Rasilimali nambari moja ni akili.
Taifa linaweza kuwa na watu milioni moja na likaendelea.
Taifa linaweza kuwa na watu milioni moja na lisiendelee.
Taifa linaweza kuwa na watu milioni sitini na likaendelea.
Taifa linaweza kuwa na watu milioni sitini na lisiendelee.
Akili.
1. Kama anataka kwenda serikalini anatakiwa KUACHA KAZI hapo alipo sasa (NMB).
2. Kama hataki au hayuko tayari kuacha kazi hapo alipo, maana yake hataki kwenda kufanya kazi ya mchumi aliyoipata serikalini.
Kinachojadiliwa hapa ni faida na hasara za kuchukua maamuzi namba 1 au namba 2 hapo juu.
Mchumi wa wizara (ya mifugo na uvuvi) hawezi kupelekwa "ndanindani" (uswekeni). Huko ndanindani wanapelekwa wenye wizara yao (maafisa uvuvi na maafisa mifugo ambao wako chini ya wizara).
Pili, ajira za benki ya NMB sio ajira za serikali, hivyo mtu huyo tajwa hapo juu hawezi kuwa na hiyo "check...
Wakuu kuna ka ushuhuda kengine hapa.
Sitaki kusimulia historia yangu ndefu na hawa PSRS tangu zama na zama, mikando, safari za maumivu n.k maana nitawachosha.
Mnamo mwezi Januari mwaka huu nilifanya interview ya laboratory scientist pale UDSM (written na oral), lakini sikubahatika kuilamba...
Mkuu wala hata usishangae sana.
Watanzania sisi tuna kawaida ya kushindana kuteseka.
Naona wadau hapo wanaonyesha kwamba wewe hauna haki ya kudai Placements kwa haraka kwa sababu wewe "haujateseka sana" kama waliokutangulia kufanya interviews.
Unajiuliza hivi lengo la mtu kama huyu ni nini...
Wakati huohuo mzee mzima IT kwenye moja na mbili leo kaamua kuwa mbele ya muda.
Karuka na tangazo la tarehe 1 mwezi wa 8 mwaka 2023.
Bila shaka hii ndio ile "dalali Mboneke" huwa anasema TUONANE MWEZI UJAYO
Kuna mlamba asali anatafutwa na mwajiri wake huko kwenye makundi ya wasap.
Kama kuna anayemjua tafadhali sana tusaidie kama bango linavyojieleza.
NB: Forwarded many times.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.