Search results

  1. The realy Ngosha

    Kwa wataalamu wa madini njooni tupige pesa sasa

    Katika harakati ya kutembelea moja ya mashamba yetu huku vijijini nimekutana na hili shamba la hekari 9.5 lina mawe haya, kwa wataalamu wa madini njooni tupige pesa sasa.
  2. The realy Ngosha

    Madini madini

    Katika harakati ya kutembelea moja ya mashamba yetu huku vijijini nimekutana na hili shamba la hekari 9.5 lina mawe haya, kwa wataalamu wa madini njooni tupige pesa sasa.
  3. The realy Ngosha

    Urusi kuonesha Tukio zima jinsi ndege yake aina ya ll-20 ilivotunguliwa nchini Syria

    Mkanda wa video unaoonesha dakika zote za matukio yaliyopelekea kutunguliwa kwa ndege ya Urusi aina ya ll-20 nchini Syria mapema wiki hii utaoneshwa kwa umma siku ya Jumapili, Wizara ya Ulinzi ya Urusi imetangaza. Uwasilishaji huo utajumuisha taarifa za msingi za rada wakati ndege hiyo ikiwa...
  4. The realy Ngosha

    ‘Manifestation of hegemony ‘:China slams US sanctions over its Russian arms deal

    China has hit back at US attempts to force it out of multiple billion-dollar arms deals with Russia, with a defense spokesperson stating that Washington has “no right to interfere” in the dealings of two sovereign states. Wu Qian’s comments come after the US State Department imposed sanctions...
  5. The realy Ngosha

    ‘Trump will fail ‘:Iran won’t abandon its ‘missiles that makes America angry ‘ Rouhani says

    Iranian President Hassan Rouhani says that Trump is doomed to fail against Iran "just like Iraq’s Saddam Hussein did", and that Tehran will not bow down to Washington and get rid of its “defensive” weapons. Should the worst-case scenario occur and Washington attacks Iran, the US would face the...
  6. The realy Ngosha

    Russia to become China’s top supplier of gas soon

    One of the world’s longest gas pipelines – the Power of Siberia – which is being created to deliver natural gas from Russia to China, is almost complete. The sides are now getting ready to ink a contract on another major pipeline. Agreement on the Power of Siberia 2 or the ‘Western Route’ for...
  7. The realy Ngosha

    US sanctions are sign of dollar crisis & decline of confidence

    Mfumo wa dola ya Marekani unazidi kuporomoka kabisa kulingana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergey Lavrov. Vikwazo vya Washington ni ishara tosha. Urusi inafanya kila juhudi kupunguza utegemezi wake kwa Marekani na mfumo wa dola, Lavrov alisema Ijumaa wakati wa ziara yake Sarajevo, Bosnia...
  8. The realy Ngosha

    Karibuni Dodoma; Kwa mahitaji yafuatayo naomba tutafutane

    Karibuni kwa mahitaji yafuatayo. 1; Nyumba za kupanga 2; Nyumba za kununua 3; Viwanja vilivyopimwa 4; Viwanja visivyopimwa 5; Mashamba ya kukodi kuanzia hekari 1 mpaka hekari 100 6; Mashamba ya kununua kuanzia hekari 1 mpaka hekari 100 7; Material yote ya ujenzi wa aina zote (ie...
  9. The realy Ngosha

    Maajabu yatokea Tanga: Sura ya Nyerere na mama Maria Nyerere zaonekana kwenye mwembe

    Hii ni taarifa kutokea tengamano Tanga ambapo imedaiwa mti aina ya muembe umetokezea taswira ya Mwalimu Nyerere upande wa kwanza na mama Maria Nyerere upande wa pili.Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza tarehe 6/ 7 /2016 saa 12 jioni wakati watu wakiuangalia mwandamo wa mwezi wa ramadhan...
  10. The realy Ngosha

    Nataka kujifunza na kujua kuhusu Magic

    Nataka kujua na ikiwezekana kujifunza kuhusu any kind of magic, kwa yeyote anaeweza kunisaidia tafadhari, namaanisha nilichokiandika tafadhari, kama haujisikii kutoa msaada usitoe kejeli Tafadhari nipo serious, napatikana arusha kwa sasa!
  11. The realy Ngosha

    Nahitaji kujua meditation classes kwa hapa Arusha

    Habari wanajanvi, nipo arusha nahitaji kujua zilipo meditation temples/classes kwa hapa arusha mjini. Natanguliza shukrani zangu za dhati!
  12. The realy Ngosha

    Majimbo mapya ya uchaguzi

    Msaada kwa mwenye copy ya majimbo mapya ya uchaguzi atupie apa tafadhari. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  13. The realy Ngosha

    Msaada wa meditation temple

    Habari gani wana janvi?! Kwa anayejua sehemu wanapotoa training ya meditation au meditation guid. Hapa dar! Natanguliza shukrani zangu za dhati!
Back
Top Bottom