Search results

  1. haha

    Wizara ya Elimu na hili za kuzuia nyimbo zisizo na maadili kwenye mabasi ya wanafunzi tu? Linashangaza!

    Kuna wakati maamuzi mengine yanashangaza kidogo au Sana!! Sijajua basata Huwa inawaogopa Bongo favour au vipi!? Juzi Wizara ya Elimu imekuja na azimio la kukataza nyimbo zisizo na maadili kupigwa kwenye mabasi ya shule!! Amaa!!!, kumbe mnajua kuna nyimbo zisizo na maadali? Kwanini, msizifungie...
  2. haha

    Picha: Hivi Tanzania tumefikia hapa kweli!?

    Picha Ina jieleza huu ni mzaha Kwa nchi,na hawa ni vijana wa shule na hapo ni center moja tuu
  3. haha

    Kwanini nchi nyingi zinatumia jina la Guinea?

    Wajumbe naomba mnijuze kwanini mataifa mengi hutumia hili jina!? Mfano Guinea Equitor, Guinea Conakry, Guinea Bissau, Papua Guinea. Hebu mwenye uelewa anijuze
  4. haha

    Asilimia 50 ya walimu hasa wa sekondari wana fani zaidi ya ualimu!

    Hakika hili nimelifanyia uchunguzi ni nimejiridhisha pasipo na shaka. Walimu wengi wana fani mbili mbili yaani ualimu Kisha fani nyingine hasa wa sekondari, wapo kimtego mtego. Fani walizo zisomea wengi Uhasibu, Procurement, BA economics, Human Resources, Sheria, clearing & forwarding nk...
  5. haha

    Kuna Kila sababu Serikali kurudisha masomo ya option shuleni kupambana kupunguza ukosefu wa ajira

    Ndugu zangu watanzania, hali ni mbaya tena ni mbaya Sana, ukosefu mkubwa wa ajira ni kichocheo Cha uhalifu na hatari Kwa usalama ya nchi!! Nchi kama Nigeria ni mfano dhahiri wa hili tatizo, ukosefu mkubwa wa ajira umepelekea vijana wenye nguvu na wasomi kujiingiza katika uhalifu wa kuteka watu...
  6. haha

    Ewe Mtanzania mwenzangu! Heshimu watu Dunia Haina mwenyewe sisi ni wapitaji!

    Kweli kama Kuna mtu hajajifunza hili tajwa hapo juu kuanzia 2015 -mpaka Sasa atakuwa na tatizo kichwani!? Binafsi ,nimejifunza mengi mno mno!! Haya yanayotokea Sasa hivi miaka kadhaa hakuna aliyeystegemea ,watu walijaa viburi ,ukatili ,ubabe,utemi lakini Leo hawapo na wamepotea kabisa? Nani...
  7. haha

    Kuna haja ya mamlaka husika kufuatilia uchezeshaji wa soka hasa kwa timu za Simba na Yanga?

    Kwanza na declare interest Mimi sio mpenz wa soka kabisaa!!! Mimi ni mfuasi wa live band, old school bolingo, na mzik wa zaman wa hapa Tz. Ila jamaa zangu wengi na wafuasi wa simba na Yanga. Jana,26/12 nilikaa mahali nakunywa soda yangu !!!! Ilikuwa mechi ya Yanga vs Biashara FC. Kiukweli...
  8. haha

    Nyama ya kasa ipoje na ina utamu kiasi gani? Sumu iliyo mwilini mwa kasa haidhibitiki?

    Kasa kimaumbile yupo kama Kobe kabisa! Kiukweli havutiiii ukimuona, najiuliza wanaomla wanashindwa kuidhibi sumu yake? Hivi wakiachana na Kasa wakala vitoweo vingine haiwezekani? Mara kwa Mara nyama ya Kasa inauwa walaji kwann hawaachani nayo? Hebu mlio mla niambieni huyu Kobe anautamu gani...
  9. haha

    Serikali itawafidiaje watumishi wahanga waliodhulumiwa mwanzoni mwa awamu ya tano!??

    Kama kuna kipindi watumishi wa umma hawata sahau katika historian ya Tanzania ni 2015 - 2021!!! Hakika kilikuwa kipindi cha dhiki kuu ambayo haikuwahi kutokea!!! Serikali ilishindwa kabisa kuongeza watumishi mishahara ambalo ni suala LA kisheria kulinga masuala ya utumishi!!! Dhuluma hii...
  10. haha

    Miaka 60 ya uhuru! Tuambizane ukweli tusiwafurahishe watawala!!!

    Miaka 60 ya Uhuru hiyooo!!! Hakina ni safari ndefu na mengi yamefanyika ila tusemezane ukweli bado,bado tupo mbali ( nyuma).Tambo za wanasiasa hazisadifu hali halisi!? "Tukitaka kujifananisha tujue tumekimbia kiasi gani ,tutazame walifanikiwa " je !?? Wao wametumia njia zipi!? Nikweli tuna...
  11. haha

    Legacy inapoyeyuka mithili ya jibini juani

    Kiukweli wahenga hawajawahi kukosea kila walichokisema hutokea Mfano!!! Ivumayo haidumu,Ngoma ililia sana jua inapasuka!!! Mbio za sakafuni huishia ukingoni!!! Na mingine mingi tuuuuu Sasa sisi wazee wa legacy tupo hoi!!! Kwa sasa kila jiwe lina geuzwa "juuu chini chini juuu" tatizo nn! Mbona...
  12. haha

    Star TV ndio TV hawapo hewani?

    Nilikuwa napenda sana kujiunga na kuangalia taarifa za kimataifa kwa kuwa ni wadadavuaji wazuri wa habari za kimataifa kuliko TV station yoyote!!! Pia nilikia naangalia BBC Swahili kupitia wao kila SAA 3 Usiku Ajabu hawapo hewani siku ya tano Leo!!!
  13. haha

    Ukame,mioto (ajali za moto kila kona,uhaba na mgao wa maji ni warning signal huenda kuna kubwa laja

    Huenda kuna kubla zaidi LA kushitua laja ndani ya nusu mwaka ujao naomba tutunze kumbukumbu!? Kuna watu wanadhani hii nchi ni Mali yao au wao wanahaki kuliko wengine! Wanateketeza wezao ili wao na familia zao waneemeke!!! Narudia. Huu ni utabiri wangu na kama unawajua waambie!!! Ni muhimu...
  14. haha

    ITV ingieni mkataba na BBC mtuletee BBC Swahili. Star tv imechemka hawapo hewa tangu jana

    Napenda kuushauri uongozi wa ITV ipigane kufa na kupona ipate hii deal ya kutangaza BBC Swahili kila SAA tatu usiku Star TV hawatoshi Mara kwa Mara hawapo hewani!
  15. haha

    Kwa hili la Sabaya na Makonda ni aibu kubwa kwa awamu ya tano

    Nasoma vyombo mbalimbali kwamba aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar wakati wa awamu ya tano atafunguliwa mashitaka kwa matumizi mabaya ya ofisi! Iwapo itafunguliwa kesi hii iatakuwa ni ya pili Tangu Rais jpm afariki! Chakushangaza na kusikitisha marehemu au mamlaka za uteuzi wakati wa marehemu...
  16. haha

    Hayati Nyerere alilisuka hili Taifa. Sijui tulikwama wapi!

    Kiukweli huyu mzee alistahili cheo cha ubaba wa Taifa!; nimejaribu kuangalia vyuo alivyovijenga nikashangaa ya kila fani akijenga chuo chake 1) Madini - DODOMA 2) Uvuvi - Bagamoyo 3) Reli - Tabora 4) Bima - Mikocheni 5) Ushirika - Moshi na Shinyanga 6) Wanyamapori - Mwanza Pansias 7) Kilimo na...
  17. haha

    Siasa za kitoto na kishamba zitatuletea maendeleo bandia

    Kiukweli Tanzania bila kukaa na kutafakari kwa kina tutsjikuta tunapiga mark time miaka nenda rudi na kujidifu kwa maendeleo bandia. Najaribu kutazaa yanayojitokeza baada ya kuondoka kwa Aliyekuws rais wa awamu ya Tano. Kiukweli Mh alijenga nidhamu ya uoga!!! Walinyima watu kufikiri na kutoa...
  18. haha

    Vyuo vikuu viwe chini ya NECTA kuondoa rushwa ya ngono

    Rejea kichwa cha habari husika!! Tulikua tukijiuliza mbona wasomi wetu ni choka mbaya up stairs!? Sasa jibu liko wazi kabisa ni shahada au degree za chupi au akina kaka wao kuna uwezekano mkubwa hutoa hongo ya pesa wakati Dada zao ni wazi hutoa penzi. Ninapendekeza kuwa ni wakati muafaka sasa...
  19. haha

    Ushauri wangu kwa majaji wa BSS

    Nawashauri hawa majaji wajaribu kuwa fair kidogo kwa hawa washiriki ,binafsi nachukizwa sana na kumkatisha mshirika tamaa wakati akiwa ameimba mstari mmoja tuu wa walochotaka kuimba Kiukweli kwangu mm binafsi naona haipendez kabisa kwan mnatia watu uoga na kuwakatisha tamaa Salama ,Madam Rita...
Back
Top Bottom