Search results

  1. A

    Tanzania Daima na habari ya Ridhwani na mkewe! Huu ni ukanjanja wa hali ya juu

    Public figure ma ass! Kwa lipi alilolifanya? Bulshitttttttttt go to hell. One wonders Kama unajua vizuri what is meant by one being a public figure. Huyu Mzushi kalifanyia nini taifa hili jema mpaka awe public figure?
  2. A

    CCM tupo katika mwanguko mkubwa

    Kianguke mara ngapi? Acheni wafu wazikane wenyewe.......watatumia kila kilicho ndani ya uwezo wao but hili jahazi kuzama hakuepukiki
  3. A

    Ladies Its Time To Propose!!!!! Pop the Question YourSelf

    Hivi kwa muda wa 6 yrs hata mimba haikuingia? Au hakutegeshewa??? Ladies at times u need to be innovative to achieve your plans. At times kuviziana huwayoa wengi, na kwa taarifa tu wengi wameolewa baada ya kuwasuprise ma sweetie waona vimba haaaaa haaaa chezea kuviziana utakaaje bila mpangilio?
  4. A

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Viva kamanda Lema viva M4C n viva Chadema
  5. A

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Sasa Kama katibu mkuu Hana mpango nawewe si usepe tu ? Kwa nini ung'ang'anie pale usipotakiwa?
  6. A

    Hivi ni kweli wananchi hawana hatia katika huu Mgomo wa madaktari unaoendelea????

    Na hata waandishi wa habari wameingia katika mtego huu kwa kuandika wananchi wasiokuwa na hatia? Hata watetezi wa haki za bin Adam nao pia??? Naomba tuelewe kwamba sie wananchi tuna hatia kuliko hata serikali iliyoshindwa kutatua huu mgogoro ...... Sie Kama wananchi tuliipa dhamana kutuongoza...
  7. A

    Ikulu: Rais hajaidhinisha posho za wabunge!

    Very very bright and dats da truth..:::,
  8. A

    Rais Kikwete kukutana na wabunge wa CCM leo hii

    Jahazi linaelekea kuzamaaaaa
  9. A

    Hivi ni kweli wananchi hawana hatia katika huu Mgomo wa madaktari unaoendelea????

    Well said yeyote Yule aliyeshiriki kwa njia yoyote ile kuiweka hii serikali lege lege madarakani Ana hatia! Na wale wote walioamua kukaa kimya nao wana hatia??? Kimsingi ni wananchi wote wana hatia, Kama siyo sisi wananchi haya yote yasingetupata.
  10. A

    Hivi ni kweli wananchi hawana hatia katika huu Mgomo wa madaktari unaoendelea????

    Mara kwa Mara kumekuwepo na malalamiko kutoka katika taasisi mbali mbali kuwasihi Madaktari na Serikali wakae mezani wazungumze kwani wanaoathirika ni wananchi wasiokuwa na hatia ?????? Je ni kweli wananchi hawana hatia katika mgogoro huu???
  11. A

    Haya ndio majibu ya Serikali kwa madaktari!...Inahuzunisha sana!

    Kuna haja ya kurudisha heshima kiumeni .......... Its high time wenye inji yao wajue what ua capable of doing..... Msirudi nyuma na kwa umoja wenu mtafanikiwa kupata haki yenu!
  12. A

    Madaktari kanda ya ziwa wafanya mkutano leo ...madai yao yakipuuzwa kugoma

    Nasikia kuna watu Kama wawili hivi pale wizara ya Afya wamekalia haki za Madaktari zaidi ya 2,000 mpaka madaktari wengine wame opt kukimbilia inji za Botswana n south coz of kubabaishwa MoH? Just imagine watu wawili tu wanaua na kudhalilisha fani ya udaktari hivi hivi wengine wakiangalia? In a...
  13. A

    Jussa Ismail na Doyo Hassan Doyo LIVE On Star TV

    Huyu Jussa ajibu hoja, kuna swali kaulizwa hapo studio kwamba kwanini hawataki kuiga kwa CCM? Kama kuna uozo chamani na malengo kutotimia kwanini secretariat nzima isiondoke???? Kuanzia katibu mkuu? CCM in the last 10 years Imekuwa na zaidi ya 3 makatibu wakuu lakini kwanini CUF yenyewe haina...
Back
Top Bottom