Search results

  1. Ayayoru

    OBSERVATION: Mkapa na Kikwete kuna tatizo(?) Hawasalimiani!

    Acha kupotosha watu..Kitu kama hujui ni vema ukauliza, Mzee Mkapa anawatoto wawili Stephen na Nicholaus
  2. Ayayoru

    Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    Safari ya matumaini imeanza tena baada ya kubadilisha chombo cha usafiri. Kila la kheri!
  3. Ayayoru

    Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    Safari ya matumaini imeanza tena baada ya kubafilisha chombo cha usafiri. Kila la kheri!
  4. Ayayoru

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Tandahimba ni moja kati ya wilaya tano Tanzania yenye uchumi mkubwa. Karibu 60% ya korosho zote zinazozalishwa Tanzania zinatoka wilaya ya Tandahimba hivyo uchumi wa mtu mmoja mmoja ni mkubwa sana. Ni wilaya changa ambayo zamani ilikuwa ndani ya wilaya ya Newala lakini imepiga hatua sana...
  5. Ayayoru

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Ni moja ya wilaya katika mkoa wa Ruvuma ambayo kijografia inapakana na mkoa wa Mtwara ususani wilaya ya Nanyumbu. Zao kuu la biashara ni Korosho pia kuna madini mengi ya vito. Kabila kuu ni Wayao. Kielimu ipo nyuma kidogo, ila kuna hali ya hewa nzuri. Ni sehemu nzuri kuishi. Karibu sana.
  6. Ayayoru

    Msaada wa kisheria tafadhali

    Ndugu, kuna mambo mawili hujafafanua. Umeshtakiwa kesi ya jinai au madai?Kama umeshtakiwa kwa kesi ya jinai kuwa unahusika na huo wizi, basi kisheria unapaswa kushtakiwa wewe na siyo kampuni na kama umeshtakiwa kwa kesi ya madai kwa maana ulipe fidia ya vitu vilivyopotea basi kwa kanuni ya "...
  7. Ayayoru

    Mawakili Mwanza njaa kali

    Maisha ya shida umeyapimaje? Kuwa na ofisi ndogo au kucharge instruction fee laki moja? Sasa uliwezaje kwenda kwenye ofisi hizo wakati kuna kubwa ulizifahamu.
  8. Ayayoru

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali 3 ni muhimu na haziepukiki kwa sasa. Zaidi ya hayo hoja zinazotolewa kuunga mkono serikali 3 zina nguvu kuliko hoja dhaifu za wadau wanaounga mkono serikali 2 au 1.
  9. Ayayoru

    Sikiri Mimi Maskini

    Chilunda apambana na chui, kibanga ampiga mkoloni, jogoo aliyesema, andunje. Hivi sikuhizi wanasoma vitabu gani. Good old days!
  10. Ayayoru

    Kwa waliosoma Kigonsera Ruvuma

    Mkuu mimi nilikuwa jirani yenu pale Likonde Seminary 1998-2000,nakumbuka mechi za mpira wa miguu kigonsera na likonde seminary ilikuwa si mchezo.
  11. Ayayoru

    Nahisi kubambikwa mimba peupe na huyu binti...

    Hahahaaaaa! Mkuu yaonesha unaogopa sana mimba kuliko H.I.V. Ebu kachek kwanza afya then mtoto akizaliwa kapime DNA utapata uhakika kama mtoto ni wako au la.
  12. Ayayoru

    CCM watumia mabus ya Upendo kusomba watu

    Kalenga, Kalenga, Kalenga! Liwalo na liwe.
  13. Ayayoru

    'CHADEMA Mwanza' watoa Tamko kuyapinga maamuzi ya Kamati Kuu dhidi ya kina Zitto

    Dah ama kweli nchi yetu ina serikali nyingi, kumbe hata mwanza kuna serikali inayoweza kutoa amri ya watu fulani wasitembelee Mwanza?
  14. Ayayoru

    Msaada natokea Kyela nipo Dar mimi ni mgeni nahitaji bull bars (ngao) za magari locally made

    Mkuu nenda gerezani utapata for sure! Utapata chaguo lako tena locally made ni imara sana mkuu. Ila kuwa mwangalifu wasikuingize mjini, ungepata mwenyeji ingefaa zaid. Mafanikio mema.
  15. Ayayoru

    Kuikana CCM ni sawa na kumkana mama yako mzazi, na laana lazima ikushukie tu

    Duh! Kama ni mzaha kwa mama huyu jamaa kapitiliza! Naunga hoja iliyotolewa kuwa jamaa aliokotwa jalalani hamjui mama yake, so ana hasira na mama yake. Chukua tahadhari ndugu!
  16. Ayayoru

    Kikwete amlipia mahari mtangazaji Cyprian Musiba

    Hivi hii issue tukiiweka kifamilia si inakubali? Tukiachilia nafasi ya urais. Ila kimila na desturi mahari unatakiwa ulipiwe na nani?
  17. Ayayoru

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Eeh bwanae wazo zuri sana, sisi wa kusini Dar-Masasi- Nachingwea kulikuwa na kitu Akida Bus Service, Wifi Nae. Masasi- Newala, Solo, Mmakuti Yote hayo Leyland Carrier Juu, ikiwa kilomita 10 kwenye mlima unaisikia inavyoimba hadi rahaaa!!!!!
  18. Ayayoru

    Watuhumiwa wa Ugaidi wa CHADEMA watoka wasimulia walivyolazimishwa kusema

    Duh, haya maelezo kama yana ukweli bas tuna matatizo makubwa katika taasisi hii.
  19. Ayayoru

    CCM wafarijiana kwa kushindwa na CHADEMA

    Hawa si wale waheshimiwa wa mjengoni walioenda kujifunza ukakamavu kwa week moja?
Back
Top Bottom