Search results

  1. M

    Tcra sikieni hili.

    Tcra mmekuwa mkiendesha vipindi katika vituo mbalimbali vya habari juu ya ujio mpya wa teknolojia na kuwasihi wananchi ya kuwa wana haki ya kupata habari kwa mujibu wa katiba ya tanzania, ninachoshangaa ni kwamba makampuni yatakayokuwa yanarusha vipindi ndani ya nchi wanatakiwa kupata taarifa...
  2. M

    Tcra sikieni hili.

    Tcra mmekuwa mkiendesha vipindi katika vituo mbalimbali vya habari juu ya ujio mpya teknolojia na kuwasihi wananchi ya kuwa wana haki ya kupata habari kwa mujibu wa katiba ya tanzania, ninachoshangaa ni kwamba makampuni yatakayokuwa yanarusha vipindi ndani ya nchi wanatakiwa kupata taarifa bure...
  3. M

    Watoto wa vigogo na upendeleo wa ajira nyeti serikalini

    Sasa twende wapi tukapate ushauri! Sie maana mtetezi wa wanyonge ulitoweka oktoba 1999. Na amini iko siku nchi itapata mkombozi wa kweli.
  4. M

    Bajeti ya Wizara ya Elimu aliyoisoma Mh. S. Kawambwa haikidhi matakwa ya elimu bora

    Mimi ni mwalimu kinachofanya elimu yetu kudorora kiasi hiki ni ugawanyi wa madaraka kwa watu wasio na sifa, pia kupuuzwa kwa walimu katika mambo mbalimbali yakiwemo maslahi yetu, kutoshirikisha walimu katika uandaaji mitaala na mambo kadha wa kadha. Naomba wanjf tuungane na mh mbatia na mh...
  5. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Mie pia nimemshangaa huyu mchangiaji kwa kupendekeza jinsia iwe tunu kwenye rasmu yetu ya katiba, nadhan kaishiwa point ndio maana kaingiza hako kapoint. Masikini sie watz lakitatu zetu hizooooo! Mikononi mwa wanaojali matumbo yao tu.
  6. M

    Karibu itv ktk king'amuzi cha zuku.

    Wadau wa king'amuzi cha zuku naomba kwa umoja wetu tuipongeze hii kampuni ya zuku kwa kuwa sikivu juu ya ombi la sie wateja wake wa zuku baada ya kutuwekea ITV na tunatarajia watatuwekea STAR TV hivi karibuni. Nawapongezeeni sana kampuni ya ZUKU.
  7. M

    Msaada wa namna ya kuunganisha simu aina ya bb 9780 kwenye net

    nawashukuru kwa ushauri bandugu zangu.
  8. M

    Msaada wa namna ya kuunganisha simu aina ya bb 9780 kwenye net

    Ndugu zangu wana jf, mie nina simu aina ya blackbery 9780 na ningependa kutumia katika internet lakini nachemka namna ya kuunganisha, nawaombeni mnitoe porini ili nije barabarani tafadharini sana.
  9. M

    Haya ndio matokeo yangu nishauri nishauri nichukue kozi gani chuo maana sitaki 6

    Tafuta kozi yeyote ya muda mfupi kama jornalism, teaching n.k maana ungekuwa ulichukua masomo ya science ningekushauri ukasomee kozi ya mambo ya afya.
  10. M

    Ufafanuzi wa Balaza la Elimu kuhusu Ufaulu wa E na F

    Sasa tuseme ukitaka kuboresha elimu ni kupanua wigo wa alama za ufaulu ama kubana viwango vya ufaulu na kuboresha sera zenye tija kwa mlengwa yaani mwanafunzi na taifa, ninapata mashaka kuona uamuzi wa baraza la mitihani kama lina nia ya dhati juu ya uboreshaji wa sekta ya elimu, lakini...
  11. M

    Kigwangwalla: Si sahihi kuweka kikomo cha ubunge!

    Mheshimiwa soma alama za nyakati, hiyo hoja yako haina mashiko kwa kipindi hiki. Tafakari tena.
  12. M

    Wakaguzi elimu watakiwa kubaini walimu wazembe

    Nadhani tukitaka kuboresha elimu ya watanzania tuanze kuangalia sera ya elimu pia ubora wa maudhui ya vitabu vya kiada hali kadhalika tuweke mipango yenye manufaa kwa watanzania ikiwemo suala na kuondoa na kumaliza kero mbalimbali za walimu na si serikali kufumbia macho kero za walimu. Pia...
  13. M

    Natafuta mume wa kunioa tafadhali

    Mie niko tayari nitakupateje dada angu? Nina miaka 30 na ni mtumishi wa umma.tafdhari nijuze namna tutakavo communicate.
  14. M

    Nimgaya shida! wehehe mpo?

    Mie pia ni mhehe na pia nimeoa mhehe toka kalenga na mie ni mkazi wa dabaga, wivu wanao lakini ishu ya malezi nawapa tano.
  15. M

    wizara ya elimu imeoza

    Hii BRN yenyewe haijapangiwa fungu, hivo basi kuna mambo mengine yanahitaji fungu la fedha lakini inashindikana, mitihani iliyoandaliwa mwaka jana kama utekelezaji wa BRN haikuwa na ubora, ilikuwa na mapungufu kibao, mfano hesabu za kirumi kwa drs la tano wanatakiwa kujua mpaka mia moja [c]...
  16. M

    Mavazi ya kanisani balaaa...

    Du! Mwisho wa dunia umekaribia ndio maana dada zetu wameamua hata sehemu takatifu kupageuza sehemu ya kujitangazia soko lao. Lakini mleta uzi kumbuka hata kipindi yesu amekuja aliwahi wafukuza watu waliokuwa wakifanya biashara kanisani.
  17. M

    Waziri wa chakula na ushirika umelala usingizi wa namna gani?

    Nathubutu kusema waziri wa chakula na ushirika kalala usingizi wa namna gani baada ya wananchi wake wnapouziwa mbolea za kupandia zinazosadikika ni fake, mfano dap iko ya aina mbili yaani primium mifuko yake ni ya buluu na kwa ndani ni nyeusi bei yake ni 67000 kwa mfuko na nyingine iko chapa...
  18. M

    Naombeni ushauri wana jf

    ushauri wako nimeupokea na nitafanya ivo. Ahsanteni sana wana jf
  19. M

    Anapenda nimchezee muziki kabla ya kungonoka

    Kaaaaazi kwelikweli, mbavu sina mama weeeeee!
  20. M

    Naombeni ushauri wana jf

    aina ya simu ni nokia x2, mtandao ninaotumia ni voda.
Back
Top Bottom