Search results

  1. R

    True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Nilitoboaaa na mda umepita. Lakini tangia hapo sikosi box la kona na box la vipimo. Just in case.
  2. R

    Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    Umejuaje kama ni walimu?
  3. R

    SoC03 Ujasiriamali - Siri ya Kujikomboa Kiuchumi

    Nimeipenda safi sana kwa kutukumbusha
  4. R

    Tabia 5 zinazoweza kumfanya mwanaume abakie masikini milele

    Hongera.....[emoji16][emoji16][emoji16]
  5. R

    Jina la Mtoto wa Kike la Kihaya

    Kama ni jina lake la ukweli, sio vizuri: remember those good old times. Huyu anaweza kuwa mama wa watoto, mke wa mtu, mfanyakazi sehemu etc. Plse be a gentleman.
  6. R

    Wanawake Wenye Hivi Vitumbo Chukueni Maua Yenu

    Si ndo hapo. Binafsi naona haina shida. Kuzaa mbona jambo zuri tu. Single moms are as good as anybody. Wengi wao ni mature. Ni rahisi kuelewana kwenye mambo mengi ya maisha. Cha msingi play your part na support pale inapobidi within your means.
  7. R

    SoC03 Njia duni za utunzaji wa fedha ndio chanzo cha umaskini kwenye jamii zetu. Tuziepuke!

    Sina majibu. Anyway nikutakie kazi njema na Mungu akubariki.
  8. R

    SoC03 Njia duni za utunzaji wa fedha ndio chanzo cha umaskini kwenye jamii zetu. Tuziepuke!

    Hii inchi ina safari ndefu kama kulalamiko ndo huko? Ungesema jukwaa gani linatembelewa kwa wingi na kwa nini? Na kwa nini jingine alitembelewi ungekuwa umeongeza tija. Otherwise zero.
  9. R

    SoC03 Njia duni za utunzaji wa fedha ndio chanzo cha umaskini kwenye jamii zetu. Tuziepuke!

    Post mzuri na elimishi lakini haitapata wachangiaji maana haihusu mapenzi wala yanga na simba au umbea wa mjini.
  10. R

    Dodoma: NEMC yazifungia Rainbow na Chako ni Chako kwa kupiga kelele

    Waende na roya na capital na platinam
  11. R

    Dodoma: NEMC yazifungia Rainbow na Chako ni Chako kwa kupiga kelele

    Nadhan target ni rainbow. Wanamziki mzuri sana.
  12. R

    Ipi rekodi yako ya uzoefu katika uendeshaji gari safari ndefu?

    Haukula wala kuongeza mafuta? Au ulikuwa unaendesha gari gani mwanakwetu?
  13. R

    Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

    Huna tofauti na mnunuzi wa gari ya kwanza tena kwa mkopo. Siku ukizoea wanawake na mambo yao utajicheka na post ndefu kama gazeti la the guardian.
  14. R

    Nina degree ya petroleum engineering Sina kazi, Serikali yangu inatoa milioni kumi Kwa Simba na Yanga

    Ukipata hela ya kokoto sogea mbele vijiji kadha. Uwe unanunua mafuta sheli wewe unapima kwenye makopo/videbe maisha yanasonga. Tena wewe inakufaa mtaalamu wa petrolium.
  15. R

    Natoa bure shamba la kulima

    Siyo kweli. Wengine tunalimwa mwaka nenda rudi. Kulima hakukuzuii kuvaa tai ndugu yangu.
  16. R

    Mzee Mkono akiagwa na Wasomi na Watu wa Kawaida Leaders Club tutaishukuru Familia yake

    Sio fix. Tukiwa nkurumah baada ya wanafunzi kutoa malalamiko akauliza viongozi wa chuo wateje ni sh ngaoi wakataja. Akamwomba chawa wake check book akasahini hapo hapo. Akasema kufika kesho yake tutakuwa tumelipwa. Na mgomo ukaishia hapo.
Back
Top Bottom