Search results

  1. Jeremiah

    Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Nimekua nikisikia watu wenye roho mbaya sijapata kuona . ama kweli awamu hii tumekamatiwa chini!
  2. Jeremiah

    Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

    Nami kama ulikuwepo! kupumzika mpaka wallet imalize charge. kesho yake majuto mjukuu .kuitafuta wallet labda wakati wa kucharge tena.
  3. Jeremiah

    Happy new Year Comrade Tundu Lissu

    Our bro. Lissu god shall heal u. Need u back home!
  4. Jeremiah

    Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Huyo jamaa wa bandari namfahamu ni wa wa munjebwe. Najiuliza munjebwe na dhahabu wapi na wapi? Ila ni mbabe pia sishangai magufuri kumkabidhi bandari. Ndege wafafanao!!Okay
  5. Jeremiah

    Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Naona gadaff vile amefufukia TZ.!
  6. Jeremiah

    Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

    Na kweli kabsa. Huyu ngosha anajua kuitumia kweli kweli. Kama huamini tembelea chato
  7. Jeremiah

    RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    Aonyeshe tu vyeti hakuna namna
  8. Jeremiah

    Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

    Kwa nini hatuongelei sababu za misaada kusitishwa? Bila kujadili chanzo cha tatizo tunapiga porojo tu.
  9. Jeremiah

    Ikitokea leo umeachishwa kazi! Utafanya nini?

    Mawazo yenu mengi ni mazuri sana. Haya siyo masiyala kwani kampuni ya ACACIA inawarudisha taklibani wafanyakazi 1400 mtaani kuanzia juzi tarehe 17. Kwa wanaopita katika mtandao huu ni vizuri kuyachukua haya yatakuwa na msaada mkubwa kwao.
  10. Jeremiah

    Freeman Mbowe amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi

    Hili jamaa linaongea kama liko daful. Sijui roho za wapi hizo za kuwaombea wenzio kupigwa risasi wangeanza na wewe kwanza.
  11. Jeremiah

    UKAWA waongea na Wanahabari, Walalamikia Tume ya Uchaguzi na Rais Kikwete

    Jk anataka kutuangamiza .Heshima aliyojijengea hivi karibuni ataipolomosha tarehe 25
  12. Jeremiah

    UKAWA waongea na Wanahabari, Walalamikia Tume ya Uchaguzi na Rais Kikwete

    Ni hatari kwa staili hii ya ccm
  13. Jeremiah

    Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Hawa majibu yao bungeni wanatumia sentensi maarufu kama ufinyu wa budget sasa sijui pesa zimepatikana lini za kujenga viwanda. Hata maji ya geita yamewashinda miaka kumi tumahaha na matope kama kambale .wakafie mbali tarehe 25.
  14. Jeremiah

    Wana CCM mliopo Arusha na Kilimanjaro semeni ukweli mikutano ya Magufuli

    Yaani sisi watanzania ni shida kabsa. Huu umeme ilikua ni kampeni tosha ya kuifulusha ccm.
Back
Top Bottom