Search results

  1. Jospina

    Vita baridi ya chanjo za Covid 19 imeanza

    "Vita baridi" ya chanjo za Covid 19 imeanza: 1. Uingereza wana chanjo ya kwao. 2. Marekani wana chanjo ya kwao. 3. Urusi wana chanjo ya kwao. 4. Uchina wana chanjo ya kwao: 5. India (yenye watu zaidi ya bilioni, imesema itanunua kwa Mwingereza (ambao ni ushindi au zawadi ya kwanza tangu...
  2. Jospina

    Tuzo Za Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa '''10 - 2020''' Ligi Kuu Bara ina walakini

    * MUKOKO Mechi 4 goli 1 Assist 0 Dube Mechi nne Goli 3 Assist 3 MESHACK WA GWAMBINA Mechi : 4 Goal : 4 Assist : 2 Mchezaji Bora MUKOKO Au Kuna Kigezo Kingine Kimetumika Ili Kumpata Mchezaji Bora _*Anaejua Tuelimishane Kidogo
  3. Jospina

    Maharage miti, nani anayajua vizur?

    Maharage miti, nani anayajua vizur? Miti yake ni perennial sio kama maharage ya kawaida, mkulima amesema amepata Tanga ila mm nimeona gairo uzuri wake unagrow maeneo ya ukame, swala la pili ni juu ya nutritional value yake jee iko sawa na maharage ya kawaida?
  4. Jospina

    Kazi ipo hii ndio ratiba maalum ya viporo vya Simba FC

    17/4 Coastal Union vs Simba SC 20/4 Kagera Sugar vs Simba SC 23/4 Alliance vs Simba SC 26/4 KMC vs Simba SC 28/4 Biashara UTD vs Simba SC 1/5 Prison vs Simba SC 3/5 Mbeya City vs Simba SC Sasa ile kauli mbiu ya DO OR DIE iendelee hapa.
  5. Jospina

    USONI KWA OKWI NA NYUSO NYINGINE MBILI

    -Siku Tanzania inacheza na Uganda kwenye pambano lililo ishuhudia Taifa Stars ikiungana na Cranes kwenye safari ya Misri kuna kitu niliwaeleza watu niliotazama nao pambano hilo. -Niliwaambia kuwa iwapo Emmanuel Okwi atapangwa ni wazi atakuwa kwenye wakati mgumu sana, mimi huwa ninasema Okwi ni...
  6. Jospina

    Do or Die Aussems Anza hivi kesho

    Do or Die Aussems Anza hivi kesho 1-Aishi Manula 2-Zana Coulibaly 3-Mohamed Hussein 4-Erasto Nyoni 5-Pascal Wawa 6-James Kotei 7-Mzamiru Yassin 8-Clatous Chama 9-John Bocco 10-Meddie Kagere 11-Emmanuel Okwi Formation 4-1-3-2
  7. Jospina

    Everton sasa kucheza na Simba

    -Kuna uwezekano klabu ya Eveton ikacheza na klabu ya Simba badala ya bingwa wa mchuano ya Sportpesa Super Cup 2019 kutokana na timu zote ambazo zimeingia Fainal hazidhaminiwi na kampuni hilo. Bandari, Kariobangi Sharks na Mbao zilikuwa timu mwalikwa kwenye michuano hiyo. Huku timu tano Simba...
  8. Jospina

    Simba vs Saoura. probable lineup

    -Kila la kheri Simba SC wapigeni pigo la moyo JS Saoura leo na ushindi wa mechi ya leo utawapa nguvu ya kupambana mechi zinazofuata Mungu ibariki Simba, Mungu Ibariki Tanzania. 1-Manula 2-Gyan 3-Hussein 4-Wawa 5-Juuko 6-Kotei 7-Chama 8-Mkude 9-Bocco 10-Kagere 11-Okwi...
  9. Jospina

    Wanayanga tumchague Baraka Igangula. . kijana mstaarabu na mwenye nia ya dhati kuipeleka Yanga mbele

    " Nawaomba wana Yanga wasije wakafanya makosa siku ya Jumapili, nawaombeni sana mchagueni Baraka Igangula. . kijana mstaarabu na mwenye nia ya dhati kuipeleka Yanga mbele, atatujengea uwanja na kujenga ghorofa pale Mafia hata akaunti yetu ya Bank itakuwa na pesa kama kipindi kile cha Iman...
  10. Jospina

    Nani ni kiungo bora kati ya Chama na Niyonzima?

    Klabu ya Simba ina viungo wazuri kwa kipindi hili. Lakini je nani ni bora na anafaa kuanza kikosi cha kwanza kati ya Chama na Haruna Niyonzima?
  11. Jospina

    Basi la mashabiki lililoenda Lesotho lageuka la walevi na anasa. Hadi sasa hawajafika Dar toka watoke Lesotho

    -Basi la mashabiki lililoenda Lesotho kuisapoti timu yetu ya Tanzania kwenye mchezo kufuzu Afcon 2019 kupitia Mbeya hadi Afrika Kusini sasa limegeuka basi la Walevi na wafanya Starehe. Basi hilo limeondoka Lesotho siku ya Jumatatu hadi sasa bado halijafika jijini Dar. Ikifika usiku kituo cha...
  12. Jospina

    Tanzania XI Vs Lesotho. 👉Expected line Up

    My own expected line up Aishi Manula, Erasto Nyoni, Gadiel Michael,Abdi Banda, Kelvin Yondani, Himidi Mao,Shiza Kichuya, Mudathir Yahya, Simoni Msuva, John Bocco, Thomas Ulimwengu. Tutamkosa nahodha Mbwana Samatta aliye na adhabu ya kadi za njano na Shomari Kapombe aliyepata majeraha...
  13. Jospina

    Hivi Serious Yanga mnakubali huu mtego wa Manji?.

    Hivi Serious Yanga mnakubali huu mtego wa Manji?. Sio kwamba simtaki Manji bali Yanga kwa sasa inahitaji viongozi wapya ambao watakuja kuinusuru klabu hali mbaya kwa sasa kwenye klabu wachezaji halipwi mishahara kwa wakati, Fedha za kuendesha klabu kwa sasa hamna, Fungu la Usajili kwa sasa Hamna...
  14. Jospina

    Obrey Chirwa atua Azam

    Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC, kesho anategemea kusaini mkataba ndani ya mabingwa hao wa Afrika mashariki na katizamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC, kesho anategemea kusaini mkataba ndani ya mabingwa hao wa Afrika mashariki na kati
  15. Jospina

    "nafasi aliyopoteza Makambo kwa kichwa pale hata mama yangu angeweza kufunga,” Kocha Zahera

    "Kila mechi tunatengeneza nafasi za kufunga lakini kama washambuliaji hawafungi tutafanyaje? Mfano nafasi aliyopoteza Makambo kwa kichwa pale hata mama yangu angeweza kufunga,” Mwinyi Zahera -Kocha mkuu wa Klabu ya Yanga
  16. Jospina

    Matokeo ya Uchaguzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Bodi katika Klabu ya Simba

    MSHINDI NAFASI YA MWENYEKITI -Swedi Mkwabi WASHINDI NAFASI YA WAJUMBE BODI YA WAKURUGENZI. -Asha Baraka -Hussein Kitts -Dkt Zawadi Ally -Selemani Said -Mwina Kaduguda. MAONI YANGU: Uchaguzi umeisha na waliopita ndo viongozi wetu uwe hukuwapigia kampeni au uliwapigia,uwe huwapendi au unawapenda...
  17. Jospina

    Bodi ha Ligi ya Tanzania Bara imeahirisha mechi tatu zinazohusu vilabu vya Simba, Yanga na Azam

    -Bodi ha Ligi ya Tanzania Bara imeahirisha mechi tatu zinazohusu vilabu vya Simba, Yanga na Azam ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo inatarajia kuingia kambini November 04 kujiandaa na mchezo wa kufuzu kwa fainali za kombe la mataifa Africa (AFCON 2019)...
  18. Jospina

    Ammy Ninje ateuliwa kuwa mkurugenzi mpya wa Ufundi wa TFF

    AMMY NINJE ATHIBITISHWA KUWA MKURUGENZI WA UFUNDI TFF. KAMATI NDOGO ZAFANYIWA MABADILIKO Kamati ya Utendaji iliyokutana Jumamosi Oktoba 20, 2018 Makao Makuu ya TFF, Ilala jijini Dar ilipitia masuala mbalimbali ikiwemo kumthibitisha Ninje na kimepitisha mabadiliko kwenye kamati za TFF Nafasi ya...
  19. Jospina

    Safari ya Cameroon hatwendi: Watanzania wepesi wa kusahau

    Mwaka 2007 niliandika mara mbili katika barua za wasomaji katika gazeti lililokuwa likiitwa Spoti Starehe, gazeti dada la Majira. Sijui liko wapi gazeti lile siku hizi. Huenda ushindani wa kibiashara umeliondoa sokoni kama ilivyokuwa kwa Alasiri, Dar Leo, Kasheshe na magazeti mengine. Chini ya...
  20. Jospina

    Hans pope nje kwa dhamana ya milioni 15

    -Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya klabu ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ameachiwa kwa dhamana ya Sh. Milioni 15 baada ya kusomewa mashitaka mawili katika Mahakama ya Kisutu mjini Dar es Salaam leo akiunganishwa kwenye kesi inayowakabili rais wa klabu hiyo Evans Aveva na Godfrey Nyange...
Back
Top Bottom