Search results

  1. deonova

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Posho ya kukaimu ni difference ya mshahara wako na amount iliyokuwa attached kwenye hiyo nafasi unayoishikilia. Sijui kama nimeeleweka....mfano Cheo unachokaimu ni cha meneja Na salary ya meneja ni 900,000 Wewe ukiwa kama HR mshahara wako ni 700,000 na umetakiwa kukaimu nafasi ya meneja. Hivyo...
  2. deonova

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Kwa masuala yote ya kukiukwa vipengele vya mkataba (breach of contract agreement) kama mfano hilo ulilotaja unatakiwa kufungua shauri ktk Tume ya Usuluhishi na Uamuzi wa Migogoro ya Kikazi (tunaitwa CMA) katika mkoa uliopo/unaofanyia kazi Kwa masuala yote uvunjifu wa sheria za kazi (breach of...
  3. deonova

    Kuthibitishwa kazini kwa utumishi wa umma

    Upo sahihi kabisa mkuu mpima mstaafu , kimsingi lengo la probation ni kukupima utendaji kazi wako kama unafit kwa ajira uliyoajiriwa nayo. Endapo mwajiri atakuwa hajaridhika na utendaji wako anaweza ku-extend muda wako wa matazamio. Na kumbuka hutakiwi kumuandikia barua mwajiri ya kutaka...
  4. deonova

    Nimerudi tenaJF kuomba msaada wa kazi bado sijakata tamaa

    Daaaah asee wee jamaa umenichekesha sana 😂😂😂
  5. deonova

    Barua ya Chadema kwa Msajili wa vyama vya siasa kuhusu Uchaguzi wa Ndani wa Chama

    Kwa kweli, manake nimekosa mtiririko kabisa katika usomaji
  6. deonova

    Barua ya Chadema kwa Msajili wa vyama vya siasa kuhusu Uchaguzi wa Ndani wa Chama

    Mkuu Mwanahabari Huru hebu arrange attachment zako vizuri manake zimejivuruga sana ktk mpangilio kiasi kwamba unaposoma unapoteza mtiririko, mfano ukiangalia apo imeanza page namba 1 ikafuata 8 ikafuata 3 ikafuata 11 ikafuata 7 ikafuata 6 ikafuata 9 ikafuata 5 ikafuata 4 ikafuata 12...
  7. deonova

    Haya matawi ya miti yanazongushwa pembezoni mwa logos maarufu kama UN, JWTZ/TPDF na BOT huwa na maana gani?

    Ulikuwa unafanya kazi gani? (ktk position gani) hii itasaidia kukupatia jibu linalofuata
  8. deonova

    Chama cha mabaharia chaja juu

    Hawa mabaharia watakuwa na kitu "inferiority complex" kama alivyosema McCarthy pale juu; mtaani miaka nenda rudi yanatumika majina ya vyeo vya watu haijawahi tokea malalamika sembuse hii ya mabaharia 1. Kuna watu wanajiita Raisi wa Manzese n.k hujawahi sikia serikali imetoa kauli ya kukemea...
  9. deonova

    Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari?, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari

    Mi huwa nahisi ni gari za TCRA za kuzunguka mikoani mbalimbali kutambua kwa kunasa mawimbi ya local radio zinazorusha matangazo bila kupata usajili wao. Sina hakika kama niko sahihi
  10. deonova

    DC Ole Sabaya kuchunguzwa kuhusu tuhuma za kuomba rushwa na kutoa vitisho

    Kama ni kweli kama usemavyo basi usikute huyu Sepenga ndo aliyekuwa hapo hotelini ambaye ndo DC alikuwa anasumbua usiku aamshiwe
  11. deonova

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Ahaa lakini sheria inazi-include
  12. deonova

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Zinahusu sector zooote ilimradi zinaajiri mkuu
  13. deonova

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Ukishamaliza mzunguka wa likizo yako ya ugonjwa kama ulivyoainisha hapo juu, na ukawa bado haujapona kuweza kuendelea na kazi, basi mwajiri anaweza kuangalia kama una likizo za aina ingine ambazo haujachukua (mfano zile annual leave za siku 28), ikiwa nazo ulishamaliza, basi ktk good practice...
  14. deonova

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Kimsingi ktk utumishi wa Umma kama kuna hatua umechukuliwa na unahisi haikuwa sahihi kwako, hatua ya kuchukua ni kuwasilisha malalamiko yako kimaandishi ktk Tume ya Utumishi wa Umma, wao watareview hatua ulizochukuliwa na aidha kuconfirm kama wakijiridhisha ilikuwa sahihi ama kutengua kama...
  15. deonova

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Ni siku 28 sio 22 mkuu, nimekusahihisha kidogo hapo samahani.
  16. deonova

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Ni sahihi mkuu, yeye likizo anayostahili kwenda ni ile ya kisheria inayotajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma (yaani siku 28 kwa kila mwaka, na hii ni kwa watumishi wote hata nje kada ya ualimu), LAKINI wakati wanafunza wanapokuwa wamefunga ktk hizo term ulizotaja, walimu nao...
  17. deonova

    Kongole kwa Serikali kwa kuondoa muingiliano wa kazi za TFDA na TBS, ikiwapendeza sasa muitazame RITA na NIDA

    Labda hawa wapelekwe tu TBS kule maana majukumu yao ni kihakiki VIWANGO vya vipimo na mizani, (kama mamizani ya duka la mangi/bucha, matanker ya mafuta, body za lory za mchanga/kokoto, pump za mafuta, urefu na unene wa vifaa mbali mbali kama vya ujenzi kuhakiki kama vipimo viko sawa, vifaa tiba...
Back
Top Bottom