Search results

  1. MankaM

    Kutotungwa kwa Mimba

    Habarini wana Jf Doctors... Nahitaji kujua sababu zipi hupelekea mimba kutokutunga. Nikimaanisha mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 ambao haubadiliki mara kwa mara ... Ambae amejaribu kupata ujauzito lakini hapati.... tatizo ni nini.
  2. MankaM

    Kitovu kutoka maji husababishwa na nini??

    Habarini za masiku mengi wapendwa natumaini mko vizuri... Madaktari na wadau wa hili jukwaa naombeni msaada wenj katika hili..... Mwanangu anasumbuliwa na kitovu.. tatizo ni kwamba kinatoa maji ambapo huambatana na maumivu jaman mtoto anapata shida sana...... akianza kulia ndio kabisaaa...
  3. MankaM

    Vinyama kuota puani nini tatizo

    Habarin ndugu zangu......... Nataka kujua hii iko vip, inasababishwa na nini, na nin madhara yake bila kusahau tiba yake. Nina jirani yangu ana mtoto wa mwaka mmoja na miez tisa anasumbuliwa na tatizo hili, mtoto anapumua kwa shida pia ana mafua yasiyoisha katika kumchunguza kagundulika na...
  4. MankaM

    Wanaume: Tuacheni tuolewe basi

    Habarini za usiku humu ndani bila shaka mko vizuri. Kumekuwa na malalamiko mengi humu ndani kutoka kwenu wanaume, sijui niziite lawama ama nini hata sielewi lakini hamuishi kutuongelea, ati wanawake tunalazimisha kuolewa huku mkijua fika kuwa mwanamke na kuolewa ni muhimu. Sasa jamani hamtaki...
  5. MankaM

    Msaada, mtoto anapaliwa na mate nini tatizo?

    Habarini humu ndani heshima kwenu. Niko na mtoto ana miezi 7, mara nyingi huwa anapaliwa mate akiwa usingizini na hali hii nimeigundua siku tatu zilizopita. Sijajua hii hali inasababishwa na nini. Je inaweza leta madhara yoyote? Na je inasababishwa na nini? Vipi jinsi ya kuepukana na hii...
  6. MankaM

    Fununu na Tetesi

    Wakuu nahitaji kujuzwa maana ya haya maneno na tofauti zake tafadhari bila shaka hapa ndio mahali penyewe hususani katika kujifunza lugha
  7. MankaM

    Wanaume mnapenda sana kubembelezwa eee!!!!

    Habar ya jion wapendwa bila shaka mko poa Hapa nimekuja na hii mada ya hawa wanaume zetu. Kuna hii kitu huwa inaniboa sana eti wao wawe wanabembelezwa weee ndio wanachotaka asa hawajui kama kuna mambo mengi ya kufanya na sio kubembelezana. Inasemekana nyie wanaume mko wachache eti.... Kwaio...
  8. MankaM

    Kuzuia mimba kwa dawa za asili

    Naombeni kujua dawa za asili za kutumia ili kuzuia ujauzito
  9. MankaM

    Hatua za kufuata ukipotelewa na vyeti

    Habarini wakuu nahitaji kujuzwa hatua za kufuata ukipotelewa vyeti jinsi ya kuvifuatilia huko NECTA.
  10. MankaM

    nahitaji kujua

    naona kuna senior member, member jf gold member jf expected members nijuzeni nini maana yake:help:
  11. MankaM

    Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

    Wana MMU habari zenu. Nijulisheni ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game. Mimi binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli.
  12. MankaM

    Makabila na tabia zao

    nahitaji kujua tabia za kabila la wamwela, wangoni, wapare:help::help::help:
  13. MankaM

    Nalijua hilo namim naumia

    Najua mapenz hayaingiliwi jaman lakin kwa jinsi ninavoumia haielezeki kama mimi ndio nafanyiwa hivi. Rafiki yangu wa karibu(msichana) ni ziad ya karibu yan ni kama ndugu na tunapendana sana anateswa na kutendwa mara kwa mara na mpenz wake na wakiachana wanatukana na kutoleana kashfa lakin baada...
  14. MankaM

    Kichwa kuuma kupita kiasi tatizo kubwa ni lip?

    Habarini za asubuhi wapendwa wa JF natumaini mu wazima. Nahitaji msaada wenu juu ya hili tatizo nini kinasababisha kichwa kuuma sana hata ungetumia dawa tatizo liko palepale inafika kipindi unaboreka sana na kukosa amani. Msaada tafadhali.
  15. MankaM

    Shikamooni

    Nawasalimu na nimeielewa jf ndio maana nimevutiwa kujiunga
  16. MankaM

    Tazizo la haja kubwa kuwa ngumu

    Habarin wana jf naombeni nisaidiwe anaejua dawa ya hili tatizo.... Nina tatizo hili mwezi sasa unaisha napata shida sana ktk utokaji wa haja kubwa yani choo huwa kigumu sana nilipoenda hosptal nikapewa dawa na kuambiwa niwe nakunywa maji mengi na kula matunda kama ndizi papai na maembe nimekuwa...
  17. MankaM

    Naziona dalili za kuwa chizi kwa hii hali

    Mimi ni msichana umri miaka 24 nina mpenz ambaye yuko mbali na mim tumekuwa hatuonani kwa miezi mingi sana na kuna kipindi hata mwaka unaweza kuisha hatujamit au kufanya mapenz sasa tabu nayoipata ni kwamba nina kuwa na nyege ambazo sijui pa kuzitolea coz bwana mkubwa yuko mbali ikifika kipindi...
Back
Top Bottom