Search results

  1. F

    Msaada wa mawazo kukopa pesa bank dhamana biashara yenye TIN namba.

    je hawa acess wanakubali kukopesha mtu aliye na mali na biashara yake mikoani? mbali na tawi ilipo benki?
  2. F

    Usaliti ni laana mbaya sana, Mtikila Apotea kabisa kisiasa

    mwanzoni mwa uundwaji na makubaliano ya kuwepo kwa muungano wa vyama vya Upinzani vilivyotoka BMK Mchungaji Mtikila alionekana kuwa sehemu ya Muungano huo: nashindwa kuelewa siku hizi hatajwi wala haonekani pamoja na viongozi wa vyama vilivyounda Umoja huo, Wana Jamvi mnijuze yupo wapi...
  3. F

    Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    MKuu Chilumendo Umekiri kwamba Wenyeji bado wanaweza kuipa CCM kama tutaweka mtu dhaifu na hiyo inamaana wasiyemkubali wao; shaka yangu ni kwamba kushinda uchaguzi wa 2010 kura nyingi zilitoka Vijijini ambako ndiko wanaweza kuzipata kura hizo tena, na vijijini wananchi wanapiga kura, hapo mjini...
  4. F

    Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    MKUU chikutentema: SIO KULETA KAMBI yangu niliyoyatoa ni maoni na Ushauri tu: naipenda CDM nisingependa ishindwe kuchukua Ubunge Sumbawanga Mjini lakini kwa namna tunavyokwenda naanza kupata wasi wasi kutokana na harakati za namna Waonyesha NIa katika Chama wanavyoletwa kwetu na Viongozi wa...
  5. F

    Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    Hapa Sumbawanga kwa sasa wananchi hawachagui mtu wananchagua chama cha CHADEMA!! MKUU Simaye: siamini kama watu wa Sumbawanga wamefikia hapo, mahali pa kumchagua yeyote ili mradi kaletwa na CHADEMA, napata shaka kuamini kama CHADEMA inaweza kufanya vizuri katika Ubunge mwaka huu kama...
  6. F

    Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    MKUU UMENENA NA NDIO WASIWASI WANGU, wewe kwa mtazamo wako unaonaje? ccm wakimsimamisha Mzawa na Chadema wanaelekea kumsimamisha Mfanya biashara asiye mzawa, hapo hali itakuwaje? ushauri wako ni upi kabla makosa hayajafanyika?
  7. F

    Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    Uchaguzi umemalizika na kura zimehesabiwa, matokeo yametangazwa na hivi ndivyo ilivyo: KUlikuwa mitaa 44 ikigombaniwa katika kata hizi tatu CHANJI, MSUA na KIZWITE. Matokeo ni kama ifuatavyo ccm mitaa 5 na chadema mitaa 38 mtaa wa Nankasi katika kata ya Chanji kura zimelingana. kwa hiyo...
  8. F

    Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    MATOKEO MAZURI SANA lakini napata wasiwasi kuna DALILI YA KUFANYA UTEUZI MBAYA WA MGOMBEA UBUNGE NA HAPO NDIPO CHADEMA ITAFUTIKA SUMBAWANGA. Kosa la ccm katika uteuzi 2010 ambalo ndilo lililosababisha CHADEMA KUPATA NGUVU SUMBAWANGA naliona likiwa limehamia CHADEMA. One mistake one goal...
  9. F

    Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    HUKO SUMBAWANGA MJINI MAMBO YAPO HIVI kata ya CHANJI/MSUA NA KIZWITE hazijafanya uchaguzi baada ya kuchoma ofisi ya kata ambamo nyaraka za majina ya wapiga kura zilikuwa zimehifadhiwa. watapiga kura itakapotangazwa wakati mwingine. kata zilizofanya uchaguzi jana ni sUMBAWANGA WENYEJI...
  10. F

    Dr. Slaa, Freman Mbowe, Tindu Lissu, Warioba, Lowasa: Kwanini wapigiwe chapuo kuwa Marais?

    wapime hawa kwa vigezo vya UWEZO WAO wa kusimamia UTU, WEMA, USAWA na UWAJIBIKAJI
  11. F

    Dr. Slaa, Freman Mbowe, Tindu Lissu, Warioba, Lowasa: Kwanini wapigiwe chapuo kuwa Marais?

    nakupongeza kwa Mtazamo. katika hao Ongeza Pinda ondoa Lowassa ongeza pia Dr. Salim Ahamed Salim kwa idadai hiyo utakuwa umewasilisha ujumbe wako vema sana.
  12. F

    Kura ya Hapana yazidi kupaa CHADEMA , Humphrey Polepole, Prof. Lwaitama na Askofu

    Hakuna Supreme Lawa popote ikatengenezwa bila MARIDHIANO ya kisiasa. katika hali iliyopo waliowengi huku mitaani wataikataa hii RASIMU. lakini kwa kuwa mtawala ameonyesha kulazimisha ipite kwa namna yoyote hata kama ni kwa kumwaga damu basi, ITAPITA lakini itakuwa ya nani. KUNA MAMBO KADHAA...
  13. F

    Warioba: Mimi na Salim urais basi

    KWA UJUMLA CHAMA CHOCHOTE KITAKACHOMSIMAMISHA JAJI JOSEPH WARIOBA KINAWEZA KISISHINDE UCHAGUZI LAKINI NINA UHAKIKA KITAPATA KURA NYINGI SANA ZA KUTOSHA KUKIKENDESHA KWA MIAKA MITANO BILA SHIDA warioba, Makamau wake ni aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman, timu hiyo...
  14. F

    Warioba: Mimi na Salim urais basi

    HOngera kamanda Francis, mi ninadhani kwa suala la Katiba Jaji Warioba amefanya vizuri sana. lakini sina uhakika kama anaweza kufanya vizuri kufanya kazi katika Utawala wa juu. Binafsi namkubali sana Sinde Warioba Joseph, lakini bado nashindwa kumpa kura zangu zote hasa unapomshindanisha na...
  15. F

    Katiba imekaa vizuri sana

    Annael: WAKATI MWINGINE USIJE NA HOJA ambayo itakufanya upate upinzani mkali kama huu; na kama KUNA JAMBO FULANI UNALOLIPENDA TATHMINI KAMA NA WATU WENGINE WANALIPENDA KAMA WEWE; labda kama umetumia njia hii kujaribu kupata ufahamu kama watu wamepokeaje RAIMU HII YA TATU. HOJA: madai ya mwanzo...
  16. F

    Sitta ni aina ya kiongozi tunayemuhitaji katika nchi yetu kwa sasa

    NINAVYOFIKIRI UMEJITAHIDI KUELEZA HISIA ZAKO kwa kuziweka pamoja na za Tibaigana ambaye ni Askari wa siku nyingi; Sidhani kama ni mbaya kufikiri ulivyofikiri, lakini unadhani nchi hii imefikia mahali pa kuhitaji DIKTETA KWELI? watanzania wamekuwa si wavumilivu na wasikivu mpaka waongozwe na...
  17. F

    Tunapaza sauti zetu: Mahindi Tsh 12,000- 15,000 kwa gunia

    Watanzania Wenzangu, kwa kutumia mbolea za Urea, Minjingu na nyingine nyingi WATU WA Sumbawanga wamelima kwa gharama kubwa kwa kuitikia wito wa Serikali "KILIMO KWANZA; NI hali ya kusikitisha na kukatisha tamaa kabisa; kuona chakula kingi na hasa Mahindi yamekosa soko kabisa; watu hawajui...
  18. F

    Pamoja na Babu wa Loliondo,Mh. Mbowe apewe PHD ya Heshima.

    Kwani Betlehem KICHWANI KWAKO HAKUNA JAMBO LA MAANA LA KUANDIKA hapa JF isipokuwa kufunua ubongo wako kiasi hiki? umepimwa kwa hoja zako. wengi wamekueleza wanavyokuona. mimi nakuona kama Haukutumia akili yako vizuri kuleta hoja hii.
Back
Top Bottom