Search results

  1. haha

    Serikali yalifungia kanisa la Spirit Word Ministry

    Huyu jamaa alikuwa anauza vipodozi Sasa Kahamia huku!? Daaa
  2. haha

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Unataka Kwa akili ya Nini!? Kuna waliospecialize kwenye fani mbali mbali 1) kesi 2)kumdhuru mgoni 3) kumdhuru mwizi wa Mali Yako 4) kuzuia wizi nk Nb SEMA unataka yupi tukupe namba!?? Usikubali kuonewa na mtu
  3. haha

    Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

    Mtu anakataa nguruwe anakula kasa Kisha anakufa !!!
  4. haha

    Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

    Mungu amewapa watanzania ngombe,mbuzi, samaki,kuku ,bata,kondoo,mbuzi katoliki samaki wa maji chumvi na barid!! Dagaa nk !!! Unaaacha vyoote unakula Kobe " kasa" !??? Naomba nisisikitike
  5. haha

    Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

    Uzi umegonga mwamba
  6. haha

    Serikali angalieni masilahi ya wafanyakazi wa sekta binafsi

    Humu jf Kuna watoto wengi Sana akina Mpwayugu ambae huwatukana walimu !!mtu anakwambia kwenye mining industry engineer aliyetika UD analipwa million 23 Huwa nacheka sana
  7. haha

    Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

    At from diploma to masters
  8. haha

    Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

    Mimi Kila siku naliongea Hilo ila wapumbavu hawaelewi
  9. haha

    Wizara ya Elimu na hili za kuzuia nyimbo zisizo na maadili kwenye mabasi ya wanafunzi tu? Linashangaza!

    Kuna wakati maamuzi mengine yanashangaza kidogo au Sana!! Sijajua basata Huwa inawaogopa Bongo favour au vipi!? Juzi Wizara ya Elimu imekuja na azimio la kukataza nyimbo zisizo na maadili kupigwa kwenye mabasi ya shule!! Amaa!!!, kumbe mnajua kuna nyimbo zisizo na maadali? Kwanini, msizifungie...
  10. haha

    Usalama wa taifa kazi yao nini? Watuambie Panya road ni akina nani?

    Huwa najiuliza nikiona apple [emoji519] za nje zinauzwa Tz ,vitunguu na matikiti majinya Tz yanaozwa Kenya Kwa wingi tena nasikia Kenya Wana export hayo mazao Yani vitunguu,matikiti,na machungwa Kwa wingi kutoka Tanga to Nairobi then Europe kinachonifanya nijiulize ni hiki!! 1) kwann tiss...
  11. haha

    Kuna vijana wajinga sana katika hii nchi

    Duka la jumla kutengeneza net profit ya mil 2 labda uwe peke Yako wilaya nzima ushindani ni mkubwa Sana asikwambie mtu
  12. haha

    Kuna vijana wajinga sana katika hii nchi

    Story tuu c&forwarding Kuna watu wanasota TU sio Kila mtu anapiga
  13. haha

    Kuna vijana wajinga sana katika hii nchi

    Biashara hazina uhakika ndugu amin na kwambia tumefanya tukaona Kodi ,garama za uendeshaji,ushindani ni kubwa mno mno ni ngumu kupata hizo faida unazo Dhani!!ndio maana watu wanauona bora kuajiriwa Kuna taasisi za serikali Zina mishahara mikubwa Sana mpaka mil 10 bado Kuna access ya mikopo...
  14. haha

    Waafrika weusi wafurushwa Tunisia baada ya amri ya Rais

    Na sisi tumfikuze kocha wa wananchi!?
Back
Top Bottom