Search results

  1. B

    Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

    This is not Albert Msando
  2. B

    Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

    Hiyo picha sio Albert Msando wakili
  3. B

    Waziri wa Fedha ndie kila kitu, Magufuli akichemsha hili, basi

    v Mbunge wa kuteuliwa hawezi kuwa waziri mkuu, hii ni kwa mujibu wa kaiba. Waziri Mkuu lazima awe mbunge aliyechaguliwa jimbo ni hivyo Membe hana sifa hizo.
  4. B

    Kati ya Ridhiwani na Baba Ridhi, nani muongo?

    Huyo Mrisho Kikwete ni babu yake Ridhiwani sio JK, fuatilia historia
  5. B

    Darasa la saba aukwaa u-DC

    Kabla ya kupata ubunge alikua anafaya kazi TRA lakini hakufika ngazi ya kuwa officer, he was just a clerk (motor vehicle registration), lakini alijiendeleza kidogo chuo cha biashara (CBE) akapata certificate ya business administration. Alipokua TRA alijihusisha sana na usajili wa magari ambayo...
  6. B

    Arusha: Kituo cha mabasi ni mali ya chama

    Nafikiri ukisoma vizuri taarifa ya Chatanda ni kwamba wamekodisha kituo cha mabasi cha ccm kwa kampuni ya Mtei. Kituo hiki sio stendi kuu ya mabasi Arusha. ni kituo kinachojitegemea jirani na soko la kilombero. Kabla ya hapo kituo hiki kilitumika na mabasi ya scandinavia. naomba utoe maelezo...
  7. B

    Diwani CCM Dotto Mtawa ashikiliwa na polisi kwa wizi wa gari

    Nanukuu "..........Ustaadhi Alhaji Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kunywa pombe hadharani wakati wa wakiwa ziarani mkuani Rukwa, vyombo vyote vya habari vimefunika kombe mwanaharamu apite......" mwisho wa kunukuu Hawakua mkoani Rukwa na Makamu wa raisi hakunywa pombe ila alikua anapata...
  8. B

    Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela

    Huyu alibaka kweli na kama unataka uthibitisho tembelea familia za watoto waliotendewa kitendo hicho upate ukweli. nyingi ya familia hizo wanaishi maeneo ya sinza jirani na mashujaa primary school. Ameharibu watoto na si kusingiziwa!
  9. B

    Huyu ni nani? Abdulhakim Mulla - katika biashara ya Usafirishaji wanyama...

    Huyu jamaa ndugu yake ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa mbeya anaitwa Nawab Mulla, wamefanya sana biashara haramu ya pembe. Pia wana kampuni ya usafirishaji inaitwa "Usangu Logistics".
  10. B

    Kikwete ateua Mwandishi Mpya wa Hotuba: Msafiri Wilbert Marwa

    Hongera bro, thibitisha kwamba unaweza.
  11. B

    TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    Kamishna Mkuu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ni muhimu akachaguliwa miongoni mwa wasaidizi wa Mr. Kitilya
  12. B

    Askofu Mhogolo amshambulia Dr Slaa na CHADEMA; asema anawahadaa Watanzania na Siasa za Utapeli

    In the name of jesus, i do appreciate and like what you have preached to us may god bless you you and the nation as a whole.
  13. B

    Askofu Mhogolo amshambulia Dr Slaa na CHADEMA; asema anawahadaa Watanzania na Siasa za Utapeli

    Huyu dr slaa jamani tumuache abwabwaje ila tuangalie tu asitupandikize mbegu ya chuki ya kuchukiana wenyewe kwa wenyewe. Hakuna lisilo na mwisho.
  14. B

    Askofu Mhogolo amshambulia Dr Slaa na CHADEMA; asema anawahadaa Watanzania na Siasa za Utapeli

    Ukweli ni kwamba anataka sana umaarufu huyu Dr. Slaa, alitegemea kupata u:eyeroll1:rais kwa urahisi lakini kwa kuwa wa alitaka kuwafanyia ubaya wakuu wa serikali zilizopita. Mungu apishie mbali na janga lake. TUMUOGOPE KAMA UKOMA
  15. B

    Zakia Meghji!

    Je wewe unauhakika na uraia wako na wazazi wako? Tusianzishe vitu vilivyopigwa na Mwalimu
  16. B

    Waziri Cha Pombe

    tuombe mungu watanzania wasiige tabia hii
Back
Top Bottom