Mimi ni wakala naunga mkono hoja yako ishatokea kwa wateja kibaoo.anaingiza kadi mara ya kwanza inamkatalia anaingiza mara ya pili inakubali ....mtandao ukikaa vzr zote zinatoka ...msiwalaumu mawakala ni mtandao wenyewe wa bank wakala hawezi kupa pesa ambayo haijatoka risiti yake..so hata...
Madogo wengi hawajitambui...nilikuwa nao mimi wawili ofisini kwangu, nilianza na mmoja wakati namwajiri alikuwa peke yake alikuwa akifanya vzr sana nikaona kama ana overwork( kosa hili) nikamwambia amlete mwenzie wawe wawili daaah kilichonikuta sasa....kwanza wakawa na kiburi kwangu hadi...
Hayo ni maono yako mtoa mada,nakumbuka nilipokuwa nasoma kule st mathew mbagala kila week mzee mwenye nilikuwa namwona na king'ora chake anaenda mkuranga kwao...hii ya znzbr imenishangaza kidogo...yasemwayo yapo .....
Ila hii njia imetoka kumliza jirani yangu siku si nyingi...tunarudi kule kule usifungue uwakala kama akili yako ni chini...uwakala kuna kujiongeza kwa kila njia ...uwe mwepesi wa kutambua harufu ya utapeliii
Mimi nafanya hii kazi ..nikiona mteja katoa kuanzia laki tano na kuendelea nachofanya na mwambia mteja sijaona msg yake..naomba simu yake nijiridhishe ..hapo nakagua tarehe utambulisho na msg kama sio ya kufowadiwa...then narudi kwa simu yangu kuangalia salio nililokuwa nalo mwanzo na...
Hiii sululisho lake wakala mteja yoyote akitoa pesa kubwa inatakiwa ajilidhishe kama ni mhusika mwenyewe.kwa kuangalia utambulisho wa muamala tarehe saa na msg kama ameforwadiwa .
Sema marehem alijua kujichubuaa ....nikiangalie picha zake za zamani na sasa ni watu wawili tofautiii
Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
Mimi vijana wangu juzi wamenipiga 500k na hali ilivyo ngumu nimewatema chini now nipo mwenyewe na mdogo wangu huwa ananisaidia akirudi chuo jioni.vijana siku hizi hawaaminiki tamaa mbelee wanataka kutoboa faster
Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.