Search results

  1. J

    Uteuzi: Dkt. Said Ally Mohamed ateuliwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Nchini

    Jamani Watz. Tum judge mtu kwa qualifications alizonazo kwamba nafasi aliyopewa ataweza kudeliver, na sio dini yake. Tuache udini
  2. J

    Ni Mikutano ya Hadhara au Mikutano ya Wanachama wa CHADEMA? CHADEMA wamefeli wapi?

    Tutaelewana tu kadri siku zinavoenda. Sa ivi Ni Kama Mpira umerudi Kati. Tunaanzia Tena. Si unajua mwendazake alivuruga Sana upinzani mpaka.wananchi wakakata tamaa Kufatilia shughuli za kisiasa
  3. J

    Ushauri, nataka nitoke nje ya tanzania ki utafutaji, ni nchi gani naweza kwenda ki utafutaji?

    UPELEKAJI WA VYAKULA ( MAZAO) Sudani ya Kusini ndio kwanza wanaanza kuijenga nchi yao, wanachangamoto nyingi, sisi tunaweza kuwasaidia kwa maana ya kuwekeza na kwa kufanya biashara. Kwa mfano wale wanakula sana chapati, hawana ngano, tunaweza kuwauzia ngano, wanahitaji mafuta ya kupikia tunayo...
  4. J

    Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    MKUU KUNA SEHEMU KAMA KAJIFOREST ZISLAND FULANI IVI NAZANI IPO KOROGWE NDANI NDANI , PANAITWA MAGOROTO DAAH KWA BATA HATARIIII
  5. J

    Sasa ni Dhahiri Mbowe ni Mwalimu wa siasa Tanzania

    Niliwahi kusema na leo narudia tena. Pamoja nza mdhaifu mengine ya kibinadamu ambayo kila mtu anayo; Mbowe ni kiongozi makini sana kuwahi kutokea Tanzania. Moja kati ya sifa nyingi za kiongozi bora ni Kutokuwa na "kinyongo" kwa watu wanaokutenda ubaya; watu ambao wewe ndo uliochangia kuwa...
  6. J

    Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

    Katika dunia ya sasa huwezi kutoboa kama hutafungua milango ya ushirikiano kiushindani. Ishu hapa nimasoko ya bidhaa na hapa Lazima tukubali. Watanzania tukue sasa kimtazamo miaka 60 ya uhuru bado tuna uwoga wa kujichanganya na wenzetu hata kama wao wametutangulia?
  7. J

    Nahitaji kukodi Crane ya tani 16

    Duuh! Basis Nimekusoma Mkuu
  8. J

    Nahitaji kukodi Crane ya tani 16

    Mkuu naomba nisaidie mawasiliano ya wa crane aliyepo Dampo. Ahsante
  9. J

    Kwanini wapiga kura wameamua kuifuta CHADEMA?

    Is this worth reading?
  10. J

    Benard Membe, hii ni zaidi ya ukachero

    Sidhani hapa kama kuna ukachero wowore wa Membe kama unavyodai Ushindi umetokana na nguvu ya mgombea wa CCM na sinvinginevyo,, hata kuna makandokando mengi ya kiuchaguzi ila tukubali tukatae JPM was a stronger candidate kama alivyokuwa TL na ana deserve ushindi alioupata
  11. J

    Uchaguzi 2020 Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!

    Mkuu siku za karibuni umekuwa ukitumatuma sana mada za namna! Hii in collusion!!
  12. J

    Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu alikuwa mwanasheria na mbunge, kwanini hakuwatetea Masheikh waliopo Gerezani?

    Nadhani kwenye mambo haya tussingize siasa eti kwa kuwa kuna uchaguzi! Maadam ameonyesha nia ya kulitatua hili suala ngoja tuone maana hata asipofanikiwa kuwa rais yeye ni mwanasheria anaweza endelea kulishughulikia
  13. J

    Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    Prof.Shirima A.k.a Mabenzi aaah jamaa alikuwa akikufundisha somo la Building Materials daah utazani kavumbua yeye.Bila kusahau prof.Msambichaka mtaalamu wa Theory of structures
  14. J

    Watu wa Mungu Tunaohubiri Amani Uchaguzi Mkuu, someni ISAYA 32:17

    Isaya 32:17 Nanukuu "Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele." Hili andiko kwenye Biblia Takatifu lipo wazi Mwenye Sikio la kusikilia na ASIKIE. cc:NEC MBARIKIWE
Back
Top Bottom