Search results

  1. I

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Viongozi wengi kuanzia state house hadi mjengoni hawajui katiba.Wanajua kutumia mabavu tuu.Hivi kiongozi mkubwa anaposema KATIBA NI MAKARATASI, Unaona ni jinsi gani tulivyo na viongozi wakubwa wasioijua katiba au wasioiheshimu katiba yetu.
  2. I

    IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

    Muda ni ukuta.Wazungu wanakamsemo, 'Time will tell'
  3. I

    Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

    Aaaaah sasa inaonekana waaazi bila kificho una tatizo la kisaikolojia.Kubemendwa kubaya jamani.Wewe uko stage 4 ya madhara hayo.
  4. I

    Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

    Umekurupuka Kaka, hizo enzi zimepita.Angalia namna nyingine ya kuishi, mapema kabla uzee haujakuelemea.Kama mambo ni magumu sana, nenda ukawe hata CHAWA wa Mwijaku inaweza kuwa na tija kwako kuliko hii ligi unayoitamani.
  5. I

    Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

    Hicho kitu ni daraja ya Bilioni saba???.Tuwe Seriousy basi.
  6. I

    Dkt. Biteko: Kule Bukombe tuliwahi kuchagua Wapinzani tunaelewa madhara yake, nawasihi wananchi wote chagueni CCM

    Kama mawazo ya Biteko ndo hayo, Hata hiyo nafasi aliyopewa,Watanzania tumepigwa.Hakustahili.
  7. I

    Dkt. Doto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye kuanzia 2025 - 2030

    Mnaanza kumsagia KUNGUNI sasaa!!.
  8. I

    Ridhiwani ahimiza uadilifu

    Kama nani vile?.
  9. I

    Mbeya Wameonyesha Njia, Tutarajie Kadi Zaidi.

    Madhara ya TEC Huwa hayachelewi kuonekana ikitokea yamepuuzwa.
  10. I

    Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

    Hivi nyie CCM kama kitu kidogo kama Bandari mnasema mmeshindwa kuendesha, Je mnapata wapi uharali wa kuongoza nchi ambayo hiyo bandari ni ka kipande tuu???????.Hiyo ni alarm kwa wananchi kuwa CCM ilishashindwa kuiongoza hii nchi muda mrefu saana.
  11. I

    Nimeipenda nyumba Salasala, bei yake 150 million. Nifanyeje niipate?

    Kwani DP World wanakuja na huko??.Mbona salasala sijaiona kwenye mkataba.
  12. I

    Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

    Mkataba utakoma pale tu BAHARI itakapokauka.
  13. I

    Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

    Mbona sisi Walimu tunafurahia tu Maisha , Bank pamejaa mpunga!!!.Nyie wengine ni wafanyakazi wa serikali ya nchi jirani au?.
Back
Top Bottom