubalina nawe Mwanakijiji kwa kiasi kikubwa. Lakini pia ninatofautiana nawe kwa sehemu fulani. Labda nitoe hoja zangu kwanza kisha nitaeleza ni kwa namna gani tunatofautiana, na similarities will take care themselves. Ikumbukwe kuwa kumuwajibisha kiongozi wa nchi kidemokrasia ni kama ni...
  6. S

    Sitta alikuwa sahihi kuhusu Makinda?

    Wataalam wanamwita Bibi Kiroboto. Aliyempatia jina hilo hakukosea. Anasifa zote za Bi Kiroboto. Kinachonichefua ni hao waliompa hiyo nafasi. Hata kama walitaka kulinda maslahi yao, lakini si kwa gharama ya maisha ya watanzania!
  7. S

    Mnyika anaonyesha umakini, uzalendo na kutambua lilompeleka Bungeni

    Uzuri ni kwamba Mnyika atatumia akili zaidi. Hata pale uwingi wa wabonge wa ccm unapomshinda, huwa sio kwa manti iliyo ndani ya hoja zao, bali ni nguvu ya ulinzi wa chama chao. Shida ni kuwa, ulinzi huo ni 'very temporal'. Nguvu ya wananchi ni kubwa zaidi. Big up Mnyika kwa kutumi utashi wako...
  8. S

    Watanzania amkeni, CCM inataka kujadili matukio na siyo record zao

    Ninakubaliana nawe kwa asilimia mia moja Politiki. Kushindwa kwa hoja za Msingi kunawapelekea CCM kutafuta huruma. Na wanapanga kila kitu ili waipate hiyo huruma kama sio kuonesha kuwa Chadema hawafai. Watamtuma Mkuu wa Wilaya afanye upuuzi wa dhahiri kuwa-provoke Chadema, Watamwagiana...
  9. S

    A woman Anopheles Mosquito!

    A minor correction Sir! 'Sex' not 'Gender'. Gender is more than sex. And there is no gender in mosquitoes as there isnt in other beings than humans. Umekosea kidogo kama alivyokosea mwanafunzi...
  10. S

    Khaaa mwl alituvunja mbavu!.

    Nafikiri wewe ndio unachoma zaidi. Hizo namba mbili (2) nne (4) ulizoziweka tuzisomaje? Tusome mbili-likuwa, mbili-nasema. Au unataka tuzisome tarakimu kwa ki-english halafu herufi kwa kibongo? Kama ndivyo hapa iweje 4m3? four-m-three? Kaaazi kwelikweli! Unaweza kujaribu kuonesha kuchoma kwa...
  11. S

    Daniel Porokwa abwagwa udiwani Monduli

    Threads zote zinazoreply zina ujumbe mmoja. Inawezekana mtoa mada hajajua kwa uzuri kutoa habari. Tukimshambulia tutamwondolea ujasiri wa kujifunza na kutoa habari kwa uzuri. Nashauri tumu-encourage kutoa habari yenyewe kwa mapana kuliko kumshambulia.
  12. S

    Tangazo la Wizara ya Nishati ni kichekesho

    I think you are wrong to think wana-msubortage. JK ni Msanii. Anawatumia watu kutekeleza mambo asiyo na uhakika yata-yield nini. Hebu fikiri Kikao cha Bunge kilichohusisha kufichuliwa kwa njama za Jairo. Kila Mbunge, including Pinda walitamani Jairo aondolewe siku ileile. Ikaonekana ni lazima JK...
  13. S

    Tangazo la Wizara ya Nishati ni kichekesho

    Unfortunately you are not Ngeleja and you will never be. Naomba usijaribu hata kidogo kujifananisha na mbumbumbu huyo. Mimi nilikuwa naye shule. Kwa wale tuliosoma naye Mpwapwa haikuingia akilini pindi alipokuwa nominated kuwa naibu waziri. Kama alikuwa ndosa shuleni, unategemea nini anapopewa...
  14. S

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    John Walker aka Vasco Da Gama ingawa hao walisafiri kwa kufanikisha malengo ya Jamii zao
  15. S

    MALIASILI UPDATES: Makinda Aipangua hoja ya dharura ya Wenje kuhusu umeme

    Hakuna Gesi ya kuendesha mitambo. Gesi huko inakochimbwa inaonekana kama imekwisha. Kama kutakuwa na Umeme December, ni umeme wa maji, sio umeme wa jitihada za !
  16. S

    MALIASILI UPDATES: Makinda Aipangua hoja ya dharura ya Wenje kuhusu umeme

    Sidhani kama unajua unachokiongea. Nafikiri hujui toka lini tumekuwa tukipewa ahadi za kuwa tatitizo la umeme litakuwa historia ifikapo tarehe fulani na inapofika wakati huo hali huwa mbaya zaidi. Kinachokufanya uamini kuwa kutakuwa na umeme December ni hizo picha? Picha za kitu ambacho...
  17. S

    Mwanamke "aliyeoa" Wanaume wawili - Inashangaza lakini Yametokea

    Wanajamii, ni asubuhi hii ya leo forwadiwa mail yenye Kituko cha Karne. Nimesoma, inaonyesha ni habari ilitoka kwenye gazeti fulani. Sikubahatika kulisoma gazeti hilo. Inawezekana pia habari hii imekwishapostiwa in any forum. But do not mind reading it again, if you have already read it...
  18. S

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Hakuna barabara za kusafiri mabasi. Ukifanikiwa kupanda lori hili nililopanda mimi, umebahatika kweli, vinginevyo utasafiri kwa zaidi ya km 20 kwa miguu. Na nauli inazidi kupaa, labda kutokana na bei ya mafuta. EE MUNGU UTUNUSURU
  19. S

    Pinda: Rais amenipa maagizo mapya

    Nakubaliana na aliyesema kuwa Jairo hakukurupuka yeye binafsi. Wizara ya Madini ni sehemu ya Ulaji wa Wakubwa wote. Mimi nakwenda mbali zaidi. Hata Ngeleja, wakati mwingine ni kama hahusiki. Pale, yeye ni figurehead tu. Anatekeleza maagizo ya Mkubwa/wakubwa fulani. Nitajaribu kueleza kidogo...
  20. S

    Tuwakumbuke watangazaje wa 80s RTD!

    Sijui kama mnamkumbuka Zawadi Manitu, alikuja kujiita Zawadi Machibya, labda baada ya kumpata mwenza
Back
Top Bottom