Search results

  1. Ebe

    CCM hapa ndipo mnapoharibu kufunga barabara ili viongozi wenu wapite

    Ni kero kubwa sana jana nimekutana nayo Shinyanga. Huu ni ujinga wa kiwango cha lami unafunga njia kwasababu za kijinga tu, wasafiri wametoka mbali wamechoka wagonjwa kisa siasa huu ni upumbavu
  2. Ebe

    Maelezo kwa ufupi juu ya clip ikionyesha wanajeshi katili wakiua raia

    Wewe una taahira ya akili sio bure, watu wanauliwa na umeelezwa hapo kilichotokea bado unaita maigizo?
  3. Ebe

    Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

    Nenda katika page ya Mange Kimambi utaikuta hij stori
  4. Ebe

    Je, wajua kiatu chako chaweza kukuambia umri wako?

    Hii michezo ya hesabu tulishacheza shule ya msingi huko[emoji1787] kwa ufupi hapo mwanzo uliposema weka namba ya kiatu chako ndo inakwenda kuleta jibu huko mbele hizo hesabu hapo mbele ni kuzuga tu. [emoji1787][emoji1787] Tulikuwa tunacheza mchezo unamwambia mtu afikirie namba, kisha...
  5. Ebe

    Kusema muislamu ndugu yake ni muislamu huo ni unafiki

    Ni wewe umeamua kutomuelewa, lakini ameeleweka sana tu.
  6. Ebe

    Israel Vs Tanzania

    Mwl. Nyerere alisema ili inchi iendelee inahitaji: 1. Uongozi bora 2. Siasa safi 3. Ardhi na 4. Watu. Mimi nasema ili nchi iweze kuendelea inahitaji vitu viwili tu; 1. Uongozi bora na 2. Technolojia Kwasababu haiwezi kuitwa nchi kama haina watu au ardhi. Hivyo bila kujali idadi ya watu...
  7. Ebe

    Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

    Faida ya muungano [emoji22]
  8. Ebe

    Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

    Hili ndo tatizo kubwa la huyu mtu, akibebwa anachana mbeleko. Akijua nyuma kuna mbuyu huwa hajali yeyote aliyembele yake. Hii tabia huwa inawaaribia waliombeba au waliomkingia kifua(Mibuyu). Alipokingiwa kifua na JK aliwashambulia akina Mzee Warioba na Lowasa bila haya yaani kwasababu tu mtu...
  9. Ebe

    Usalama wa Taifa, ni kwanini mpaka leo sabuni ya jamaa imeshika soko Tanzania?

    Tatizo linatokana na asili ya TISS jinsi ilivyoanzishwa kutokea UVCCM, hivyo mpaka sasa bado wanajiona kazi yao kubwa ni masuala ya kisiasa tu, kuilinda CCM na viongozi wake.
  10. Ebe

    Tenzi za rohoni

    Hakuna kitu kinanikera kama hiko, tune original zina upako sana, waliotunga walikuwa katika uwepo wa ROHO MTAKATIFU sasa wao wanakaa zao vijiweni wanajitungia tungia tu na vitune vyao vya ajabu ajabu kutafuta umaarufu tu, si watunge nyimbo zaoooo [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
  11. Ebe

    Tenzi za rohoni

    Nyimbo za tenzi, zina upako sana, alafu cha ajabu ni worldwide zipo Mataifa almost yote. Tune na ujumbe/content ni hivyo hivyo ila kila Taifa wanatumia lugha yao. Waliotunga hizi nyimbo kwa vyovyote vile hawakuwa katika hali ya kawaida walivuviwa na ROHO MTAKATIFU, hivyo ukiimba kwa imani...
  12. Ebe

    Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

    Abrahamovich nafaham umafia wake na Rafiki yake Putin. Bill Gates sifahamu chochote mi nilidhani amepitia njia za kawaida tu bila makandokando yoyote, kwani ana tuhuma gani?
  13. Ebe

    Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Hayati Idd Amin Dada imepotoshwa sana. UGANDA haitakuja kupata tena Rais mwenye misimamo kama yule

    Watoto mliozaliwa miaka ya 1980 na kuendelea mnasimuliana na kuongopeana tu. Ulizeni wazee wenu wawasimulie wanayoyafahamu.
  14. Ebe

    Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

    Kwahiyo wewe unaamini uchawi upo ila Mungu ndo hayupo au sio?
  15. Ebe

    Hakuna Nchi iliyowahi kufanikiwa kwa Teuzi za kulenga Chaguzi badala ya Maendeleo

    Nimesikia mwakani kivumbi nimekuchagua wewe kwasababu najua unaweza [emoji1787]
  16. Ebe

    Dkt. Slaa akatalika kila mahali na kutengwa na kila mtu

    Aisee umeweka kabisa na namba ya simu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  17. Ebe

    Mliowahi kununua vitu kupitia Alibaba naombeni mwongozo

    Wapo wengi tu mitandaoni humu inategemea na aina ya mzigo wako kama ni mzito unawatumia wanaosafirisha kwa Meli, wao wanachaji kwa CBM (M³). Kama ni kifurushi chepesi unawatumia wanaosafirisha kwa ndege wao wanachaji kwa Kg.
  18. Ebe

    Mliowahi kununua vitu kupitia Alibaba naombeni mwongozo

    Uhakika hakuna Longo longo mzigo unafika vizuri tu tafuta agent wanaosafirisha mizigo kutoka china kuja bongo.
Back
Top Bottom