Search results

  1. Neanne

    Mafuta ya Alizeti

    Habari wana jamvini? Katika hangaika yangu nimepata wateja wa mafuta ya alizeti, nimesikia yanapatikana Singida, tatizo sijui pa kuanzia ili kuyapata na kuyaleta Dar ili kusupply. Naomba msaada wenu kwa wanaojua mchakato mzima. Tupigane na umasikini tulijenge taifa
  2. Neanne

    Msaada kilimo cha hoho

    Habari wana waungwana? Naomba muongozo wa kilimo cha pilipili hoho kwa wenye uzoefu. Asanteni
  3. Neanne

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Habari wanajamvini! Naomba kujua kama biashara ya nafaka inalipa. Nataka kufungua duka la nafaka, nikianza na mchele mahindi na maharage. Tulijenge taifa
  4. Neanne

    Biashara za mtandao

    Habari wana jamvini, Napenda kujua kama ni kweli hizi biashara za mitandao zinazofanywa na kampuni kama Forever Living na GNLD zinaweza kumkwamua mtu kimaisha.
  5. Neanne

    Umeondoka tukiwa bado tunakuhitaji mno!

    Pole sana, Mungu awashike katika kipindi hiki kigumu.
  6. Neanne

    Biashara ya samaki

    Habari zenu waungwana, Nataka kuanza biashara ya duka la samaki aina ya sato na sangara toka mwanza. Naomba ushauri kwa wenye uzoefu. Asanteni
  7. Neanne

    Biashara ya salon za kiume na kike

    Habari wanajamvini? Naomba mchanganuo wa biashara ya salon ya kike. Asanteni
  8. Neanne

    Kuna ukweli wowote? Kuhusu maji ya baridi?

    Habari wanajamvini? Ni kweli kuwa mwanamke akinywa maji ya baridi baada ya tendo la ndoa siku ya hatari hatashika mimba? Asanteni
  9. Neanne

    Morogoro

    Kwa mawazo yangu nafikiri kuwa ule ni mji mzuri sana ila tu umekosa bahari. Ukizingatia upo karibu najiji la D'salaam. Huo ni mtizamo wangu.
  10. Neanne

    Ujasiriamali

    Hii ni kati ya moja ya kazi nazofanya.
  11. Neanne

    Ujasiriamali

    Hamjambo wandugu, Nimejifunza kupamba kumbi za sherehe. Sina uzoefu sana. Kwa sasa napamba kwa gharama ndogo sana ili kupata uzoefu. Kama kuna mtu mwenye uzoefu na kazi hii, naomba kufuatana naye kwenye kazi zake hata kwa kulipa ili nipate uzoefu zaidi. Asanteni
  12. Neanne

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Nipo D'salaam, nataka kwenda mkoa kujishughulisha na kilimo. Asante mkuu
  13. Neanne

    Nahitaji mnunuzi wa vitunguu

    Aisee, hongera sana.
  14. Neanne

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Habari wandungu, Mimi si mzoefu wa kilimo, naomba wataalamu na wazoefu wa kilimo wanijulishe kuwa ni kilimo kipi kipo juu zaidi (faida kubwa) kati ya mahindi na mpunga? Asanteni wana jamvini
  15. Neanne

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Asante kwa ushauri. Mbali na kununua mpunga na kuuza, je, nikiamua kulima mpunga itaniletea faida?
  16. Neanne

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Asanteni, nitaifanya na nitawapa matokeo. Tusiogope kujaribu.
  17. Neanne

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Hiyo ni kweli kabisa, tunapenda mambo makubwa yasiyokuwa na msingi. Tubadilike jamani.
Back
Top Bottom