Search results

  1. Nyamizi

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Kwamba kifo kipo mbele yetu kwa sisi ambao bado tupo hai lakini kwa Marehemu kifo tayari kimeshakuwa nyuma yake maana keshafariki na kupita hiyo hatua Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Nyamizi

    Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

    Hii lugha imekaa sawa sawa kweli hapo kwa lugha ya Malkia? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Nyamizi

    Hivi viongozi kutoka US, UK nk. wakitembelea Arusha watapokewa na RC Makonda?

    Umemaliza huu mjadala kwa comment hii [emoji122][emoji122]
  4. Nyamizi

    Hivi viongozi kutoka US, UK nk. wakitembelea Arusha watapokewa na RC Makonda?

    Na tumeumia haswa,kila baada ya dk 10 thread ya Makonda mpya.Utakuta na yeye anasoma huku anatucheka sana
  5. Nyamizi

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah kweli umevurugwa
  6. Nyamizi

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Tunashangilia mpira unaochezwa sasa hivi uwanjani
  7. Nyamizi

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Leo ndiyo leo [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Nyamizi

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Hali tete majirani [emoji23][emoji23]
  9. Nyamizi

    Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

    Boniyai [emoji3][emoji3]
  10. Nyamizi

    FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

    Yule ni dhaifu hata kwa kumwangalia tu.Ingekuwa ni ushindi huu leo ndiyo team yake imepata sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine.
  11. Nyamizi

    Afisa wa jeshi wa Marekani asema mbona Houth wanatushangaza.Hatujajua wana nini.

    Wewe ulituaminisha IDF hawawezi kuingia Gaza[emoji23][emoji23]
  12. Nyamizi

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    Sasa andika vizuri tukuelewe 'alisha' ndiyo kitu gani?
  13. Nyamizi

    FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

    Yani wewe hizo emoji za kucheka unaficha machungu makubwa ya haya matokeo.Pole mtani
  14. Nyamizi

    FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

    Haya matokeo yamekuumiza sana mtani
  15. Nyamizi

    FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

    Nasoma comments zao huku nacheka,wamekasirika hatari [emoji3][emoji3]
  16. Nyamizi

    FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

    Mkuu basi kunywa maji utulize jazba maana ulikuwa unaranda randa na comments za kufurahia Simba kufungwa [emoji3]
  17. Nyamizi

    FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

    Mpaka wachezaji wao wanaamini katika uchawi,jana niliona mchezaji mmoja anatoka kwenye benchi anakimbia kwenda kukitoa kitaulo cha mlinda mlango wa Mashujaa.
  18. Nyamizi

    FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

    Tena abagazwe haswaa ili tufurahi zaidi
Back
Top Bottom