Search results

  1. SAUL

    Msaada soko la mbao, na mbao za paret

    weka namba ya simu tuwasiliane
  2. SAUL

    Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Inauma sana .we ndo ulimpandisha awe juu kama vp we mloge afilisike awe kama ulivomkuta heshima itarudi mahala pake
  3. SAUL

    Diesel kwa bei nafuu

    niuzie kwa 1500 nachukua yote kila siku kwa dar no yangu 0714300307
  4. SAUL

    Diesel kwa bei nafuu

    ina rangi gani?kama diesel ya kawaida au ina utofauti kidogo?
  5. SAUL

    Diesel kwa bei nafuu

    nitaipataje kwa moro ?
  6. SAUL

    Msaada wana JF naibiwa

    ki ukweli biashara ya rejareja inasumbua kuna vitu kama chuma ulete.mtu anakuja na hela akishanunua anaondoka na hela zingine kimazingara akili kichwani kwako dada utafukuza wafanyakazi wengi kwa mtaji huo
  7. SAUL

    Kilimanjaro na Iringa, mkoa gani upo mbele kimaendeleo

    iringa inaongoza kwa pato la mwananchi mmoja mmoja ni ya pili baada ya daresalaam
  8. SAUL

    Kupandishwa kwa gharama za kodi za viwanja

    kila sehemu kuna kodi zake tofauti elezea upo mkoa gani au manispaa gani
  9. SAUL

    (gari) terios inauzwa

    bado ipo mkuu?
  10. SAUL

    Hii inakukumbusha nini?

    gudigudi hahaaaa!make my day
  11. SAUL

    HOJA: Bodaboda zizuiwe kutumika kama Usafiri wa Umma Tanzania (DSM)

    labda wapige maarufuku matumizi ya pikipiki si wote wanaofanya uhalifu wa pikipiki ni bodaboda.majambazi wanatumia fursa ya urahis wake kutekeleza mambo yao
  12. SAUL

    Mikataba Mingi, Manufaa Kiduchu kwa Watanzania

    kuna kampuni zimeingia mkataba wa utafiti wa mafuta na gesi zipo mkoani morogoro wananchi tumeambiwa tuwape ushirikiano ni kwa faida ya nani?au wenzetu wamefaidika nini mtwara
  13. SAUL

    Kulipiwa tena kwa leseni za biashara ndogondogo

    asante kwa ufafanuzi itabidi tulipie mkuu
  14. SAUL

    Kulipiwa tena kwa leseni za biashara ndogondogo

    wadau miaka ya nyuma kidogo serikali ilifuta kulipia leseni za biashara ndogo chini ya milioni saba kila mwaka .baada ya bajeti hii huku kilosa afisa biashara ametangaza leseni ndogo zisizo na mwisho .zimekwisha muda wake.zilipwe upya kwa mwenye uzoefu haya mambo nikweli?naombeni mnijuze
  15. SAUL

    Inauzwa Scania 93/280 6X2 LHD Truck (1994)

    ikitolewa bandarini na kulipiwa duties zote inasimama kwa ngapi mkuu
  16. SAUL

    Property tax rise irks Dar house owners

    bado mpo chini msilalamike.moshi municipal imeamua property tax iwe kuanzia laki mbili kwa mwaka na imeanza mwaka huu
  17. SAUL

    huduma ya catering

    morogoro mkuu tulitaka kujua na bei ya sahani moja tutapata kwa sh ngapi?
  18. SAUL

    huduma ya catering

    natafuta mtu anayeweza kutoa huduma ya chakula kwenye sherehe aliye tayari ani pm au tuwasiliane namba 0762210404
  19. SAUL

    Nauza mbao reject kiasi cha Fuso moja

    nijibu kama kwa hapo mafinga hatuwezi kufanya biashara?
  20. SAUL

    Nauza mbao reject kiasi cha Fuso moja

    bei kwa mafinga utauzaje hapohapo
Back
Top Bottom