Search results

  1. mjasiliaupeo

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Kwa hiyo eslael hawakushambulia, then Iran wanataka ku counterattack, which is which? Kuna vitu inabidi utumie tu akili ya std two kudadavua
  2. mjasiliaupeo

    Labda Simba kwenda Kombe la Shirikisho ni jambo jema kwa sasa

    Simba hata akiwa wa mwisho kwenye league anacheza continental league
  3. mjasiliaupeo

    Mwaka wa nne huu naishi Mbeya, Wanyakyusa nawapa maua yenu japo mna mapungufu machache

    Wanyakyusa wañapatikana tukuyu na kyela, sio kila tukio linalotokea mbeya linahusisha wanyakyusa, kuna makabila mengi huo mkoa.
  4. mjasiliaupeo

    High Gross MDF Board za Kituruki

    Ingia insta search romefundihouse warehouse yao ipo mbezi beach. Ukihitaji kufanyiwa kazi hiyo fundi nipo 0713553387
  5. mjasiliaupeo

    Ni teknolojia gani aliyotumia huyu mwanamazingaombwe?

    Hakuna uchawi hapo, ni matukio yanayofanyika kwa haraka na ustadi mkubwa zaidi. Hiyo dove illusion imefanyiwa reveal hapa, unaweza kuona step by step https://youtu.be/hnkpU27uTp0?si=hk-A-FqmQRGSLjhh
  6. mjasiliaupeo

    Ni kwanini waislam wanazipenda sana China na Russia kuliko USA

    R Russia christians ni 47% na orthdox Christians ni 41%
  7. mjasiliaupeo

    Tuhamasishe matumizi ya lugha ya kiingereza

    Kuna nchi zinaongea kiingeleza safi kabisa kama 1. Malawi 2 Zambia 3. Uganda 4. Ghana. Wako hoi uki compare na Tanzania. Mzee kama umefeli ni tatizo lako. Usitafute excuse. Hawa wamalawi sikuhizi bongo wamegeuzwa ma house girls/boys kwa sababu ya hiyo lugha waongee na watoto.
  8. mjasiliaupeo

    Wanaounga mkono Hamas huko diaspora waanza kufukuzwa kazi

    Naona sasa hivi wazungu wanaanza ku deal na watu wao ki African style. Zile style zao zilisababisha uhuru kuzidi
  9. mjasiliaupeo

    Azam TV wanatuuzia vifurushi (package) bei ghali ukilinganisha na majirani zetu

    Umeshamaliza kila kitu, uwelezaji aliofanya azam hapa ni mkubwa na ni matarajio hata charges zao zitakuwa hivyo, pia ni strategy ya kuingia kwenye soko husika hata hapa Tanzania wakati wanaanza walikuwa na gharama za choni sana
  10. mjasiliaupeo

    DOKEZO Inasikitisha: Tazama hali ya miundombinu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Tatizo ni jamii ina watu wachafu sana, yaani unajiuliza hapo kuna doctors na wauguzi wanashindwa hata kusafisha fridge. No wonder same hospital ingejengwa moshi muonekano ungekuwa tofauti kutokana na haiba ya watumiaji wa hiyo hospital
  11. mjasiliaupeo

    Barabara ya Njia nne ya kulipia kutoka Kibaha hadi Morogoro kujengwa kwa zaidi ya Dola Milioni 800

    Kila raia ana prior zake, yaani kila mtu asafiri kwa ratiba, sisi watu wa road hata saa nane za usiku unaamsha
  12. mjasiliaupeo

    DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

    Kwa hiyo unatakaje, unataka rafiki yako arudishwe kwao? Kama wanafanya kazi zao bila bugudha kinachokuuma nini, au na wewe unafanya kazi za ndani unahifia ajira yako?
  13. mjasiliaupeo

    Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

    Duh, zimamoyo ni taasisi ambayo ina watu wanapata mishahara kabisa.
  14. mjasiliaupeo

    Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

    Tafuta therapist mzee, uko poa tu hauna tatizo hilo unaloliwaza. Tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi ya ki boilojia.
  15. mjasiliaupeo

    China: Marekani chagua moja unataka vita ama ushirikiano?

    Lakini YouTube, Facebook, WhatsApp, Google zilipigwa ban china kitambo sana. Hii inakula kotekote Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
  16. mjasiliaupeo

    Kwanini Saido alishindwa kuwaokoa Simba SC kwenye CAFCL?

    Au ndugu mleta mada unahisi zile mechi na zalan na hilal zilikuwa ni club bingwa, zile zilikuwa ni preliminary stage ambayo angemfunga al hilal ndio angeaingia club bingwa.
  17. mjasiliaupeo

    Kwanini Saido alishindwa kuwaokoa Simba SC kwenye CAFCL?

    Club bingwa hana hata goal moja. Alishindwa ku qualify baada ya kutolewa na al hilal
  18. mjasiliaupeo

    Naomba kujua utaratibu wa Kumtoa Mtu kwenye Orodha ya wanufaika wa Bima ya Afya

    Alikuwa mke wako umeachana naye, akiugua inaweza isikuhusu ila watoto wako itawahusu. Muache aendelee kuitumia kwa faida ya furaha ya watoto wako Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom