Search results

  1. Saljiv

    Kero: Kutorudisha chenji DART Morocco

    Sioni sababu kwanini wasiwe na chenji ya kumrudishia mteja. Kama sio mradi wa kujipatia pesa za bure.
  2. Saljiv

    Kero: Kutorudisha chenji DART Morocco

    Wafanyakazi wa DART Morocco wamekuja na mradi mpya wa kutorudisha chenji ya shs 50 wakidai kwa hawana chenji. Huo mradi ulianza polepole na kwa sasa umekuwa chronic.
  3. Saljiv

    All Norwegians become crown millionaires, in oil saving landmark

    OSLO (Reuters) - Everyone in Norway became a theoretical crown millionaire on Wednesday in a milestone for the world's biggest sovereign wealth fund that has ballooned thanks to high oil and gas prices. Set up in 1990, the fund owns around 1 percent of the world's stocks, as well as bonds and...
  4. Saljiv

    Kipigo cha wana ifm: Kova ameonesha uhalisia wa jeshi la polisi.

    Kigamboni kuna kambi la jeshi. Kwanini wasisaidie kutoa ulizi na kusaka hawo majangili ? kama waliweza kupeleka jeshi kariakoo, kulikoni wasiweze kumaliza tatizo la kigamboni ?
  5. Saljiv

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Ukumbuke kwamba unanunua bastola ili uweze kulinda maisha na mali yako. Bastola ndogo (na yenye calibre ndogo) ina uwezo mdogo in terms of range na stoping power (yani uwezo wa kumzuiwa adui wako asiendele na nia yake mbaya). Anything less than 9 mm luger, effectiveness yake ni limited. Mimi...
  6. Saljiv

    Kenya declares war on Al Shabaab!

    Wakenya waliwa alika wenyewe magaidi wa kisomali, wakawa wana "invest" - kwa mfano kama eastleigh, ngara road etc - wakahalalisha miraa (mirungi). Sasa wanataka kuwaingiza nchi zingine thru EAC DEFENCE PACT ili wawasaidie kurekebisha makosa yao !
  7. Saljiv

    Kuwasilisha inquest coroner’s court

    Je mimi kama raia, naweza/naruhusiwa kwenda RM-Mahakamani na mwanasheria wangu, na kuwasilisha mahakamani ombi la inquest kwa kifo ambacho nahisi kama kuna foul play either huku uraiani au in official custody ?
  8. Saljiv

    Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

    Kwa mujibu wa sheria, Polisi inabidi watoe ruhusu kwa ajili ya mandamano au wanatakiwa wajulishwe tuu ???
  9. Saljiv

    Msaada - Hisa za kampuni

    Ahsante Quinty. Hawo professional walipewa common shares (minority share holders around 25%) na hawakuchangia mtaji (yaani hawakutoa pesa za mtaji) ila ilikuwa verbal agreement kama wao pia watakuwa shareholders katika kampuni
  10. Saljiv

    Msaada - Hisa za kampuni

    Kuna wafanyabiashara ambao wana ungana na professionals (accountants, engineers, IT etc) na kufungua kampuni. In such cases wafanyabiashara hao wanatoa mtaji during start-up na wanawa allocate certain amount of shares (during start up) hawo professionals. However, zimetokea cases whereby baada...
  11. Saljiv

    Kamanda kova must go!

    Kova ni askari shujaa aliyepoteza jicho lake moja katika kupambana na wahalifu. Sioni sababu kwanini ajiuzulu !
  12. Saljiv

    Kesi ya IGP Mahita na tuhuma za kuzaa na mtumishi wake wa ndani

    Huyo housegirl alikuwa na umri gani alipotembea na Mahita ?
  13. Saljiv

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Wana JF, wapi naweza kupata huo mkataba wa mungano, kati ya Tanganyika na unguja ?
  14. Saljiv

    Historia Ya Warangi

    JF, naomba nipate historia ya kabila la Warangi, ambao ni wenyeji wa wilaya ya kondoa. Pamoja na mila, dasturi na tabia zao (Zinazo kubalika na zisizo kubalika na wengine)
Back
Top Bottom